Wanyonge wenzangu, bei ya Saruji huko kwenu ipo vipi?

Na Bado"Tupo Uchumi wa Kati" Means Misaada Uzembe tulizokuwa tunapata toka kwa Mabeberu Wameipunguza na zingine Kuzikata Kabisa. Sasa, Tujiandae Kukinywea Kikombe!!!!! Mfuko waSaruji Hautachagua CCM wala CUF, Ni Kwa wote...

CCM hawajali maana wengi hawajengi, wengi wamepanga na kukaa nyumba za matope. Kwa mwenendo wa mambo hapa nchini kwetu ya Nyerere huenda yakajirudia.

Cement ilianza kupanda kabla hata ya uchaguzi na hakuna kiongozi alijitokeza kusema chochote, na hata sasa sioni wa kujitokeza kusema chochote, maana hawako madarakani kwa kura za wananchi bali kwa kura za wizi na vyombo vya dola.
 
Tukipata waziri wa fedha wiki ijayo mambo yatakua mswano
 
Mh lazaro NYALANDU amezuiliwa namanga akiwa anaelekea Kenya kutafuta hifadhi. Amezuiliwa namanga. Kufika mwakani tutabaki mimi na wewe
Aliyekamatwa ni Godbless Lema au Lazaro Nyalandu? Na amekamatiwa Namanga au Kajiado? Kuna Watu nikiwa nawaita 'Wapumbavu' mkubali tu.
 
Tegemeo lake pekee Afdb Africa development bank
 
Popo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…