Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja

Wana bodi
Si vizuri wala si uungwana kumwita mwenzako kizabizabina, lakini kauli za ndugu yangu huyu wa kulazimishwa nashurutika kumsanifu hivyo.
PASCO anasema

  • Tangu baada ya Uingereza kupiga kura kujitoa kwenye EU, wanabodi wetu humu ambao ni Wanzanzibari, wanashadadia sana uamuzi huo, na kushinikiza wananchi wa Zanzibar nao, wapewe fursa ya kupiga kura ya maoni kwa kuulizwa kama bado wanataka kuendelea kusalia kuwa ndani ya muungano wetu, au wanataka kujitoa!.
JIBU: Si wazanzibari tu waliofurahia Uamuzi huo na si kwa ajili ya kujiondoa UK kujiondoa kutoka EU, lakini vipi Serikali ya Uingereza jinsi ilivyojali na kuisimamia demokrasia kwa vitendo na kuheshimu uamuzi wa raia wake.
  • Swali kwa wenzetu wa Zanzibari, sheria ya kura ya maoni si mnayo?!, sasa nini kinachowazuia kuitumia sheria hiyo kupiga hiyo kura ya maoni kuhusu muungano?
JIBU: Tunaogopa kukusanywa na kupelekwa bara na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi, kama waasisi wa mawazo kama hayo yalivyowakuta
  • japo SUK inatambuliwa rasmi na serikali ya JMT, lakini hadi leo, Katiba ya JMT ya 1977, bado haitambui SUK Mabadiliko hayo ya Katiba ya Zanzibar ya 2010, yalikiuka katiba ya JMT
JIBU:1.Kipengele gani cha Katiba ya JMT kinachoelezea hiyo " supremecy" dhidi ya Katiba ya SMZ.
2.Mabadiliko yaliofanywa 2010 tena katika Katiba ya Zanzibar na kuzaliwa kwa SUK vipi yatakuwemo kwenye Katiba iliotengenezwa 1977 na kuitambua SUK ambayo wakati huo haijazaliwa!

  • falsafa ya Nyerere kuhusu muungano, Nchi Moja, Serikali Moja chini ya Rais Mmoja wa JMT!, ila pia ni mtu mwenye maslahi fulani binafsi na Zanzibar!.
JIBU: Unamzulia marehemu Nyerere, hajawahi kusema hivyo mbele ya Karume mwasisi wa Muungano wala pahali popote pale na amekuwa muumini wa serikali mbili ya "tatu iliojificha" na alitetea hilo na kulitamka bayana hata pele alipochukua uamuzi wa kibabe kumfukuza Alhaj Jumbe, Rais wa Zanzibar aliechaguliwa kwa asilimia 84% na kusema kwa kejeli kuwa 1+1+=3
  • Katiba hiyo ya Zanzibar ilivunja mamlaka yote ya Bunge la JMT, na mamlaka yote ya rais wa JMT, kwa kumtangaza rais wa Zanzibar ndio mkuu wa nchi ya Zanzibar na Amiri Jeshi Mkuu wa Vokosi vya SMZ!, na kuamua
JIBU:Hili ni dhihirisho kuwa hakuna Katiba iliokuwa juu ya mwenziwe
  • sheria yoyote itakayotungwa na Bunge la JMT, haitatumika Zanzibar mpaka BLW liridhie!, hii ni dharau kiasi gani kwa rais wa JMT na Bunge la JMT?!
JIBU: Hili limo kwenye Katiba zote mbili ya SUK na JMT na hukueleza yote ya kuwa kwanza lazima ipatikane 2/3 ya wabunge wote kutoka Zanzibar1
  • Kama yote haya yaliweza kufanyika bila kuishirikisha JMT, sasa ni nini kinachowashinda Wazanzibari kujiitishia kura yake ya maoni, kuamua kama isalie katika muungano au ijitoe?!.
JIBU: Kinachotushinda kuitisha kura ya maamuzi ni vifaru vyenu, ma-bazooka, Rocket Launhers na magari ya washawasha na yale mambo wanayoyadai masheikh waliopelekwa bara kufanyiwa.

