Kwenye mambo ya usalama hakuna jambo la kupuuzaNasemaje bado ni mbinu ya stone age hiyo. Technology is everything nowadays
Tatizo ni kujiona kila kitu mnakifahamu, kuanzia mpira hadi usalama wa Taifa. Uanafunzi unawasumbua hasa ukijiona upo chuo na kijini kwenu ni wachache wapo chuo kikuuKwenye mambo ya usalama hakuna jambo la kupuuza
Kuna nchi zinatuma spy wa popo, panya na viumbe kuleta taarifa.
Na vile vile kutumia watu wadogo kuichunguza watu wakubwa.
Anaweza akatumwa mfungwa gerezani kuishi gerezani kuichunguza maisha na mienendo ya askari
Hawa machizi wapo na wanafanya kazi
Nimemaliza chuo 2016Tatizo ni kujiona kila kitu mnakifahamu, kuanzia mpira hadi usalama wa Taifa. Uanafunzi unawasumbua hasa ukijiona upo chuo na kijini kwenu ni wachache wapo chuo kikuu
Sasa hapo nje alipokaa na wenzie wako kituoni ndani wanapanga mambo yao yeye atajujae kwa kukaa hapo na uchafu?Nimemaliza chuo 2016
Storinza wapumbavu wa zamaniHuyo kitengo.
Jaribu wewe uone
Kama ni rahisi na wewe jifanye chizi ukae pale utaona kama uchizi hautakutokaSasa hapo nje alipokaa na wenzie wako kituoni ndani wanapanga mambo yao yeye atajujae kwa kukaa hapo na uchafu?
SawaaaaStorinza wapumbavu wa zamani
Technologia inachunguza vp mipango au agenda za Siri za watu na taasisi?Huyo ni kichaa kamili
Hii mbinu ya kujifanya chiz ni ya kizamani sana
Huwez ku i apply kwenye ulimwengu wa teknolojia ya sasa
So huyo ni chizi kamili?
Mkuu hakuna kitengo hapo wala kipenyo huyo dish halisomi!Sasa Hadi hapa naona mmeishamshtukia,
Sasa ishu zaidi ni kujua anataka kujua Nini ,na inaenda wapi
Kwa hiyo imewezekana yeye kukaa hapo kisa ni kitengo? Angekua si kitengo asingeweza kukaa hapo!Huyo kitengo.
Jaribu wewe uone
Mjinga gani sahivi anaajiriwa tiss anakubali kwenda kuwa chizi nani kwanza aache bata hizi za sahivi akakae na mainzi jalalani..
We jaribu jifanye kichaa nenda police station yoyote uone kitakachokupata, mnapenda kuchukulia vitu rahisiKwa hiyo imewezekana yeye kukaa hapo kisa ni kitengo? Angekua si kitengo asingeweza kukaa hapo!
Huyo kitengo atafanikisha lipi sasa,sababu wamemuacha kwa kuwa wamemjua ni kitengo?
Mpaka umepata taarifa za maandano utakuwa umezipata kwenye sources mbalimbali au kuna rumours za kiitelejinsia imefika mezaniTechnologia inachunguza vp mipango au agenda za Siri za watu na taasisi?
Mfano vijana wanapanga maandamano utatumiaje technology kama wanakutana bila kupiga simu au chochote