Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Unless utuambie wewe hautakufa ila kama utakufa unataka kupeleka wapi maini yakiwa mazima?
Labda nikupe homework ndogo tu bwana mnywa juice, hebu nenda amana hospital au muhimbili alafu omba register ya mochwali alafu angalia kwa miezi 6 iliyopita maiti ngapi ziliingia kwa sababu ya kunywa pombe kali alafu linganisha na maiti ngapi ziliingia sababu ya ajali au sababu ya other medical magonjwa, ukipata jibu nunua konyagi unywe (isiwe feki lakini!)
Unaogopa kufa kwa pombe alafu unapanda boda kila siku?