Poleni na Daimondi wenu, nashukuru Mungu hivi vitu vyote vinavyoanzia na 'bongo' sihusiki navyo, BONGO MUVI, BONGO FLEVA, nk. sioni jipya huko.
sawa hata mwaka mmoja nyuma p square walikuwa top Nigeria ila sasa hivi ni Davido
Maisha ndivyo yalivyo kama ukiwadharau waliokupandisha na kukushusha itakuwa rahisi
kubomoa ni rahisi kuliko kujenga
hawezi kusema mbeya hakuna hotel ya hadhi yake wakati miaka mitano nyuma alikuwa akiishi tandale
yuko wapi Mr nice ? Huyu ndie aliringa kupanda jukwaani akiwa back stage na chameleon akapanda akaimba
Hakuna wa kudumu milele ingekuwa yupo maisha yangeboa sana
hapo hakuna fitina wala nini ila kiba anapendwa kwa sasa na watu wamemchoka diamond japo nikweli nae anafanya mziki mzuri
Propaganda......Kiba hana hela yakulipa watu wakazomee mtu.Ili iwe nn??huyo aliyetoa huo ushuhuda amepanic baada ya Matola kumwambia kuwa kama anahongwa elfu 30 je million si ndo atapanua miguu.
Uliona alivyojibu???
Usitafune maneno nilisema atapanuwa miguu apigwe boro kwa kujirahisisha kupita kiasi.
Kuna mtu huko facebook anasema mashabiki wa Kiba walilipwa eti na wengine walisombwa kwenye gari za UDA ili wakamzomee Ndomo, nimeishia kucheka tu.
Yaani hawa team ndomo wamechanganyikiwa si kawaida.
Wangeweza wangemgaragaza Lady JD kwanza.
Namshauri Diamond aonane na Lady JD haraka iwezekanavyo apate maujanja.
Kujitambua na kutambua hadhi yako ni muhimu sana ndo wabunge walisema maisha dodoma ghali wakalipwa 300000 wakati watumishi wengi ndo mshahara wao mwisho wa mwezi
Ally kiba na diamonds ndio akina nani ? jamani
kula tano hatupendi maisha ya location mda woteNilizani wabongo wanashabikia mabo ya kijinga kumbe hawapendi mambo ya maigizo ya kina wema na diamond na ndo shida kubwa....abadilike awe gentleman atapata heshima
....dharau zinamkosti hii ndio bongo yatamkuta ya Mr nice