Wao tunaowaona wana matatizo ya akili, cheki hapa kapeleka takataka mbele ya kituo cha Polisi Mburahati

Style ya mtu kujifanya chizi huwa inatumika sana endapo kunajambo gumu na mbinu zote zimeshindwa ndio wanatumia hiyo. Lakini pia kama kunanyaraka muhimu zinatakiwa kupenya ndio wanatumia hiyo njia. Lakini pia kuelekea maandamano ya Tarehe 29.10.2025 yawezekana huyo ni mjeda anafatilia mipango yote ya police maana inawezekana mipango
 
Kuna mmoja alikuepo ndanda miaka ya 2000-2001 alikuwa anakaa kwenye ofisi ya TTCL ipo karibu na kituo cha Polisi,baada ya muda fulani akatoweka tukaja kusikia amekamatwa Nachingwea eneo la jeshi.Kukawa na misululu ya magari ya jeshi ndanda
 
Nyamaza tu huna unalolijua kijana.
Nchi nyingine zinatuma panya, popoma na viumbe wengine kupata taarifa nyeti,
Sio kila chizi ni chizi kweli, japo ukweli ni kuwa machizi wa ukweli wapo
 
Idara hii ya kitengo ilitungwa enzi za Nyerere, ilifanya vizuri enzi za Nyerere na kiliishia mwisho wa Nyerere. Zama hizi hakuna haja ya kula vinyeshi Ili eti upate taarifa.
Huna unalolijua jielimishe kidogo, kwenye usalama hakuna mbinu Moja na hakuna jambo la kupuuza hata liwe dogo vipi.
 
Huwezi jua hapo labda ni Nyani Ngabu au Kiranga wako ofisini kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…