Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc TareekInasikitisha sana
😁Na kuna wale wanaokunywa maji lita la kwnz linaisha anaongeza la pili utasema anafuga samaki tumboni.
Unakuta dume zima liko Bar linakunywa Fanta orange. Soda ya madem na madent.
Ndomana Bar yoyote nikikuta wanywa soda sikai. Soda na ushoga ni hiviii.
Kwa ajili ya wambea mkuuSasa kama baa ni sehemu ya kuuza bia tu, wenye bar huweka soda ili anywe nani?
Nimekunywa soda miaka yote kabla ya Janabi kuanza kututisha na sikuona marafiki zangu watu wa Gambe wakiwaza🙄