Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Kuna mtu anaweza kuodhesha dharau za diamond,maana mi nanona dharau dharau tu
Mbeya hakuna hotel ya hadhi ya kulala yeye,kawatukana wana mbeya wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu anaweza kuodhesha dharau za diamond,maana mi nanona dharau dharau tu
Wamemfanyaje sisi wengine huyu kijana uwa tunamuona kwenye magazeti tu, tumuokoe vipi?WanaJF sasa ni dhahiri vita ya kummaliza Diamond kisanii ni kubwa sana na peke yake hataiweza kutokana na aina ya watu wanaoiendesha,mmeshuhudia jana kilichofanyika Fiesta.Binafsi sina tatizo na Diamond mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,huyu Dogo anajitahidi,anajituma na anaiheshimu sana kazi yake kwa bahati mbaya Mungu anamuwashia Greenlight linajitokeza kundi tena la Watanzania wenzetu bila sababu zozote za Msingi linaamua kummaliza,Diamond ni Icon ya kitaifa kimataifa hakuna faida yoyote tutakayopata kwa kumuua kisanii ila kuna faida taifa litapata kwa kumuunga mkono,Fimbo ya mnyonge ni umoja,naombeni tumsaidie huyu Bwanamdogo na nashauri Menejimenti yake iangalie mbele Promotion zifanyike TV na Radio za kimataifa zaidi kwasababu ishaonekana Local kuna hujuma.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Haaaa mie yangu macho....
Bado ana nafasi, mie naamini hivyo
Wabongo hatupendi kuona mtu akifanikiwa hata siku moja
Alii Kiba kumbe ni mwanamuziki? Ndio namsikia leo
Diamond ndo mbunge wa wapi?
Hawatamuweza platinumz.
Ndiyo kashapotea
Alianza kulalamika ujerumani akaenda uingereza na sasa tanzania......siku si nyingi atalalamikia mbagala
Kwa bahati mbaya sana kwako utaendelea kumskia zaidi
Mkuu Salas sio dharau tu bali hata njia anazotegemea kumpaisha sio sustainable, anategemea nguvu ya mashabiki na sio nguvu ya founded quality ya mziki wake.
Anatokea mtu eti tumsaidie! My foot hiyo anayofanya yeye ni kazi kama walimu, madakitari au wale wazee wetu waliokuwa wafanyakazi wa iliyokuwa EAC waliofuatilia madai mpaka wanafia kwenye ofisi za serikali.
Pia ikumbukwe kila jambo na wakati
Ritz habari yako....Wamemfanyaje sisi wengine huyu kijana uwa tunamuona kwenye magazeti tu, tumuokoe vipi?
we dogo acha dharau za kishamba. Hiyo ni typing error. Au na wewe umeona hiyo ni hoja? B.we.g.e kweli.
Mbeya hakuna hotel ya hadhi ya kulala yeye,kawatukana wana mbeya wote
Kiba aliimba... ye hakuzomewa hata kidogo alikua anashangiliwa mwanzo mwisho.... nadhani hata yeye zile shangwe hakuzitegemea..
Diamond arekebishe hizo dharau wanasema anazo otherwise nae ni msanii mzuri sana
diamond katolewa ki muziki na ali kiba na bob junior baadae akaanza kuwatukana..
abadilike