Wahamiaji kutoka nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, kama Mali, Senegal, Guinea, Côte d'Ivoire na Sudan, hufika Morocco wakitarajia kuingia Ulaya, kwa hiyo sio wa Morocco pekee.Waafrika tutabaki kuwa waafrika tu raia wa morocco wanaikimbia nchi yao kisa hali ngumu ya maisha walilazimika kuogelea kilometa 2 hadi 5 kutoka pwani ya morocco kuingia ceuta eneo ambalo lipo afrika ila linamilikiwa na Hispania.
Morocco inahadaa watu kuwekeza kwenye mpira lakini hali ya kimaisha ni ngumu kwa raia wake.
View attachment 3642414
Mbona walienda asubuhi na jioni wakarudi?Waafrika tutabaki kuwa waafrika tu raia wa morocco wanaikimbia nchi yao kisa hali ngumu ya maisha walilazimika kuogelea kilometa 2 hadi 5 kutoka pwani ya morocco kuingia ceuta eneo ambalo lipo afrika ila linamilikiwa na Hispania.
Morocco inahadaa watu kuwekeza kwenye mpira lakini hali ya kimaisha ni ngumu kwa raia wake.
View attachment 3642414
Kwa hao Watanzania uliosema unawafahamu, unadhani issue ni status ya waliyokuwa nayo Bongo au malipo bora wanayopata huko US? Ungejua walikuwa wakilipwa kiasi gani Bongo and now wanalipwa kiasi gani US ungekaa kimya. Wenzetu hawaajili makaratasi, wanaajili ujuzi ulionao au uwezo wako wa kufanya kazi uliyopewa.Mbona walienda asubuhi na jioni wakarudi?
Kingine watu kwenda huko ni ile mentality ya "grass is greener on the other side" bila kujali level ya maisha uliyonayo.
Nawajua waTanzania walikua na elimu kubwa na ajira nzuri tu ila walienda marekani na huko ni walinzi wa maghala au watumishi nyumba za wazee. Ila furaha yao tu ni ile American dream.
Tatizo ni mentality sio umasikini
Illustration soma maelezo vizuri sijasema ni kisiwaHiyo ramani yako ni ya mwaka gani? CEUTA na MELILLA zinapakana na Morocco 🇲🇦 kwa njia ya Ardhi na maji lakini sio kwa namna hiyo kama kisiwa.
Mfano:
Ni kama Dar inavyopakana na Bagamoyo au Mkuranga na sio Kama inavyopakana na Zanzibar (Unguja) au Mafia.
Labda kama kuna CEUTA ambayo haikuwa inafahamika hapo kabla
View attachment 3642448
Ukiangalia picha ya maeneo matatu yalivyooneshwa na picha uliyoweka ina onesha utafauti mkubwa
1. Ceuta
2. Frideq
3. Ksar es Seghir
Gharama za maisha pia ni kubwa sana US, wana madeni lukuki hata ndoa tu imevunjika sababu ya nature ya maisha ni kazi kazi hata 3 kwa siku ili uweze kuhimili kodi kwahiyo ile social life imekufa na family imepasuka.Kwa hao Watanzania uliosema unawafahamu, unadhani issue ni status ya waliyokuwa nayo Bongo au malipo bora wanayopata huko US? Ungejua walikuwa wakilipwa kiasi gani Bongo and now wanalipwa kiasi gani US ungekaa kimya. Wenzetu hawaajili makaratasi, wanaajili ujuzi ulionao au uwezo wako wa kufanya kazi uliyopewa.
Hii ni cha mkosaji, inawezekana ulidunda Visa wewe, Usilinganishe maisha ya US na bongoland hata siku moja. Ofisa tai wa bongo maisha yanamchapa kuliko hata cleaner wa US. Acha kusikiliza porojo za mitaani, Za kuambiwa changanya na za kwako.Gharama za maisha pia ni kubwa sana US, wana madeni lukuki hata ndoa tu imevunjika sababu ya nature ya maisha ni kazi kazi hata 3 kwa siku ili uweze kuhimili kodi kwahiyo ile social life imekufa na family imepasuka.
Unaweza kupata pesa nyingi US ila kama gharama zipo juu na hauna muda wa kuspend zina faida gani? More unafanya kazi ngumu za kubadilisha nepi wazee au kuchimba mitaro na bado unabaguliwa kuna raha gani?
Bora mtu huko atafute pesa hata miaka 10 then arudi kutanua Bongo ni nafuu kujenga, social life ni kubwa na hata ile status/heshima unaipata kuliko huko nje unaonekana wa chini.