Tetesi: wanyoa viduku,wavaa jeans wala vichapo

Tetesi: wanyoa viduku,wavaa jeans wala vichapo

Kama kawaida yetu, ikitoka amri sisi twaongeza na vipengele vyetu humo humo kukosesha amani watu au kujipatia hela, kweli we are "shitholes"..
 
Ƙuhusu uvaaji naomɓa vijana walekebishe. Lakini kunƴoa wawaache wanƴoe mitinɗo wanaƴotaka wao. Hata raisi wetu uƙimuuliza mtindo gani ananƴoa atakwamɓia kipala. Ƙipala nacho ni uhuni kama kiduku ingawa na mie nanƴoa ƙipala. Kwa hƴo hakuna uhuni kwenƴe ƙunƴoa ɓwana
 
wakitoka hapo waende uwanja wa taif kuwakamata kina kichuya kina samatta na viduku vyao
 
Kwamba maeneo ya chango'mbe dar es salaam wale wanaume wa dar wnaoendana na fashooon za kina lil uzi,21 savage,wiz khalifa za kuvaa visurual vya kubana yaani vimodo na kunyoa viduku wamepokea vichapo kutoka kwa walinzi wa amani na kunyolewa viduku hivyo
Pia inasemekana huko Arusha hata wadada waliovaa jeans wanakamatwa
Okie dokie,naliomba jeshimahiri kabisa la polisi Afrika nzima yaani Police tanzania waanze msako wa guest houses wakikuta watu wanafanya ule mchezo wa kimama na baba wawaambie waonyeshe vyeti vya ndoa hii itasaidia sana kulinda maadili mema ya jamaii tya Mtanzania,jamii yenye upendo ,amani,inayoishi vizuri bila kubaguana chini ya Rais mpendwa mwenye moyo wa upendo kwa wananchi wake bila kujali itikadi za vyama vyao
KWA AKILI ZAO HAYO NDIYO MAMBO YANAYOZUIA VIWANDA KUJENGWA. TRUMP HAJAKOSEA NA LILE TUSI LAKE LA SHIT....
 
Vazi la taifa hatuna, style ya kunyoa kitaifa hatuna, sasa sisi tufanyeje? Ni full viduku, full modo. Dah! ila mdingi wangu yuko peace kinoma. but sometims ananiulizaga Hivi mwanangu hiyo suruali huwa unaivuaje?
 
Kuna kampeni ya kimyakimya inaendelea mjini polis wanakamaya wenye viduku na kuwanyoa, nimeshuhudia kinondoni, mwenge na tegeta!
 
Yaani sisi bado ni wapuuzi kuruhusu utandawazi ndo tatizo la mambo yoote haya sasa leo mnaanzakuchapa bakora kama wakoloni
 
Kwa waliooa najua wataliafiki vilivyo swala zima la kukaguana vyeti vya ndoa, na sababu kubwa wao walisha yapitia hayo ya kutukaruka guest house na vimada hivyo sasa wamebanwa basi wanataka na vijana wabanwe pia!!!

Huo mimi naita ni ubinafsi tuu wacha watu waruke ruke muda ukifika ataoa, kila stage sharti ipitiwe mkuu acha wivu! Wala hatufaidi lolote kuzidi awamu yako
 
Kuzuia modo haisaidii kitu wangeleta kazi vijana wanachakalika sidhan kama kuna mtu Angekuwa na muda wakusaka modo au kuweka kiduku mana kila mtu angekuwa busy kusaka mshiko wafanye mambo ya msingi kujenga uchumi waache wavae wakikuwa wataacha tu mbona
 
Kwa akili hizi hata Trump akisema Waafrika ni wachafu zaidi ya makalio hakuna dhambi. Upuuzi na upumbavu uliopitiliza ndio huu.
 
Back
Top Bottom