Wanyonge tuunganishe nguvu kumuokoa Diamond

Wanyonge tuunganishe nguvu kumuokoa Diamond

Sasa ni wakati wa kukabidhi kijiti kwa wengne. Arudie ile kazi yake ya zamani kule mbagala na tandale mtogani.

watu mnaokaa kijijini mnajulikana tu tandale mtongani ni wapi ?
 
Menejiment yake iangalie upya jinsi yeye almasi anabyofanya kazi zake. Wakuinua kazi zake ni menejiment yake na wao ndio wanaweza kumuangusha.

Kuna vitu mtu anaongea vinaweza kuathiri utendaji wa kazi zake, hasa hawa masupastaa na wanasiasa. Ndio maana wengi huajiri watu wa kuangalia mienendo yao hasa kwenye mitandao ya kijamii., mahojiano na waandishi wa habari na majibizano na wasanii wenzake ambayo kwa hakika hayana tija kwenye kazi zake. Awe na watu wanaomskrutini na kumkanya yapi aseme na yapi asiseme au kujibizana na mtu. Bahati mbaya Mimi sio shabiki wa mziki, hata ukiniuliza ana nyimbo ngapi mwaka huu sina weledi, lakini mtukama almasi ni kioo cha Tanzania na hatuna budi kuinua kipaji chake na kumpa sapoti. Haijalishi wewe ni shabiki wake ama la. Kuna yule dogo alikuwa akija sana jf heaven on desert, huu ndo wakati wa kufanya kazi ili kuhakikisha chati ya almasi inabaki juu. Tatizo letu watanzania ni wivu. Tunataka wote tuwe masikini.

huyo dogo alipgwa majungu hapa akapotea chezea Jf wewe
 
Last edited by a moderator:
ngojeni 2015 ataipigia kampeni ccm hata wewe utamtukana kijana
 
mkuda tu huyo diamond wenu...aende zake hana maana...
 
Unajua Tanzania kinacho tu cost ni kubeba mizigo ya mavi! Na hii ni kuanzia kwenye viongozi wa kisiasa,soka,music,urembo,elimu na nyanja zote! Diamond ni mzuri jukwaani but he is aint a vocalist! Hana nyimbo zinazoweza kukaa hata miaka minne! Kosa la kwanza menejiment yake inashindwa kumfanya awe mwanamuziki wanamtumia cuz mwisho wa siku wao watapata wanachokitaka! Ukimwangalia Ally Kiba,Jide,Prof JAY! Unaona kwamba ni watu wanaosimama kwa miguu yao sio sikendo za magazeti! Every life span has got its end! Mi naona awe mpole ni kanuni za asili! Mwisho wa siku! KWELI ITASHINDA SIKU ZOTE! Abebe gharama ya kuuza uongo!
 
Si ni muda wa wanasiasa aliowapigia kampeni kujitokeza sasa.
 
WanaJF sasa ni dhahiri vita ya kummaliza Diamond kisanii ni kubwa sana na peke yake hataiweza kutokana na aina ya watu wanaoiendesha,mmeshuhudia jana kilichofanyika Fiesta.Binafsi sina tatizo na Diamond mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,huyu Dogo anajitahidi,anajituma na anaiheshimu sana kazi yake kwa bahati mbaya Mungu anamuwashia Greenlight linajitokeza kundi tena la Watanzania wenzetu bila sababu zozote za Msingi linaamua kummaliza,Diamond ni Icon ya kitaifa kimataifa hakuna faida yoyote tutakayopata kwa kumuua kisanii ila kuna faida taifa litapata kwa kumuunga mkono,Fimbo ya mnyonge ni umoja,naombeni tumsaidie huyu Bwanamdogo na nashauri Menejimenti yake iangalie mbele Promotion zifanyike TV na Radio za kimataifa zaidi kwasababu ishaonekana Local kuna hujuma.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

hebu download hii nyimbo halafu kamsikilizishe domo
 
na wewe peleka ujinga wako huko. Au wew huna imani?

hapa umeniita mjinga na hapa chini unalalamika nina dharau haya nani mwenye dharau kati ya mimi na wewe ndio maana tandale hupajui mtoni mtongani hupajui
we dogo acha dharau za kishamba. Hiyo ni typing error. Au na wewe umeona hiyo ni hoja? B.we.g.e kweli.
 
we dogo acha dharau za kishamba. Hiyo ni typing error. Au na wewe umeona hiyo ni hoja? B.we.g.e kweli.

Typing error wapi? Kwani ukinyamaza utapata dhambi...hakuna tandale mtongani, kuna mtoni mtongani ma tandale kwa mtogoleeee....

Usije mjini by FA ukuburudishe mchana huu....
 
hapa umeniita mjinga na hapa chini unalalamika nina dharau haya nani mwenye dharau kati ya mimi na wewe ndio maana tandale hupajui mtoni mtongani hupajui

Basi kaushianeni kama vipi...msichafue hali ya uzi jamani...! Tuendeleeni kumpa Somo Daimond..
 
LORDVILLE umetisha na tafsiri ya wimbo wa mwana dalesilama wa ali kiba.nilikuwa sijui leo nimejua.hakika kiba ni fundi wa kucheza na kiswahili ktk mziki wa bongofleva.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom