Wanyonge hatuna chetu awamu hii

Unasema ni mapema sana kuyasema huku umeshasema?

Hamuwezi kuficha chuki zenu kwa mama yetu,mama SSH. Hebu mwacheni raisi wetu ahudumie watanzania bila ubaguzi. Msianze siasa za mucho hear makunsi ya watu kumchukia kwa ajili ya masilahi yenu.
 
Hakutakiwa awe karibu na wanyonge bali awatoe katika unyonge wenu. Kama alishindwa hilo basi sasa mkae kwa kutulia
 
Zama hizi sio zama za wanyonge ni zama za wavujajasho wanaojituma pamoja na makabwela wanopambana na maisha. Mama amekuja kuwainua hao kkwanza.Mambo ya wanyonge baki nayo wewe kwanza.
 
Wanyonge awamu yenu imeisha.Awamu yetu kutamba sasa kaeni kwa kutulia.
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Yani mtu anayefaa kuitwa mnyonge ni yule asie na macho miguu na mikono Sasa Kama umeweza.

Kuandika hivyo means unajiweza wewe ni kijana na nguvu kaxi ya taifa so usijidekeze
 
Mtetezi wa wanyonge yupo kwenye tution ya kuongoza malaika we kama ni mnyonge mfate.
 
‘wanyonge’ hawatakiwi hata mbinguni hawa hawana nafasi “ ...hakuna kinyonge kitakachoingia pale...” imeandikwa. Hata hivyo, nawakubali ‘wasakatonge’ neno lenyenyewe ‘wasakatonge’ linalinaleta taswira kwamba ‘tunapambana’.

Kama tunavodai, tupo kwenye vita ya uchumi; ‘wanyonge’ hawafai ila ‘wasakatonge’ wanafaa na wanamchango kwa Taifa. Mnyonge ametulia tu sehemu ‘X’, juhudi kubwa anayofanya ni kutengeneza sura ya huruma wakati wote, sio vizuri.
Binafsi si-intateini unyonge.
 
Nyie siyo wanyonge bali mnadanganywa kupooza ukali wa maneno tu! Nyie mnaonwa na wengi kuwa ni waji.nga!
Mnakosaje wa kuwasemea wakati mko ktk majimbo yenye Wabunge?! Wanyonge ni watu wasiojitambua (Waji.nga).!
 
Huu utahira sijui mtaacha lini
 
Huyo aliyekuwa anawapumbaza watu na kuwavika taji la unyonge aliwasaidia nini... Kikwete alikusanya bilion 800 kwa mwezi..watu wakaishia maisha mazuri...huyo aliyewavika taji la unyonge alijinasibu kukusanya trion 1.... Maisha yakawa ya hovyoooo....bora wezi warudi tushibe..kuliko watakatifu walikuwa wanatuua kwa njaa.... Maisha mafupi mno..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…