Kura zote za maoni ziliitishwa kwa baraka za JMT wazanzibari waliamua k.m. walisema; kwa zaidi 60% wanataka serikali ya Mkataba badala ya mfumo huu wa muungano Je, matokeo yake uliyaona? Jaji Warioba ameyatupilia mbali!
Umemmaliza jamaa na pumba zake.

Anataka tuitishe kura ya maoni, huyo wakutisha nani? Kibaraka waliomueka hasa aitishe kura ya maoni watu waamue hatma ya Muungano? Watwambia yale matokeo ya Warioba yamefanyiwa nini?
 
Wanabodi,

Tangu baada ya Uingereza kupiga kura kujitoa kwenye EU, wanabodi wetu humu ambao ni Wanzanzibari, wanashadadia sana uamuzi huo, na kushinikiza wananchi wa Zanzibar nao, wapewe fursa ya kupiga kura ya maoni kwa kuulizwa kama bado wanataka kuendelea kusalia kuwa ndani ya muungano wetu, au wanataka kujitoa!. Wanaotaka kujitoa wakishinda, utaratibu wa jinsi ya kuuvunja muungano huu adhimu ziandaliwe, tuuvunje rasmi huu muungano wetu, na tuachane kwa amani, kuliko kuendelea huku baadhi ya wenzetu ni kila siku malalamiko, manung'uniko, na ghubu lisiloisha la kutwa kucha!.

Swali kwa wenzetu wa Zanzibari, sheria ya kura ya maoni si mnayo?!, sasa nini kinachowazuia kuitumia sheria hiyo kupiga hiyo kura ya maoni kuhusu muungano?!.

Kwa msio jua kuwa wenzetu Zanzibar, waliishaipitisha sheria hiyo ya kura ya maoni toka mwaka 2010, na ndio iliyotumika kuunda SUK!.

Kura ya Maoni Zanzibar ni Sheria Nambari 6 ya 2010 kuhusu uendeshaji wa kura ya maoni ilipitishwa na Baraza la Wawakilishi mnamo mwezi wa Machi 2010 na kutiwa saini na Mheshimiwa Rais Karume mnamo mwezi wa Aprili 2010.

Tayari sheria hiyo iliishatumiwa na wananchi wa Zanzibar walipopiga kura ya maoni siku ya
Jumamosi tarehe 31 Julai 2010. Kura hiyo ilikuwa na lengo la kutafuta ridhaa ya wananchi wa visiwa hivyo vya Unguja na Pemba, kuamua iwapo wanalikubali wazo la kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2010.

Auamuzi wa kupigwa kwa kura hiyo ya maoni ulianzia katika kikao cha BLW ambacho kilipitisha Azimio la Baraza kufanywa kura ya maoni (referendum) iliyowashirikisha wananchi wa Zanzibar moja kwa moja katika kupata ridhaa ya wananchi kuanzisha mfumo na muundo wa Serikali ya
Umoja wa Kitaifa Zanzibar.

Kura hiyo iliendeshwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar na kwa mujibu wa Kifungu cha 11(1) cha
Sheria ya Kura ya Maoni Nambari 6 ya 2010, ushindi wa Kura ya Maoni utaamuliwa kwa
wingi wa kura. Hivyo, kwa mujibu wa matokeo hayo, Wazanzibari waliopiga kura
ya NDIO kuunga mkono kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na SUK ikaendwa!.

Hayo yote yalifanyika Zanzibar bila kuishirikisha JMT, hadi ninavyozungumza hapa, japo SUK inatambuliwa rasmi na serikali ya JMT, lakini hadi leo, Katiba ya JMT ya 1977, bado haitambui SUK, hakuna kipengele chochote kinachoitambua SUK, wala katiba yetu haiwatambui wale makamo wawili wa rais wa Zanzibar, bali bado inamtambua Waziri Kiongozi ambaye doesn't exist anymore!.

Mabadiliko hayo ya Katiba ya Zanzibar ya 2010, yalikiuka katiba ya JMT na kuuvunja rasmi muungano kikatiba kwa katiba hiyo kuitangaza Zanzibar kuwa ni nchi, wakati katiba ya JMT inatamka nchi ni moja tuu JMT, na kuitambua Zanzibar kama sehemu ya JMT!.

