Serikali yaeleza sababu ya bei ya saruji kupanda
Serikali imesema saruji kupanda bei kumechangiwa na mambo kadhaa ikiwa ni pamoja ni baadhi ya viwanda kufungwa kwa ajili ya matengenezo. Akizungumza na TBC, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Ludovick Nduhiye amesema kufungwa kwa viwanda hivyo kumeathiri viwanda vingine kwani...swahilitimes.co.tz
Njooni huku wamewajibuuu😛😛😛😛
Baelezeee bei za uchumi wa katiHizo ndio bei za ULAYA sasa , tushafika ULAYA . Naiona NEWYORK hiyoo [emoji122] [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani kuna kitu ambacho hujaelewa kwenye huo ufafanuzi hapo juu , au ndio unataka ujulikane Kama na ww ni mbishi tuu.Kumbe ni price range ndio iliyopo na sio price moja sivyo? Sasa kwanini achague 35,000/= badala ya 14,000/= kwa mfano? Kwani wote tunaishi huko inakouzwa bei hiyo?
Upotoshaji sio mzuri, kwani angesema bei ni hii hadi hii, angepungukiwa nini?Kwani kuna kitu ambacho hujaelewa kwenye huo ufafanuzi hapo juu , au ndio unataka ujulikane Kama na ww ni mbishi tuu.
Kwani wewe unataka nini, mkuu kwani kuna bei yeyote aliyoweka ya uongo mpaka useme upotoshaji , yaani hata ukwel hamtaki usemwe haya basi bei ya cement ni 10,000/= , haya furahi sasaUpotoshaji sio mzuri, kwani angesema bei ni hii hadi hii, angepungukiwa nini?
Mkuu upo Njombe maeneo gani tupige story mbili tatuNjombe 20,000
wakuu nauza cement aina ya twiga bei 14500 kwa mfuko.. kuna mifuko 600,. .. napatikana dsm...
contact me via sms .. 0786744401.
Twiga gani?
Extra au Plus au gani? [emoji2369][emoji2369]
Duh ni hatari sanaMafuta ya kula nayo yamepanda gafla kutoka 66000 kwa 20lita hadi 72000
Kamuulize Magufuli na maccm wenzako.Nini kipo nyuma ya hili!?
Hakuna kujenga kwanza, taifa linasimama kwa muda bila ujenzi kwanza, moment of silent
Wataalam wanasema miezi mitatu tu.Hivi cement inaweza tunzwa hata miaka mingapi isiharibike?
Ahaa sawaWataalam wanasema miezi mitatu tu.
Ila kuna namna ya kuihifadhi zaidi isiharibike.
Storage of Cement – Precautions, Duration and Place of Storage
Proper precautions for the storage of cement such as duration and place of storage, arrangement, atmospheric moisture content etc. is necessary after the process of manufacturing and before using i…theconstructor.org