Wanywa pombe kali huwa mnajiuliza swali hili mkiwa mnakunywa?

walevi ni wapumbavu wa mwisho pombe ni mahususi kwa wapumbavu,losers kichocheo cha uwasherati ulioambatana na umasikini
Umaskin mkubwa sana mkuu..
Ila wenye kampun hizo za pombe wanaendelea kua matajiri, juzi kuna mmoja kanunua gari ya milioni 700 na wako huko.kwenye mitandao.wanayaonesha mafanikio yao makubwa
Hili jambo hua linanikasirisha sana
 
Sio swala la.kuishi milele.mkuu. sumu hizo.zinaua
Sasa unywe sumu sababu unajua kua kuna kufa. Hio ni akili ama matope. Mungu amekubariki.kukupa miaka 80 ya kuishi, wewe unaipunguza kwa kusema sababu kuna kufa ngoja ninywe sumu(pombe kali).
Anza na hiyo simu ama pc unayotumia inatoa mionzi ambayo inadhuru mwili wako polepole,
Pili hospitalini wapo wagonjwa wenye shida za ini na Figo ambao hawajawahi kutumia pombe, ukiona uko na afya njema mshukuru Sana Mola wako na uwache kuwanyooshea wengine vidole.

Tatu ikiwa Mimi nakunywa pombe na wewe unakunywa Maji kila mmoja aheshimu kinywaji cha mwenzie tusipangiane.
 
nazungumzia walevi je tajiri namba moja duniani ni mlevi? ni tajiri gani unayemfahamu ni mlevi wa visungura
MLEVI siyo lazima anywe visungura!

Mlevi ni mlevi tu hata kama anakunywa wine (mvinyo),kiwango Cha ulevi ndicho hutofautiana!

Watu hunywa visungura kwasababu ya Hali ya kipato,unadhani mtu ana mavumba ya kutosha bado anakunywa kisungura?,na Je nani alikwambia tajiri namba moja si mlevi?
 
Ata maji ni sumu ukizidisha. Google water poisoning. Inaonekana huna akili ila unahisi unazo. Wewe kama una kitu personal na pombe usilazimishe kila mtu aichukie. Pombe zipo tangu vizazi na vizazi. Hakuna jamii isiyokuwa na pombe yao ya asili. Ni kimea tu hakina makosa.
 
Ingekuwa vizuri tuwe tunafanya check up at least kila mwaka kuhusu hali ya afya zetu. Itachangia sana kupunguza na kudhibiti baadhi ya magonjwa huko mbeleni.
 
Mtu anywae pombe hana akili kabisa tunakiwa tunywe uji
 
Mzee uta justify kwa kila jambo ila hilo ni angalizo, hakuna cha kuheshimu kinywaji cha mtu,hio ni sumu unaweka mwilini,sasa usi justify kunywa kilevi (sumu) kwa kusema sababu nina simu ina mionzi basi kufa kupo tu..hio sio akili.

Sikia nikuambie mzee, nature inasema kuna kuzaliwa kuishi na kufa..sasa usi justify kunywa sumu sababu unajua kuna kufa, hizo zinazotokea ni uncertainities za kimaisha, you are at wrong place at wrong time, na kuna kufa kwa uzembe wako, kufa kwa kua muda umefika(Gods plan) na kuna kufa kwa uzembe wa mtu/watu wengine ..
 
Hayo maini yako Mazima Yana matumizi gani ukifa!?? Kwanza Mungu alisema TUTAPEWA MIILI MIPYA .... Sasa wewe tunza halafu uje upewe miwili wangu namimi nipewe wako.... Kazana kutunza hayo maini...
 
Kama unawapa pesa wanunue pombe hapo sawa una haki ya kuwapangia cha kufanya ,ila kama wananunua kwa pesa yao kaa kimya maana hata akiumwa hauchangii chochote.
 
Umaskin mkubwa sana mkuu..
Ila wenye kampun hizo za pombe wanaendelea kua matajiri, juzi kuna mmoja kanunua gari ya milioni 700 na wako huko.kwenye mitandao.wanayaonesha mafanikio yao makubwa
Hili jambo hua linanikasirisha sana
Linakukasirisha wewe kama nani? Unapata hasira kwa mafanikio ya mtu?ukitaka na wewe uza pombe.
Pombe ilikuwepo Karne na karne,pombe ilikuwepo kabla ya yesu na itaendelea kuwepo
 
Sawa uko sahihi
 
Hayo maini yako Mazima Yana matumizi gani ukifa!?? Kwanza Mungu alisema TUTAPEWA MIILI MIPYA .... Sasa wewe tunza halafu uje upewe miwili wangu namimi nipewe wako.... Kazana kutunza hayo maini...
Sikia nikuambie mzee, nature inasema kuna kuzaliwa kuishi na kufa..sasa usi justify kunywa sumu sababu unajua kuna kufa ukiwa na maini mazima ama yaliyokufa, hizo zinazotokea ni uncertainities za kimaisha, you are at wrong place at wrong time, na kuna kufa kwa uzembe wako, kufa kwa kua muda umefika(Gods plan) na kuna kufa kwa uzembe wa watu wengine ..lakini ni akili mbovu kutotunza afya yako huku ukinywa vilevi sumu sababu hutaki kufa ukiwa na maini yaliyosalama kwamba ufe na maini yaliyochoka, kwani ni ajabu kwako kujua kua kuna nchi nyingine viungo hivyo vinaweza musaidia mtu mwingine
 
Linakukasirisha wewe kama nani? Unapata hasira kwa mafanikio ya mtu?ukitaka na wewe uza pombe.
Pombe ilikuwepo Karne na karne,pombe ilikuwepo kabla ya yesu na itaendelea kuwepo
Sawa, endelea kunywa vilevi sumu uwatajirishe matajiri wenye viwanda vya pombe kali..siku ukiwa hoi kitandani unaomba kufa rudi hapa kukoment tena boss.
 
Sawa, endelea kunywa vilevi sumu uwatajirishe matajiri wenye viwanda vya pombe kali..siku ukiwa hoi kitandani unaomba kufa rudi hapa kukoment tena boss.
Wagonjwa walio hoi kitandani ni walevi tu?
 
Kama unawapa pesa wanunue pombe hapo sawa una haki ya kuwapangia cha kufanya ,ila kama wananunua kwa pesa yao kaa kimya maana hata akiumwa hauchangii chochote.
Pombe ni sumu, pombe kali ni sumu. Acha pombe, acha kuwatajirisha wenye kampun za pombe huku wewe ukiiacha familia yako kwenye mateso makubwa sababu ya kunywa pombe ama kufa kwa pombe.
 
Wagonjwa walio hoi kitandani ni walevi tu?
Sikia nikuambie mzee, nature inasema kuna kuzaliwa kuishi na kufa..sasa usi justify kunywa sumu sababu unajua kuna kufa, au sababu utalazwa kwa magonjwa mengine, na hata hivyo hayo magonjwa mengine mengi asilimia 98 ni yanatokana na afya kufanya uzembe kwenye afya,,mengine ajali n.k hizo ni uncertainities za kimaisha, you are at wrong place at wrong time, kuna kufa kwa uzembe wako, kufa kwa kua muda umefika(Gods plan) na kuna kufa kwa uzembe wa mtu/watu wengine ..
 
😆 kutangaza injili kwenye baa sio kazi ndogo.

Dunia tunapita
 
Je kinachodhuru mwili ni pombe pekeyake?
Tumefunzwa kila kitu kwa kiasi.. Chochote kikizidi kiwango ni sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…