Wanyonge tuunganishe nguvu kumuokoa Diamond

Kwenye ukweli tusemeee... Diamond ameleta challenge sana bongo fleva... He deserves to be the best...


🙏🙏🙏🙏

Hata leo hii messi akiwa na dharau usitarajie kumwona alipo sasa!!! Hamna kitu kibaya kama dharau!!
 
Ndiyo kashapotea

Alianza kulalamika ujerumani akaenda uingereza na sasa tanzania......siku si nyingi atalalamikia mbagala

Haaaa mie yangu macho....

Bado ana nafasi, mie naamini hivyo
 
Sasa ni wakati wa kukabidhi kijiti kwa wengne. Arudie ile kazi yake ya zamani kule mbagala na tandale mtogani.

watu mnaokaa kijijini mnajulikana tu tandale mtongani ni wapi ?
 

huyo dogo alipgwa majungu hapa akapotea chezea Jf wewe
 
Last edited by a moderator:
ngojeni 2015 ataipigia kampeni ccm hata wewe utamtukana kijana
 
mkuda tu huyo diamond wenu...aende zake hana maana...
 
Unajua Tanzania kinacho tu cost ni kubeba mizigo ya mavi! Na hii ni kuanzia kwenye viongozi wa kisiasa,soka,music,urembo,elimu na nyanja zote! Diamond ni mzuri jukwaani but he is aint a vocalist! Hana nyimbo zinazoweza kukaa hata miaka minne! Kosa la kwanza menejiment yake inashindwa kumfanya awe mwanamuziki wanamtumia cuz mwisho wa siku wao watapata wanachokitaka! Ukimwangalia Ally Kiba,Jide,Prof JAY! Unaona kwamba ni watu wanaosimama kwa miguu yao sio sikendo za magazeti! Every life span has got its end! Mi naona awe mpole ni kanuni za asili! Mwisho wa siku! KWELI ITASHINDA SIKU ZOTE! Abebe gharama ya kuuza uongo!
 
Si ni muda wa wanasiasa aliowapigia kampeni kujitokeza sasa.
 

hebu download hii nyimbo halafu kamsikilizishe domo
 
na wewe peleka ujinga wako huko. Au wew huna imani?

hapa umeniita mjinga na hapa chini unalalamika nina dharau haya nani mwenye dharau kati ya mimi na wewe ndio maana tandale hupajui mtoni mtongani hupajui
we dogo acha dharau za kishamba. Hiyo ni typing error. Au na wewe umeona hiyo ni hoja? B.we.g.e kweli.
 
we dogo acha dharau za kishamba. Hiyo ni typing error. Au na wewe umeona hiyo ni hoja? B.we.g.e kweli.

Typing error wapi? Kwani ukinyamaza utapata dhambi...hakuna tandale mtongani, kuna mtoni mtongani ma tandale kwa mtogoleeee....

Usije mjini by FA ukuburudishe mchana huu....
 
hapa umeniita mjinga na hapa chini unalalamika nina dharau haya nani mwenye dharau kati ya mimi na wewe ndio maana tandale hupajui mtoni mtongani hupajui

Basi kaushianeni kama vipi...msichafue hali ya uzi jamani...! Tuendeleeni kumpa Somo Daimond..
 
LORDVILLE umetisha na tafsiri ya wimbo wa mwana dalesilama wa ali kiba.nilikuwa sijui leo nimejua.hakika kiba ni fundi wa kucheza na kiswahili ktk mziki wa bongofleva.
 
Last edited by a moderator:
Alii Kiba kumbe ni mwanamuziki? Ndio namsikia leo
 
Kila mfalme na zama zake,kama zimepita basi akabidhi kijiti tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…