Wanyonge wenzangu, bei ya Saruji huko kwenu ipo vipi?

Mfumuko wa bei unaendelea kuongezeka katika bidhaa za ujenzi mfano cementi ilikuwa sh 15000 sasa hivi tunanunua sh 30000. Bati ilikuwa bandari sh 260000 sasa hivi 300000.mamlaka zinazohusika zifanyie kazi hili
Mitano tena... Hadi iishe tutakuwa Zimbabwe
 
Mfumuko wa bei ni kitu kibaya sana, ukichukulia na hali mbaya za watanzania wengi zilivyo kiuchumi, hakika tutateketea.

Hapo bado hatujawekewa vikwazo vya kiuchumi na mabeberu kwasababu ya ule uchaguzi feki uliofanyika, mbona tunakwenda kuwa Zimbabwe.
 
Mfumuko wa bei unaendelea kuongezeka katika bidhaa za ujenzi mfano cementi ilikuwa sh 15000 sasa hivi tunanunua sh 30000. Bati ilikuwa bandari sh 260000 sasa hivi 300000.mamlaka zinazohusika zifanyie kazi hili
Hujui maana ya uchumi wa kati? Mbona zamani cement tulinunua sh 20 kwa mfuko, wakati unabadilika acha kulialia.
 
Mfumuko wa bei ni kitu kibaya sana, ukitokea hapa kwetu ukichukulia na hali mbaya za watanzania wengi zilivyo kiuchumi, hakika tutateketea.

Hapo bado hatujawekewa vikwazo vya kiuchumi na mabeberu kwasababu ya ule uchaguzi feki uliofanyika, mbona tunakwenda kuwa Zimbabwe.
Vijana hamjitokezi katika uchaguzi!! Mna Kuwa wa kwanza kusema uchaguzi feki!!tutaanza kuwachukulia hatua!
 
mkoa gani maana niko mwisho wa tz ila ni 230000
23,0000 unaona ni kawaida? Halafu haya makampuni ya sementi kucheza na soko kwa kuamua kuumiza watu wa miji fulani haijakaa sawa. Bahati mbaya watu wako busy kusubiri viapo. Hawa inapaswa wawe wanapewa adhabu retrospective.
 
Mfumuko wa bei unaendelea kuongezeka katika bidhaa za ujenzi mfano cementi ilikuwa sh 15000 sasa hivi tunanunua sh 30000. Bati ilikuwa bandari sh 260000 sasa hivi 300000.mamlaka zinazohusika zifanyie kazi hili

Wewe unazungumzia cement na bati !!!, kiwanja cha kujengea bila shaka unacho.

Wenzako bado tupo na Sukari kutoka shs 1800 hadi leo shs 3000.🤣
 
viwanda vimepunguza uzalishaji makusudi mwanzo walisingizia uchaguzi.
Ila sasa naona wamenogewa na hizo Bei.

NI aibu cement inatoka hapo wazo lakini dar na bagamoyo HAKUNA cement.

Mimi nailaumu serikali.kwanini wasimruhusu dangote awanyooshe wale twiga cement?

Twiga cement kalewa sifa anafanya anavyotaka yeye.mara umeme umekatika,Mara wanafanya usafi wanazima mitambo,Mara wanafanya matengenezo yaani tafrani.

Mpaka nyati nao wameanza kuiga huu mtindo wa twiga.
 
Viwanda vyenyewe vina Mambo ya ajabu.
Sasa watu wanahangaika cement hamna.
Wamfungulie dangote
Nilikua najenga ka servant quotta kangu imebidi niache, simenti imetoka 18,500 hadi 24,000.

CCM hata tukiwapa miaka 500 hakuna kitu cha maama watatufanyia.
 
Mfumuko wa bei unaendelea kuongezeka katika bidhaa za ujenzi mfano cementi ilikuwa sh 15000 sasa hivi tunanunua sh 30000. Bati ilikuwa bandari sh 260000 sasa hivi 300000.mamlaka zinazohusika zifanyie kazi hili

Hakuna sababu, uchumi wa kati ni gharama, hata Mama Ntilie kutakuwa Hakuna!

Ngoja tu taratibu wala tushushe uchumi uwe wa chini tena, toa ushauri wako ili tujadili kuhusu kuushusha!
 
viwanda vimepunguza uzalishaji makusudi mwanzo walisingizia uchaguzi.
Ila sasa naona wamenogewa na hizo Bei.
NI aibu cement inatoka hapo wazo lakini dar na bagamoyo HAKUNA cement.
Mimi nailaumu serikali.kwanini wasimruhusu dangote awanyooshe wale twiga cement?
Twiga cement kalewa sifa anafanya anavyotaka yeye.mara umeme umekatika,Mara wanafanya usafi wanazima mitambo,Mara wanafanya matengenezo yaani tafrani.
Mpaka nyati nao wameanza kuiga huu mtindo wa twiga.

Mimi sijengi nyumba, nitaendelea kupanga hadi kieleweke.
 
HAKUNA mfumuko wa Bei wowote uliotokea.
Hii NI njama ya viwanda kuhujumu uchumi.
TATIZO SIO BEI YA CEMENT TATIZO HAIPATIKANI.bora cement ipande lakini ipatikane.sasa cement hamna ndo maana u aona Bei imepanda.lakini HAKUNA mfumuko wa Bei.
Wamepunguza uzalishaji makusudi.
Mfumuko wa bei ni kitu kibaya sana, ukichukulia na hali mbaya za watanzania wengi zilivyo kiuchumi, hakika tutateketea.

Hapo bado hatujawekewa vikwazo vya kiuchumi na mabeberu kwasababu ya ule uchaguzi feki uliofanyika, mbona tunakwenda kuwa Zimbabwe.
 
HAKUNA mfumuko wa Bei wowote uliotokea.
Hii NI njama ya viwanda kuhujumu uchumi.
TATIZO SIO BEI YA CEMENT TATIZO HAIPATIKANI.bora cement ipande lakini ipatikane.sasa cement hamna ndo maana u aona Bei imepanda.lakini HAKUNA mfumuko wa Bei.
Wamepunguza uzalishaji makusudi.

Kupunguza uzalishaji Ili bei ipande na kodi ipande, kama jinsi Sukari ilivyopanda kinyemela kutoka sh 1800------3000. Na serikali ipo kimya kama haioni.✊🏻🤣
 
We ACHA tu.
Yaani Nina hasira Sana.
Kupunguza uzalishaji Ili bei ipande na kodi ipande, kama jinsi Sukari ilivyopanda kinyemela kutoka sh 1800------3000. Na serikali ipo kimya kama haioni.[emoji1307][emoji1787]
 
Kupunguza uzalishaji Ili bei ipande na kodi ipande, kama jinsi Sukari ilivyopanda kinyemela kutoka sh 1800------3000. Na serikali ipo kimya kama haioni.✊🏻🤣
We are suffocating, we cannot make the alternative choice in a ballot box nor demonstrating our voice.
 
Back
Top Bottom