Katiba hiyo ya Zanzibar ilivunja mamlaka yote ya Bunge la JMT, na mamlaka yote ya rais wa JMT, kwa kumtangaza rais wa Zanzibar ndio mkuu wa nchi ya Zanzibar na Amiri Jeshi Mkuu wa Vokosi vya SMZ!, na kuamua sheria yoyote itakayotungwa na Bunge la JMT, haitatumika Zanzibar mpaka BLW liridhie!, hii ni dharau kiasi gani kwa rais wa JMT na Bunge la JMT?!.

Kama yote haya yaliweza kufanyika bila kuishirikisha JMT, sasa ni nini kinachowashinda Wazanzibari kujiitishia kura yake ya maoni, kuamua kama isalie katika muungano au ijitoe?!.

Sasa tumechoshwa na hizi kelele, hivyo natoa wito kwa wenzetu Wazanzibari, waamue moja, ama waache kelele watulie, ama wafikie maamuzi waamue!.

Nawatakia Jumapili Njema.

Paskali
NB. Paskali ni muumini wa falsafa ya Nyerere kuhusu muungano, Nchi Moja, Serikali Moja chini ya Rais Mmoja wa JMT!, ila pia ni mtu mwenye maslahi fulani binafsi na Zanzibar!.

Rejea.
Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, Then "Twende kwenye Serikali Moja!.

Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?
Swali: Hivi Muungano Tanzania Upo Kweli?! au ni Dhana Tuu?! .
Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano?
Je, wajua kuwa kuna uwezekano Tanzania sio nchi halali Kisheria ...
Zanzibar: Japo SMZ ya SUK sio de jure tena bali ni de facto ...
CUF kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar si hiyari, Ni lazima .
Je, kunahitajika affirmative action ili Mzanzibari aweze tena
Muundo wa Serikali Tatu ni Illegal, Unjustifiable, na Ni Kuvunja ...
Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji ..
Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein ...
Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua ...
Balozi Karume: 'CCM pekee iwe inasimamisha mgombea urais Zanzibar
Kuna haja ya kuhofia kurudiwa Uchaguzi Zanzibar? |
Mbowe Alipua Bomu la Siri ya Ushindi Wa CCM Zanzibar
Imethibitishwa pasi na shaka kuwa CUF Ilishinda, Zanzibar ...
Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano ...
Inawezekana Vipi Zanzibar Hakuna Div I, Div II, wala Div III , Wao ..
Neno "Matukufu" Katika Mapinduzi ya Zanzibar, Lilitoka Wapi, na .

Wazanzibari wengi hawataki mungano. Ukweli kabisa mapinduzi na mungano una masuali mengi bila majawabu. Na ndio maana midahalo ya mambo haya hazarani yamezibitiwa tangu miaka ya 64... hadi leo. Kuna familia zimepoteza wapendwa wao hadi leo kwa kuhoji haya mambo mawili matukufu. Wazanzibari kuwakejeli na kuwazarau kwenye masuali haya ni kutowatendea haki. Vivile ukumbuke kura ya maoni watayarishaji ni watawala na hao hawanashida na mungano wala mapinduzi, mimi huwa nawaita wafalme wa pili wa Zanzibar. Hao wafalme wapili ndio vizazi vyao vina nafasi kubwa kwenye serikali ya zanzibar na ya mungano na wengi wao waligawiwa vitalu Upanga na sehemu nzuri za Dar na hao ndio guardian wa mapinduzi na mungano.
 
Wanabodi,

Tangu baada ya Uingereza kupiga kura kujitoa kwenye EU, wanabodi wetu humu ambao ni Wanzanzibari, wanashadadia sana uamuzi huo, na kushinikiza wananchi wa Zanzibar nao, wapewe fursa ya kupiga kura ya maoni kwa kuulizwa kama bado wanataka kuendelea kusalia kuwa ndani ya muungano wetu, au wanataka kujitoa!. Wanaotaka kujitoa wakishinda, utaratibu wa jinsi ya kuuvunja muungano huu adhimu ziandaliwe, tuuvunje rasmi huu muungano wetu, na tuachane kwa amani, kuliko kuendelea huku baadhi ya wenzetu ni kila siku malalamiko, manung'uniko, na ghubu lisiloisha la kutwa kucha!.

