Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Waafrika tutabaki kuwa waafrika tu raia wa morocco wanaikimbia nchi yao kisa hali ngumu ya maisha walilazimika kuogelea kilometa 2 hadi 5 kutoka pwani ya morocco kuingia ceuta eneo ambalo lipo afrika ila linamilikiwa na Hispania.
Morocco inahadaa watu kuwekeza kwenye mpira lakini hali ya kimaisha ni ngumu kwa raia wake.
Morocco inahadaa watu kuwekeza kwenye mpira lakini hali ya kimaisha ni ngumu kwa raia wake.