Wanyonge wenzangu, bei ya Saruji huko kwenu ipo vipi?

Wanyonge wenzangu, bei ya Saruji huko kwenu ipo vipi?


Njooni huku wamewajibuuu😛😛😛😛
 
Labda niwaulize kuna haja gani ya cement KUENDELEA kupelekwa Rwanda wakati sisi wenyewe tuna shida ya cement?

Njooni huku wamewajibuuu😛😛😛😛
 
Hizo ndio bei za ULAYA sasa , tushafika ULAYA . Naiona NEWYORK hiyoo [emoji122] [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23]
Baelezeee bei za uchumi wa kati
 
Kumbe ni price range ndio iliyopo na sio price moja sivyo? Sasa kwanini achague 35,000/= badala ya 14,000/= kwa mfano? Kwani wote tunaishi huko inakouzwa bei hiyo?
Kwani kuna kitu ambacho hujaelewa kwenye huo ufafanuzi hapo juu , au ndio unataka ujulikane Kama na ww ni mbishi tuu.
 
Kwani kuna kitu ambacho hujaelewa kwenye huo ufafanuzi hapo juu , au ndio unataka ujulikane Kama na ww ni mbishi tuu.
Upotoshaji sio mzuri, kwani angesema bei ni hii hadi hii, angepungukiwa nini?
 
Wakuu nauza cement aina ya twiga bei 14500 kwa mfuko.. kuna mifuko 600,. .. napatikana dsm...

contact me via sms .. 0786744401.
 
Mimi sio mnyonge;Lakini bei ya saruji huku kwetu ni 20,000/=,Japo haipatikani pia.Mwanzo ilikuwa 15,000/=.
 
Nilipo kwasasa imeshuka inapatikana kwa 16 elf kwamfuko wakilo 50
TEMBO CEMENT
FASTA PLUS
 
Kwa elfu 15 Dangote, lakini haikai lori likipakua muda mfupi tu imeshachukuliwa. Wengine wanakugonga elfu 16.
 
Back
Top Bottom