Wao tunaowaona wana matatizo ya akili, cheki hapa kapeleka takataka mbele ya kituo cha Polisi Mburahati

Wao tunaowaona wana matatizo ya akili, cheki hapa kapeleka takataka mbele ya kituo cha Polisi Mburahati

Nasemaje bado ni mbinu ya stone age hiyo. Technology is everything nowadays
Kwenye mambo ya usalama hakuna jambo la kupuuza
Kuna nchi zinatuma spy wa popo, panya na viumbe kuleta taarifa.
Na vile vile kutumia watu wadogo kuichunguza watu wakubwa.

Anaweza akatumwa mfungwa gerezani kuishi gerezani kuichunguza maisha na mienendo ya askari

Hawa machizi wapo na wanafanya kazi
 
Tatizo ni kujiona kila kitu mnakifahamu, kuanzia mpira hadi usalama wa Taifa. Uanafunzi unawasumbua hasa ukijiona upo chuo na kijini kwenu ni wachache wapo chuo kikuu
 
Sasa Hadi hapa naona mmeishamshtukia,

Sasa ishu zaidi ni kujua anataka kujua Nini ,na inaenda wapi
 
Huyo ni kichaa kamili
Hii mbinu ya kujifanya chiz ni ya kizamani sana
Huwez ku i apply kwenye ulimwengu wa teknolojia ya sasa

So huyo ni chizi kamili?
 
Huyo ni kichaa kamili
Hii mbinu ya kujifanya chiz ni ya kizamani sana
Huwez ku i apply kwenye ulimwengu wa teknolojia ya sasa

So huyo ni chizi kamili?
Technologia inachunguza vp mipango au agenda za Siri za watu na taasisi?

Mfano vijana wanapanga maandamano utatumiaje technology kama wanakutana bila kupiga simu au chochote
 
Nimekataa mahusiano yeyote na wanawake maishani mwangu.saiv na miaka 45 sina ndoa nashukuru mungu kutonipa roho ya matamanio.mimi n shujaa wa kushinda matamanio ya kishez.
 
Kuna mwendawazimu mmoja mla majalalani, polisi walipita na gari lao wakamrushia mkate na maji. Sasa sijui kama alikuwa kichaa wa ukweli au ni kitengo!
 
Technologia inachunguza vp mipango au agenda za Siri za watu na taasisi?

Mfano vijana wanapanga maandamano utatumiaje technology kama wanakutana bila kupiga simu au chochote
Mpaka umepata taarifa za maandano utakuwa umezipata kwenye sources mbalimbali au kuna rumours za kiitelejinsia imefika mezani
Bila teknolojia unaweza kukusanya info

Lakini ngumu sana kumpa au kupewa info ni kichaa!
 
Kuna jamaa mmoja kajizia kama wapiga chuma ana six pack ila anaonekana ni fresh mental! Anapenda kutembelea vijiwe vya bodaboda, kahawa na pool, akifika hapo anaanza kuonesha mazoezi ya ukakamavu, mara atambae kama nyoka, mara ajipindepinde, mara atunishe misuli na watu wanampa hela kwa show za kikomando anazozionesha. Anaonekana ni kichaa, cha kushangaza ni kichaa gani yuko na afya ya mwili kiasi hicho, kichaa gani ana mwili uliojengeka kama wa mpiga chuma huko gym?
 
Back
Top Bottom