Wao tunaowaona wana matatizo ya akili, cheki hapa kapeleka takataka mbele ya kituo cha Polisi Mburahati

Mpaka umepata taarifa za maandano utakuwa umezipata kwenye sources mbalimbali au kuna rumours za kiitelejinsia imefika mezani
Bila teknolojia unaweza kukusanya info

Lakini ngumu sana kumpa au kupewa info ni kichaa!
Haitumiki njia Moja tu
Kuna taarifa technology haiwezi kuzikusanya, Kuna uhalifu wa sokoni, gerezani, Kambi za jeshi, minadani n. K
laZima uingize watu.
Sio mpaka wawe machizi tu, walisema serikali ina mkono mrefu we uelewe tu.

Nakupa kisa kimoja Kuna kipindi nilikuwa Ukerewe Kuna jamaa alikuwa mwehu hivi kila mtu andharau baada ya miaka 3 nikaja kukutana nae ofsi za wilaya akiwa na suti yake, Halmashauri Moja mkoa wa Pwani na tulisalimiana akanieleza vitu baadhi
 
Kuna jambazi mmoja sugu lilishindikana kukamatwa na polisi. Liliamua kuachana na ujambazi likaamua kutubu madhambi yake kwa pasta. Fasta pasta akawatonya polisi wakaja kulikamata hilo jambazi sugu. Huyo pasta tulimuona kama ni kitengo, iweje awatonye polisi waje wamkamate mtenda dhambi aliyetubu na kuacha kutenda dhambi?
 
Vituko mitaani, miaka hii kuna jamaa zetu tulisoma nao huko sekondari na vyuoni, hawa jamaa zetu wako kwenye ajira nzuri huku akili zao darasani hazikuwa za kusisimua sana kwenye masomo hata ishirini bora hawakuwahi kuwemo. Kuna wengine ni wabunge, madiwani na wengine wapo kwenye ofisi nyeti kubwakubwa nchini. Cha ajabu ma classmates wanadai hao jamaa zetu kitambo sana ni kitengo tangu tupo sekondari na chuoni!
 
Haitumiki njia Moja tu
Kuna taarifa technology haiwezi kuzikusanya, Kuna uhalifu wa sokoni, gerezani, Kambi za jeshi, minadani n. K
laZima uingize watu.
Sio mpaka wawe machizi tu, walisema serikali ina mkono mrefu we uelewe tu.

Nakupa kisa kimoja Kuna kipindi nilikuwa Ukerewe Kuna jamaa alikuwa mwehu hivi kila mtu andharau baada ya miaka 3 nikaja kukutana nae ofsi za wilaya akiwa na suti yake, Halmashauri Moja mkoa wa Pwani na tulisalimiana akanieleza vitu baadhi
Ndo unitumie kichaa ku extract info kwangu?!yaan bora upenyeze mamluki ambao wapo smart wawe undercover ila sio chizi..ni rahisi sana kumtambua coz ni mbinu ilishatumika zaman na majasusi wengi wanaijua
kifupi imepitwa na wakati

Hakuna kazi ngumu km kumpeleleza mpelelezi mwenzako!
 
Ndo unitumie kichaa ku extract info kwangu?!yaan bora upenyeze mamluki ambao wapo smart wawe undercover ila sio chizi..ni rahisi sana kumtambua coz ni mbinu ilishatumika zaman na majusi wengi wanaijua
kifupi imepitwa na wakati

Hakuna kazi ngumu km kumpeleleza mpelelezi mwenzako!
Ni kweli ila amini hii njia Bado inatumika
Kwenye usalama hakuna mbinu ya kukariri Kuna sehemu utatumia machizi wanaolala nje kutambua labda magenge, majambazi yanayotembea usiku, nyumba au gest house zinafanya uhalifu, kutambua wauzaji wa madawa ya kulevya
Vyote hivi laZima huwezi kutumia teknolojia kupata taarifa nyingi kama hizi
Kumbuka chizi ni mtu anapuuzwa na wahalifu wanaweza kufanya uhalifu mbela yake akina na kuripot au kupanga mipango akasikia
 
Kama ni rahisi na wewe jifanye chizi ukae pale utaona kama uchizi hautakutoka
Kwahiyo aliyekaa pale ukutani ni Askari mwenzao ndiyo maana kaachwa,sasa pale anatafuta taarifa kwa raia?,au ni usalama anatafuta taarifa kwa police? Kama chizi wa kweli hawezi kukaa ina maana aliyekaa anajulikana na police! Sasa kama anajulikana atafanikishaje jambo lake pale.

