mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wewe unaongea nini ndugu, Cement ipo madukani tatizo ni bei na sio uhaba wa cement.
Dar ni 16,000Mwanza
acha ubishi basi.
Mimi nauza hardware .najua kuhusu cement.
Kuna watu Wana mwezi hawajashushiwa cement.
Kama cement ipo madukani kwanini ipande Bei?.
Nondo zimepanda bei kwa nini wakati ukienda Kamal steel, Metro steel, Simba steel, Al Qaim hata MMI wana stock kubwa ya nondo. Narudia cement haijaaddimika bali wazalishaji wanapunguza supply ili kupandisha bei. Dangote, Twiga, Simba hata La Farge kule mbea wana cement nenda kiwandani uone kama hakuna cement.
Njombe sehemu gani hiyo beiNjombe 20,000
Don DEMBE nini!Mufindi 19 nayo dukani mnapanga foleni ndo ipate kama chakula harusin
Sasa umeongea nini na Mimi nimeongea nini?
Wewe umeongea pumba tu, and you seem to be a stupid talkative hawker.
don Dembe !!! ahahahhaDon DEMBE nini!
we jamaa unambishia mwenzio akati unachoandika ww ndo kile kile alihoandika yy .Wewe umeongea pumba tu, and you seem to be a stupid talkative hawker.
boya tu huyo jamaa, mimi nilikuwa namuangalia tu anavyorukaruka tu kama maharage jikoni[emoji3]we jamaa unambishia mwenzio akati unachoandika ww ndo kile kile alihoandika yy .
Cement haipo madukani, tatizo ni uzalishaji.Tangu mwezi wa 9 kumekuwa na kudorora kwa uzalishaji wa cement.Wewe unaongea nini ndugu, Cement ipo madukani tatizo ni bei na sio uhaba wa cement.
Ni kweli mkuu, atakae kubishia ni yule asiehusika na hayo maswala.Tangia mwezi wa tisa kumekuwa na uzalishaji mdogo sana wa cement.Hasahasa cement aina ya Twiga plus ndiyo imekuwa adimu Sana nchini.acha ubishi basi.
Mimi nauza hardware .najua kuhusu cement.
Kuna watu Wana mwezi hawajashushiwa cement.
Kama cement ipo madukani kwanini ipande Bei?.
Ni kweli mkuu, atakae kubishia ni yule asiehusika na hayo maswala.Tangia mwezi wa tisa kumekuwa na uzalishaji mdogo sana wa cement.Hasahasa cement aina ya Twiga plus ndiyo imekuwa adimu Sana nchini.
Afadhali umenipa moyo kaka, presha ilianza kupanda hapaUsijali .tupo watu wengi humu.
Tuvumiliane.
Pale twiga cement inatoka Ila ni kwa wale wateja wa oda maalumu,labda zile zinazoenda Rwanda,kwenye miradi ya serikali na magorofa makubwa.ambao wao wanachukua cement moja kwa moja kutoka kiwandani hawatumii wakala.na wanapelekewa na magari ya kiwanda.
Ila sisi huku wa kwenye maduka mpaka itufikie kazi ipo.msaki kuna wateja wake Wana mwezi hawajapata cement.na hela wameshalipia.
Cement inatoka kwa majina ya watu maarufu.ila hii NI sababu ya uchaguzi wamepunguza uzalishaji Mambo ya kitulia watazalisha nyingi.
Na kuoa ni maishaMlichagua Upinzani Wa Kazi Gani Ninyi
Hakuiona Ccm Hoyee!!
Kosea Kuoa Lakini Siyo Kuchagua Ukikosea KuchaguaNi Mpaka Baada Ya Miaka Mitano [emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1]
Kumbe maintanance huwa viwanda vyote vinafanya wakati mmoja.??? Sawacement iko juu kwasababu katika miezi hii hapa walipunguza productio n maana walikua wanafanya maintanence viwandani.. kufikia dec mwishoni au january hali itarudi kua shwari..