Swali kwa wenzetu wa Zanzibari, sheria ya kura ya maoni si mnayo?!, sasa nini kinachowazuia kuitumia sheria hiyo kupiga hiyo kura ya maoni kuhusu muungano?!.

Kwa msio jua kuwa wenzetu Zanzibar, waliishaipitisha sheria hiyo ya kura ya maoni toka mwaka 2010, na ndio iliyotumika kuunda SUK!.

Kura ya Maoni Zanzibar ni Sheria Nambari 6 ya 2010 kuhusu uendeshaji wa kura ya maoni ilipitishwa na Baraza la Wawakilishi mnamo mwezi wa Machi 2010 na kutiwa saini na Mheshimiwa Rais Karume mnamo mwezi wa Aprili 2010.

Tayari sheria hiyo iliishatumiwa na wananchi wa Zanzibar walipopiga kura ya maoni siku ya
Jumamosi tarehe 31 Julai 2010. Kura hiyo ilikuwa na lengo la kutafuta ridhaa ya wananchi wa visiwa hivyo vya Unguja na Pemba, kuamua iwapo wanalikubali wazo la kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2010.

Auamuzi wa kupigwa kwa kura hiyo ya maoni ulianzia katika kikao cha BLW ambacho kilipitisha Azimio la Baraza kufanywa kura ya maoni (referendum) iliyowashirikisha wananchi wa Zanzibar moja kwa moja katika kupata ridhaa ya wananchi kuanzisha mfumo na muundo wa Serikali ya
Umoja wa Kitaifa Zanzibar.

Kura hiyo iliendeshwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar na kwa mujibu wa Kifungu cha 11(1) cha
Sheria ya Kura ya Maoni Nambari 6 ya 2010, ushindi wa Kura ya Maoni utaamuliwa kwa
wingi wa kura. Hivyo, kwa mujibu wa matokeo hayo, Wazanzibari waliopiga kura
ya NDIO kuunga mkono kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na SUK ikaendwa!.

Hayo yote yalifanyika Zanzibar bila kuishirikisha JMT, hadi ninavyozungumza hapa, japo SUK inatambuliwa rasmi na serikali ya JMT, lakini hadi leo, Katiba ya JMT ya 1977, bado haitambui SUK, hakuna kipengele chochote kinachoitambua SUK, wala katiba yetu haiwatambui wale makamo wawili wa rais wa Zanzibar, bali bado inamtambua Waziri Kiongozi ambaye doesn't exist anymore!.

Mabadiliko hayo ya Katiba ya Zanzibar ya 2010, yalikiuka katiba ya JMT na kuuvunja rasmi muungano kikatiba kwa katiba hiyo kuitangaza Zanzibar kuwa ni nchi, wakati katiba ya JMT inatamka nchi ni moja tuu JMT, na kuitambua Zanzibar kama sehemu ya JMT!.

Katiba hiyo ya Zanzibar ilivunja mamlaka yote ya Bunge la JMT, na mamlaka yote ya rais wa JMT, kwa kumtangaza rais wa Zanzibar ndio mkuu wa nchi ya Zanzibar na Amiri Jeshi Mkuu wa Vokosi vya SMZ!, na kuamua sheria yoyote itakayotungwa na Bunge la JMT, haitatumika Zanzibar mpaka BLW liridhie!, hii ni dharau kiasi gani kwa rais wa JMT na Bunge la JMT?!.

Kama yote haya yaliweza kufanyika bila kuishirikisha JMT, sasa ni nini kinachowashinda Wazanzibari kujiitishia kura yake ya maoni, kuamua kama isalie katika muungano au ijitoe?!.

Sasa tumechoshwa na hizi kelele, hivyo natoa wito kwa wenzetu Wazanzibari, waamue moja, ama waache kelele watulie, ama wafikie maamuzi waamue!.

Nawatakia Jumapili Njema.