Unapenda mambo ya kijasusi ukiwa hujui lolote kuhusu kutafsiri viashilia vya uwepo wa ujasusi- ndiyo maana kila kitu kwenye koment unapinga tu bila kuelewa.
 
Ni kweli ila amini hii njia Bado inatumika
Kwenye usalama hakuna mbinu ya kukariri Kuna sehemu utatumia machizi wanaolala nje kutambua labda magenge, majambazi yanayotembea usiku, nyumba au gest house zinafanya uhalifu, kutambua wauzaji wa madawa ya kulevya
Vyote hivi laZima huwezi kutumia teknolojia kupata taarifa nyingi kama hizi
Kumbuka chizi ni mtu anapuuzwa na wahalifu wanaweza kufanya uhalifu mbela yake akina na kuripot au kupanga mipango akasikia
Ngoja nikubaliane tu na wewe ila fahamu akitoka sijui mnamwita mungu basi anafata teknolijia!
 
Kwahiyo aliyekaa pale ukutani ni Askari mwenzao ndiyo maana kaachwa,sasa pale anatafuta taarifa kwa raia?,au ni usalama anatafuta taarifa kwa police? Kama chizi wa kweli hawezi kukaa ina maana aliyekaa anajulikana na police! Sasa kama anajulikana atafanikishaje jambo lake pale.

Unapenda mambo ya kijasusi ukiwa hujui lolote kuhusu kutafsiri viashilia vya uwepo wa ujasusi- ndiyo maana kila kitu kwenye koment unapinga tu bila kuelewa.
Hivi unadhani kituo cha polisi wanaweza kumwamini mtu hata kama ni chizi akae pale kibarazani hata dakika 2?
Hapo polisi zinatunzwa silaha za moto, vip huyo kichaa akiteka kituo cha police nakuwapora silaha, unajua madhara yake?
Unajua ni hatari na ni Bora askari apoteze uhai wake ila asinyanganywe silaha yake

Police station Kuna michoro na taarifa za Siri kamwe hawaamini hata mtoto mchanga akae pale bila sababu

Kwanini Yuko pale, labda sababu ya kuwa pale inajulikana kama kapeleka taarifa Kwa OCD utajuaje?

Mambo ya usalama hayana mzaha na kupuuza kitu chochote hata kama ni kidogo vip?
Au hamkwenda hata JKT kupata knowledge ya hivi vitu
 
kuna mmoja hapa mafinga alikua ana azunguka na makopo anaandika andika kwenye nguzo za umeme siku ya msiba wa raia wanajiandaa kuuchukua mwili mochwari wakashangaa watu sura ngen wengi msiban wanaangalia tu
 
Hivi unadhani kituo cha polisi wanaweza kumwamini mtu hata kama ni chizi akae pale kibarazani hata dakika 2?
Hapo polisi zinatunzwa silaha za moto, vip huyo kichaa akiteka kituo cha police nakuwapora silaha, unajua madhara yake?
Unajua ni hatari na ni Bora askari apoteze uhai wake ila asinyanganywe silaha yake

Police station Kuna michoro na taarifa za Siri kamwe hawaamini hata mtoto mchanga akae pale bila sababu

Kwanini Yuko pale, labda sababu ya kuwa pale inajulikana kama kapeleka taarifa Kwa OCD utajuaje?

Mambo ya usalama hayana mzaha na kupuuza kitu chochote hata kama ni kidogo vip?
Au hamkwenda hata JKT kupata knowledge ya hivi vitu
Yaani OCD umtumie kichaa kuwasiliana naye wakati dunia ya sasa kila kitu kipo kiganjani namba zao zipo mitandao ipo kwnn
umtume kichaa au anayefanana na kichaa?!
 
Kwenye mambo ya usalama unaongea ati kichaa huwezi kumtumia
Kwenye usalama usiamini kitu

Kuna nchi kama Russia, North Korea, Japan n. K wao wanatuma popo, samaki baharini, panya, paka kama ma spy wewe unasema kuhusu mtu kujifanya kichaa
 
Back
Top Bottom