Haitumiki njia Moja tuMpaka umepata taarifa za maandano utakuwa umezipata kwenye sources mbalimbali au kuna rumours za kiitelejinsia imefika mezani
Bila teknolojia unaweza kukusanya info
Lakini ngumu sana kumpa au kupewa info ni kichaa!
Kazi maalum.
Ndo unitumie kichaa ku extract info kwangu?!yaan bora upenyeze mamluki ambao wapo smart wawe undercover ila sio chizi..ni rahisi sana kumtambua coz ni mbinu ilishatumika zaman na majasusi wengi wanaijuaHaitumiki njia Moja tu
Kuna taarifa technology haiwezi kuzikusanya, Kuna uhalifu wa sokoni, gerezani, Kambi za jeshi, minadani n. K
laZima uingize watu.
Sio mpaka wawe machizi tu, walisema serikali ina mkono mrefu we uelewe tu.
Nakupa kisa kimoja Kuna kipindi nilikuwa Ukerewe Kuna jamaa alikuwa mwehu hivi kila mtu andharau baada ya miaka 3 nikaja kukutana nae ofsi za wilaya akiwa na suti yake, Halmashauri Moja mkoa wa Pwani na tulisalimiana akanieleza vitu baadhi
Ni kweli ila amini hii njia Bado inatumikaNdo unitumie kichaa ku extract info kwangu?!yaan bora upenyeze mamluki ambao wapo smart wawe undercover ila sio chizi..ni rahisi sana kumtambua coz ni mbinu ilishatumika zaman na majusi wengi wanaijua
kifupi imepitwa na wakati
Hakuna kazi ngumu km kumpeleleza mpelelezi mwenzako!
Na ww unadhani kila mtu tiss 😂 acha uboyaWe unadhani kila TISS ana kaunda suti na miwani mweusi.
Tusimwamini mtu
TISS hawana identityNa ww unadhani kila mtu tiss 😂 acha uboya
Kwahiyo aliyekaa pale ukutani ni Askari mwenzao ndiyo maana kaachwa,sasa pale anatafuta taarifa kwa raia?,au ni usalama anatafuta taarifa kwa police? Kama chizi wa kweli hawezi kukaa ina maana aliyekaa anajulikana na police! Sasa kama anajulikana atafanikishaje jambo lake pale.Kama ni rahisi na wewe jifanye chizi ukae pale utaona kama uchizi hautakutoka
Ngoja nikubaliane tu na wewe ila fahamu akitoka sijui mnamwita mungu basi anafata teknolijia!Ni kweli ila amini hii njia Bado inatumika
Kwenye usalama hakuna mbinu ya kukariri Kuna sehemu utatumia machizi wanaolala nje kutambua labda magenge, majambazi yanayotembea usiku, nyumba au gest house zinafanya uhalifu, kutambua wauzaji wa madawa ya kulevya
Vyote hivi laZima huwezi kutumia teknolojia kupata taarifa nyingi kama hizi
Kumbuka chizi ni mtu anapuuzwa na wahalifu wanaweza kufanya uhalifu mbela yake akina na kuripot au kupanga mipango akasikia
Ndio kitengo wenye walivyo wakitafuta habari nyeti.Kitengo gani mzee anakula mauchafu hapo sijui kayaokota wapi
Hivi unadhani kituo cha polisi wanaweza kumwamini mtu hata kama ni chizi akae pale kibarazani hata dakika 2?Kwahiyo aliyekaa pale ukutani ni Askari mwenzao ndiyo maana kaachwa,sasa pale anatafuta taarifa kwa raia?,au ni usalama anatafuta taarifa kwa police? Kama chizi wa kweli hawezi kukaa ina maana aliyekaa anajulikana na police! Sasa kama anajulikana atafanikishaje jambo lake pale.
Unapenda mambo ya kijasusi ukiwa hujui lolote kuhusu kutafsiri viashilia vya uwepo wa ujasusi- ndiyo maana kila kitu kwenye koment unapinga tu bila kuelewa.
Technologia hai solve kila kituNgoja nikubaliane tu na wewe ila fahamu akitoka sijui mnamwita mungu basi anafata teknolijia!
Yaani OCD umtumie kichaa kuwasiliana naye wakati dunia ya sasa kila kitu kipo kiganjani namba zao zipo mitandao ipo kwnnHivi unadhani kituo cha polisi wanaweza kumwamini mtu hata kama ni chizi akae pale kibarazani hata dakika 2?
Hapo polisi zinatunzwa silaha za moto, vip huyo kichaa akiteka kituo cha police nakuwapora silaha, unajua madhara yake?
Unajua ni hatari na ni Bora askari apoteze uhai wake ila asinyanganywe silaha yake
Police station Kuna michoro na taarifa za Siri kamwe hawaamini hata mtoto mchanga akae pale bila sababu
Kwanini Yuko pale, labda sababu ya kuwa pale inajulikana kama kapeleka taarifa Kwa OCD utajuaje?
Mambo ya usalama hayana mzaha na kupuuza kitu chochote hata kama ni kidogo vip?
Au hamkwenda hata JKT kupata knowledge ya hivi vitu
Kwenye mambo ya usalama unaongea ati kichaa huwezi kumtumiaYaani OCD umtumie kichaa kuwasiliana naye wakati dunia ya sasa kila kitu kipo kiganjani namba zao zipo mitandao ipo kwnn
umtume kichaa au anayefanana na kichaa?!
Wewe jamaa hunaga akili kabisa. Kila unaloandika humu huwa ni upumbavu mtupu. Jirekebishe kabla hujachelewa.Kama ni rahisi na wewe jifanye chizi ukae pale utaona kama uchizi hautakutoka
Wewe mrembo una shoboWewe jamaa hunaga akili kabisa. Kila unaloandika humu huwa ni upumbavu mtupu. Jirekebishe kabla hujachelewa.