Paskali
NB. Paskali ni muumini wa falsafa ya Nyerere kuhusu muungano, Nchi Moja, Serikali Moja chini ya Rais Mmoja wa JMT!, ila pia ni mtu mwenye maslahi fulani binafsi na Zanzibar!.

Rejea.
Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, Then "Twende kwenye Serikali Moja!.

Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?
Swali: Hivi Muungano Tanzania Upo Kweli?! au ni Dhana Tuu?! .
Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano?
Je, wajua kuwa kuna uwezekano Tanzania sio nchi halali Kisheria ...
Zanzibar: Japo SMZ ya SUK sio de jure tena bali ni de facto ...
CUF kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar si hiyari, Ni lazima .
Je, kunahitajika affirmative action ili Mzanzibari aweze tena
Muundo wa Serikali Tatu ni Illegal, Unjustifiable, na Ni Kuvunja ...
Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji ..
Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein ...
Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua ...
Balozi Karume: 'CCM pekee iwe inasimamisha mgombea urais Zanzibar
Kuna haja ya kuhofia kurudiwa Uchaguzi Zanzibar? |
Mbowe Alipua Bomu la Siri ya Ushindi Wa CCM Zanzibar
Imethibitishwa pasi na shaka kuwa CUF Ilishinda, Zanzibar ...
Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano ...
Inawezekana Vipi Zanzibar Hakuna Div I, Div II, wala Div III , Wao ..
Neno "Matukufu" Katika Mapinduzi ya Zanzibar, Lilitoka Wapi, na .

Waamue vipi au wapige vipi iyo kura wakati wanatawaliwa kwa mabavu? hawna hata nafasi yakupumua.
Subirini mda utakapofika wakaanza kujifunga mabomu tu nakujiripua mitaani hapa Dar na penginepo ndo mtafahamu kama hawataki.
 
Muungano wetu ni kama ndoa ya Kikatoliki, haivunjiki!.
Mtu kaomba ndoa kisha akamkubaliwa, imetokea aliyemkubalia kampenda kwa dhati, hata kama imefika mahali aliyeomba ndoa haitaki tena, hawezi kujiibukia na kusema amechoka ndoa!. Hawezi kupewa talaka hadi aliyependa bado anampenda, anamtunza na anamtimizia!.

Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?
P
Faith in religion is different from Faith in politics! Pamoja na yooote, Pope anaweza anaweza kuvunja ndoa ikibidi. yeyye tu! Sembuse Muuungano! All sovereign power belongs to the people of Zanzibar and Tanganyika., they are Omega and Alfa of Muungano!
 
Nakubaliana na wewe all the sovereign powers belongs to the people, but if consulted. Jee kwenye muungano, the people of Tanganyika and Zanzibar were consulted?.

Kwenye articles of union, kuna provision yoyote ya kuuvunja muungano tukishindwana?.
Kwa taarifa yako, muungano wetu ni union for life, Tanganyika na Zanzibar, died long ago, Zanzibar limebaki jina, mkivunja muungano mnarudi kuitwa Zanzibar, sisi jee?, tukamfufue Tanganyika aliyekufa na kuzikwa more than 54 years ago?.

Hakuna kilichokufa, yalibadilika majina tu, nchi bado zipo ukitaka unazitenganisha kama Senegambia ilivyotenganishwa baada ya yaliyotokea.
Paskali, I can assure you Zanzibaris petitioning for the authenticity of Muungano are going to win the case, as you have put it, there was no referendum to determine the same! Wenye sovereignty hawakuulizwa!

