Sikia nikuambie mzee, nature inasema kuna kuzaliwa kuishi na kufa..sasa usi justify kunywa sumu sababu unajua kuna kufa, hizo zinazotokea ni uncertainities za kimaisha, you are at wrong place at wrong time, na kuna kufa kwa uzembe wako, kufa kwa kua muda umefika(Gods plan) na kuna kufa kwa uzembe wa watu wengine ..Pale kariakoo waliokufa ni walevi tu kumbe!
Kwa mfano leo wewe na mimi tumekufa, lakini wewe umekufa huku maini yako bado mazuri sana, na mimi nimekufa huku yangu yana matobo kisa pombe, MAINI YAKO MAZIMA HUKU UKIWA UMEKUFA YANA FAIDA GANI TENA
Hoja sio kutunza maini, hoja ni kujikinga na magojwa ya kutesa, ambayo ni madhara ya moja kwa moja ya pombe.Unless utuambie wewe hautakufa ila kama utakufa unataka kupeleka wapi maini yakiwa mazima?
Labda nikupe homework ndogo tu bwana mnywa juice, hebu nenda amana hospital au muhimbili alafu omba register ya mochwali alafu angalia kwa miezi 6 iliyopita maiti ngapi ziliingia kwa sababu ya kunywa pombe kali alafu linganisha na maiti ngapi ziliingia sababu ya ajali au sababu ya other medical magonjwa, ukipata jibu nunua konyagi unywe (isiwe feki lakini!)
Unaogopa kufa kwa pombe alafu unapanda boda kila siku?
Sikia nikuambie mzee, nature inasema kuna kuzaliwa kuishi na kufa..sasa usi justify kunywa sumu sababu unajua kuna kufa, hizo zinazotokea ni uncertainities za kimaisha, you are at wrong place at wrong time, na kuna kufa kwa uzembe wako, kufa kwa kua muda umefika(Gods plan) na kuna kufa kwa uzembe wa watu wengine ..Kwa mfano leo wewe na mimi tumekufa, lakini wewe umekufa huku maini yako bado mazuri sana, na mimi nimekufa huku yangu yana matobo kisa pombe, MAINI YAKO MAZIMA HUKU UKIWA UMEKUFA YANA FAIDA GANI TENA?
Umasikini hauletelezwi na Unywaji wa Pombe !walevi ni wapumbavu wa mwisho pombe ni mahususi kwa wapumbavu,losers kichocheo cha uwasherati ulioambatana na umasikini
Uongo mbona mi sioni athari zake mnazosema. Hiyo sumu inaitwaje?Sio swala la.kuishi milele.mkuu. sumu hizo.zinaua
Sasa unywe sumu sababu unajua kua kuna kufa. Hio ni akili ama matope. Mungu amekubariki.kukupa miaka 80 ya kuishi, wewe unaipunguza kwa kusema sababu kuna kufa ngoja ninywe sumu(pombe kali).
Huwezi kupambana na Darwinian evolution, survival of the fittest, nowadays more mentally.Wasaalam!!!!
Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...
Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui, matokeo ya unywaji huo unaenda kuunguza maini yako na kukusababishia matatizo ya figo, ila kwa tajiri mwenye kiwanda ama hio kampuni anaendelea kua tajiri mkubwa, anajenga majengo ya hatari na magari ya kifahari, pesa ya kutosha iko benki..
Ila wewe huku unaangamia, mbaya zaid unakuta hata hakujui maskin ya Mungu wakat unaanza kwenda hospitali kufanya dialysis , tumbo limevimba, yeye huku anakula maisha, mbaya zaid yeye hatumii, yeye anakunya maji tu na kufanya mazoezi, mwisho wa siku unapata magonjwa kama kansa ya utumbo n.k, wewe ukiwa unakata roho yeye wala anakula.maisha bado. Ukiwaona huko.mitandaoni mixer kutoa shauri nasaha za maisha na jinsi ya kufanikiwa.
Kaa tafakari.
ACHA POMBE..
nazungumzia walevi je tajiri namba moja duniani ni mlevi? ni tajiri gani unayemfahamu ni mlevi wa visunguraUmasikini hauletelezwi na Unywaji wa Pombe !
Mtu yeyote anayesema pombe huleta Umasikini basi atakuwa na matatizo ya kiakili!
Hahah umenena vyemaHii Dunia unaweza kuhangaika ila ukaja kufa na ajali ya Bodaboda.
Kwenye karamu ya kana nako tungi lilikuwepoSikia nikuambie mzee, nature inasema kuna kuzaliwa kuishi na kufa..sasa usi justify kunywa sumu sababu unajua kuna kufa.
Sikia nikuambie mzee, nature inasema kuna kuzaliwa kuishi na kufa..sasa usi justify kunywa sumu sababu unajua kuna kufa, hizo zinazotokea ni uncertainities za kimaisha, you are at wrong place at wrong time, na kuna kufa kwa uzembe wako, kufa kwa kua muda umefika(Gods plan) na kuna kufa kwa uzembe wa watu wengine ..sasa uharibu afya yako kizembe kwa sababu unajua utaanguka na bodaboda au utapata ajali au utaangukiwa na gorofa kama.watu wa kariakoo.Unless utuambie wewe hautakufa ila kama utakufa unataka kupeleka wapi maini yakiwa mazima?
Labda nikupe homework ndogo tu bwana mnywa juice, hebu nenda amana hospital au muhimbili alafu omba register ya mochwali alafu angalia kwa miezi 6 iliyopita maiti ngapi ziliingia kwa sababu ya kunywa pombe kali alafu linganisha na maiti ngapi ziliingia sababu ya ajali au sababu ya other medical magonjwa, ukipata jibu nunua konyagi unywe (isiwe feki lakini!)
Unaogopa kufa kwa pombe alafu unapanda boda kila siku?
Acha kututisha mkuu! Magonjwa now days anaumwa mtu yoyote sio mpaka unywe pombe” piga vyombo fanya mazoezi pumzika..... japo hii sio njia yakuzuia usife muda ukifika ni safari ata unywe maji tuWasaalam!!!!