Wanyonge tuunganishe nguvu kumuokoa Diamond


Siyo kosa lake....kaanza kufatilia mziki baada ya domo kuwika
 
Mi Naamini Daimond hua hakati tamaa na alijua kabisa kinachochezwaa, Dai songaaaaaa mwaego na hiyo ni hasira ya wewe kuongeza juhudi
Ally kiba kabebwaaa nae tuone juhudi zake sasa ushindani umeanza rasmiiiii
 
mshazomewaaaaaa
km kawa watoto wa uswaziiii ye si kwenye video bwana
 
Kama hiyo ndo hujuma, kuna mtu/kundi la watu liliendesha kampeni kuwa azomewe? Na kama cloud ya watu ilizomea, yeye hawezi kuona sehemu fulani kalegea?

Anyway, katika issue yoyote ile, ups and downs zipo sana tu!


Watu kwa kutafsiri tu mko vzuri
 
diamond katolewa ki muziki na ali kiba na bob junior baadae akaanza kuwatukana..

abadilike

Aliwatukana wapi????

Kuna watu waliwahi kulipwa na Ali Kiba elfu 35 ili tu wakamzomee Diamond Maisha Club...

Kiba ni msanii bora kama ilivyo kwa Diamond, Diamond arekebishwe anayoambiwa
 

Hahaaa nmeanza kusoma comment bla kusoma id nkahisi huyu mwanamke kuchek id kweli... wanawake kwa maneno
 
Mi Naamini Daimond hua hakati tamaa na alijua kabisa kinachochezwaa, Dai songaaaaaa mwaego na hiyo ni hasira ya wewe kuongeza juhudi
Ally kiba kabebwaaa nae tuone juhudi zake sasa ushindani umeanza rasmiiiii

Heheehee wanamchukia kisa kahonga gari...sijui walitaka wahongwe waooo...
Sasa mtu una sura ngumu kama ngozi ya futi unaona wivu mwenzio kahongwa gari...hata mkichukia mtaendelea kuhongana miswaki...

Niliyemchefua ndimu zipooo...

Haters ndo watamuweka juuu juu zaidi, mafanikio hayapimwi kwa kelelee..!
 
Hiyo ilishawatokea kundi la p square wakati huo d banj anapewa promo na wao wanapondwa.Kilichowasaidia ni kuachana na makanjanja na kuelekea mamtoni.Leo wapo juu maadui wao wanaona aibu.Hivyo diamond asife moto.
 
binamu like zako milioni
kumbe wanajua maana ya neno hekma
jana kweli ALLY KAMFANYA MTU MBAYAAAAAAA

Binamu hawa ndugu walikuwa na vurugu mpaka wanaboa humu jamvini,leo wanaomba msaada wa kuungana acha nijichekee tu.
 

Subiri tuone matokeooo nani zaidiii dai na aly k, tusiandikie mate na wino upoooooooooooo
 
Nilishawahi kusema Diamond anahitaji kupatana na baba yake, anahitaji baba kumfundisha kuwa mwanaume sio mama, ila Sidhani kama hilo linawezekana kwa vile mama ameshamwaga sumu, hata Jay z aliachwa na baba yake ila alitumia busara kwa hekima Ya mama yake kupatana nae Kabla hajafa na mwisho apunguze dharau na viburi vitu ambavyo angekuwa na father figure angejifunza, mafanikio yake aliopata ni kwasababu Ya kujituma ila kipaji sio kivilee na hata hayo mafanikio yanaweza kupotea kama hatatulia na kujiuliza wapi anapokosea.
 
shut up acheni upuuz hiv mtafrah kipi kama diamond akipotea kimuzki na mtafurah vp kama ali kiba akipotea kumbukeni wote ni vijana wetu na wanaiwakilisha nchi poa sasa mnachokitaka kitawasaidia nn upuuz tu na uwezo mdogo wa kufikr cha msingi tumsapoti kiba afike levo za juu na diamond azidi kwenda juu zaidi sasa mnachokifanya mtamvumbisha kiba kichwa na mwisho wa siku kimaslahi inakuwa vise versa
 
kweli kaka ukiangalia hata walivyopanda fety na b12 walikuwa wanambeba zaidi kiba
 
Kelele za chura...,,,....,, mnaomponda dai mna stress za maisha! Kijana mdogo kawapiga bao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…