Zanzibaris challenge union with Tanzania in regional court
 
Leo Tarehe 26 April, 2020 ni sikukuu ya Muungano, sikukuu hii ndio sikukuu muhimu kuliko hata uhuru kwasababu hii ni siku JMT ilipozaliwa. Lakini kutokana na janga hili la Corona, siku hii inaadhimishwa kimya kimya.
Naawatakia Muungano mwema huku nikisisitiza
Nautakia huu muungano wetu adhimu udumu milele na hivyo kukitokea yoyote anayetaka kuuchokoa muungano, namshauri chokochoko amchokoe pweza, muungano hutauweza kwasababu tutaulinda kwa gharama yoyote.
Nawatakia muungano mwema.
P
 
Wanabodi,

Tangu baada ya Uingereza kupiga kura kujitoa kwenye EU, wanabodi wetu humu ambao ni Wanzanzibari, wanashadadia sana uamuzi huo, na kushinikiza wananchi wa Zanzibar nao, wapewe fursa ya kupiga kura ya maoni kwa kuulizwa kama bado wanataka kuendelea kusalia kuwa ndani ya muungano wetu, au wanataka kujitoa!. Wanaotaka kujitoa wakishinda, utaratibu wa jinsi ya kuuvunja muungano huu adhimu ziandaliwe, tuuvunje rasmi huu muungano wetu, na tuachane kwa amani, kuliko kuendelea huku baadhi ya wenzetu ni kila siku malalamiko, manung'uniko, na ghubu lisiloisha la kutwa kucha!.

Swali kwa wenzetu wa Zanzibari, sheria ya kura ya maoni si mnayo?!, sasa nini kinachowazuia kuitumia sheria hiyo kupiga hiyo kura ya maoni kuhusu muungano?!.

Kwa msio jua kuwa wenzetu Zanzibar, waliishaipitisha sheria hiyo ya kura ya maoni toka mwaka 2010, na ndio iliyotumika kuunda SUK!.

Kura ya Maoni Zanzibar ni Sheria Nambari 6 ya 2010 kuhusu uendeshaji wa kura ya maoni ilipitishwa na Baraza la Wawakilishi mnamo mwezi wa Machi 2010 na kutiwa saini na Mheshimiwa Rais Karume mnamo mwezi wa Aprili 2010.

Tayari sheria hiyo iliishatumiwa na wananchi wa Zanzibar walipopiga kura ya maoni siku ya
Jumamosi tarehe 31 Julai 2010. Kura hiyo ilikuwa na lengo la kutafuta ridhaa ya wananchi wa visiwa hivyo vya Unguja na Pemba, kuamua iwapo wanalikubali wazo la kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2010.

Auamuzi wa kupigwa kwa kura hiyo ya maoni ulianzia katika kikao cha BLW ambacho kilipitisha Azimio la Baraza kufanywa kura ya maoni (referendum) iliyowashirikisha wananchi wa Zanzibar moja kwa moja katika kupata ridhaa ya wananchi kuanzisha mfumo na muundo wa Serikali ya
Umoja wa Kitaifa Zanzibar.

Kura hiyo iliendeshwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar na kwa mujibu wa Kifungu cha 11(1) cha
Sheria ya Kura ya Maoni Nambari 6 ya 2010, ushindi wa Kura ya Maoni utaamuliwa kwa
wingi wa kura. Hivyo, kwa mujibu wa matokeo hayo, Wazanzibari waliopiga kura
ya NDIO kuunga mkono kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na SUK ikaendwa!.

Hayo yote yalifanyika Zanzibar bila kuishirikisha JMT, hadi ninavyozungumza hapa, japo SUK inatambuliwa rasmi na serikali ya JMT, lakini hadi leo, Katiba ya JMT ya 1977, bado haitambui SUK, hakuna kipengele chochote kinachoitambua SUK, wala katiba yetu haiwatambui wale makamo wawili wa rais wa Zanzibar, bali bado inamtambua Waziri Kiongozi ambaye doesn't exist anymore!.

Mabadiliko hayo ya Katiba ya Zanzibar ya 2010, yalikiuka katiba ya JMT na kuuvunja rasmi muungano kikatiba kwa katiba hiyo kuitangaza Zanzibar kuwa ni nchi, wakati katiba ya JMT inatamka nchi ni moja tuu JMT, na kuitambua Zanzibar kama sehemu ya JMT!.

Katiba hiyo ya Zanzibar ilivunja mamlaka yote ya Bunge la JMT, na mamlaka yote ya rais wa JMT, kwa kumtangaza rais wa Zanzibar ndio mkuu wa nchi ya Zanzibar na Amiri Jeshi Mkuu wa Vokosi vya SMZ!, na kuamua sheria yoyote itakayotungwa na Bunge la JMT, haitatumika Zanzibar mpaka BLW liridhie!, hii ni dharau kiasi gani kwa rais wa JMT na Bunge la JMT?!.

Kama yote haya yaliweza kufanyika bila kuishirikisha JMT, sasa ni nini kinachowashinda Wazanzibari kujiitishia kura yake ya maoni, kuamua kama isalie katika muungano au ijitoe?!.

Sasa tumechoshwa na hizi kelele, hivyo natoa wito kwa wenzetu Wazanzibari, waamue moja, ama waache kelele watulie, ama wafikie maamuzi waamue!.

Nawatakia Jumapili Njema.

Paskali
NB. Paskali ni muumini wa falsafa ya Nyerere kuhusu muungano, Nchi Moja, Serikali Moja chini ya Rais Mmoja wa JMT!, ila pia ni mtu mwenye maslahi fulani binafsi na Zanzibar!.

Rejea.
Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, Then "Twende kwenye Serikali Moja!.

Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?
Swali: Hivi Muungano Tanzania Upo Kweli?! au ni Dhana Tuu?! .
Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano?
Je, wajua kuwa kuna uwezekano Tanzania sio nchi halali Kisheria ...
Zanzibar: Japo SMZ ya SUK sio de jure tena bali ni de facto ...
CUF kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar si hiyari, Ni lazima .
Je, kunahitajika affirmative action ili Mzanzibari aweze tena
Muundo wa Serikali Tatu ni Illegal, Unjustifiable, na Ni Kuvunja ...
Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji ..
Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein ...
Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua ...
Balozi Karume: 'CCM pekee iwe inasimamisha mgombea urais Zanzibar
Kuna haja ya kuhofia kurudiwa Uchaguzi Zanzibar? |
Mbowe Alipua Bomu la Siri ya Ushindi Wa CCM Zanzibar
Imethibitishwa pasi na shaka kuwa CUF Ilishinda, Zanzibar ...
Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano ...
Inawezekana Vipi Zanzibar Hakuna Div I, Div II, wala Div III , Wao ..
Neno "Matukufu" Katika Mapinduzi ya Zanzibar, Lilitoka Wapi, na .
Nawatakia maadhimisho mema ya sikukuu ya muungano.

Ni Wakati sasa wa kupiga kura za wazi, kwà wanaotaka muungano waseme ndio na wasio utaka muungano waseme hapana. Ili tupate mahala pa kuanzia.
 
Sasa serikali ya Tanganyika kupitia jina Tanzania inabebeshwa mikopo inayoenda moja kwa moja kuinufaisha Zanzibar lakini Tanganyika itasota kuyalipa na kuweka rehani rasimali zake ili kulipa madeni hayo.
Mkuu Thailand , kuna baadhi ya vitu, mnalalamika bure tuu kwa ujinga wa kutokujua. Elimu kuhusu muungano wetu inahitajika sana.

Kwenye hili la mikopo ya kimataifa, Zanzibar inaruhusiwa kukopa, ila kwasababu Zanzibar sio nchi, hawezi kukopeshwa Zanzibar kama Zanzibar, bali mikopo hiyo lazima idhaminiwe na serikali yetu kwa government guarantee, kwenye government guarantee, huweki rehani kitu chochote!.

Ila ikitokea Zanzibar ikashindwa kulipa, serikali ya JMT ndio itakuwa liable, ila kwa vile Zanzibar is entitled, 4.5% ya fedha zote za misaada ya kimataifa ya maendeleo, ikitokea Zanzibar ikashindwa kulipa deni lolote, JMT italipa, ila nayo itaikata hiyo pesa toka kwenye mgao wao!.

Huu muungano wetu adhimu, tutaulinda kwa gharama yoyote, hata kama baadhi ya gharama hizo ni kuisaidia Zanzibar kulipia madeni yake ya nje, tutalipa tuu.

P
 
Una

Unahisi ulichoandika ni sahihi
 
Tabu ya kupenda mwanamke asiyekupenda . Lazima ugharimikie penzi. Muungano gharama za Tanganyika eti [emoji102]
 
Back
Top Bottom