Waogope sana Makachero wenye haiba ya kucheka; Emerson Mnagangwa, Jakaya Kikwete na Bernard Camilius Membe

Sasa huyo membe mbona ukachero wake atuoni au wa enzi za Mwalimu, na ukachero wake mbona ameshindwa kuubomoa upinzani au kumsaidia jiwe kuuwa upinzani
 
Nikuulize wewe, unajiskiaje mtu uliyesema hawezi kurudi na akirudi hawezi tena kuwa active politician kumuona akiwa very active kwenye siasa pamoja na ulemavu mliompa hadi sasa anaenda kumshinda mgombea wenu Magufuli ?
Ujio wa Lisu umemvuruga balaa mzee wa kupita bila kupingwa Hadi kaomba poo kwenda kusini
 
Amani iwe nanyi wadau.
Heri ya siku ya jumapili!!

Leo napenda kuelezea kwa kifupi kuhusu makachero wenye haiba ya kutabasamu kucheka kuwa ni watu wa kuogopwa kupindukia

1. Emerson Mnagangwa

Huyu sasa ndo Raisi wa Zimbabwe, kabla ya kuwa Raisi aliwai kuwa Makamu wa Raisi na kabla ya hapo aliwai kuwa Waziri na Mkuu wa Usalama wa Zimbabwe. Huyu aliishi na Mugabe Kama mtu loyal sana kwake. Mugabe alivyoanza ujinga alianza mipango ya chini ya kumuondoa Mugabe ila haiba yake ya kucheka na kutabasamu vilimfanya Mugabe ashindwe kumgundua.
Baada ya Zimbabwe kuwekewa vikwazo akiwa makamu wa Raisi alishirikiana na mshirika wa Mugabe China kumuondoa Mugabe madarakani. Hadi Mugabe anatoka madarakani hakuamini kuwa kachero mbobezi Mnagangwa ndo amemtoa madarakani.

Kwenye speech yake ya kwanza baada ya kumpindua Mugabe alisema ameongea kwa kirefu na kupongezwa na swahiba wake Jakaya Kikwete[emoji3]

2. Jakaya Kikwete.
Huyu watanzania wanamjua sana anakuchekea vizuri nje ila hujui analokuwazia ndani. Lowassa alichekewa sana, aliachwa afanye kila kitu na siku ya mwisho hakuamini alichokuja kukiona. Hiyo ndo kikwete

3. Bernad Camilius Membe.

Huyu kama Kikwete na Mnagangwa nae ana tabia zinazoendana nao. Ana haiba ya kucheka na kufurahi muda wote Ila hujui anakuwazia nini.

Leo nitaishia hapa sitamuongelea sana ila naisi Kuna watu walifikiri wameweza kumpandikiza mahali kumbe waliribuniwa na haiba yake. Alisema kama masikhara atafunga Goli dk ya 89 kwenye uchaguzi huu. Naisi sasa anaelekea kufunga

Poleni sana CCM , Poleni sana wana Lumumba[emoji23][emoji23][emoji3]
Unamuongelea Membe katika ulingo wa siasa hata aibu huna?, Mtu anagombea urais hata kampeni ya siku moja hajafanya?, Anazidiwa na hata Hashim Rungwe, Bro hata kama umelipwa kuleata uzi hapa sometime njaa zetu ziwe break
 
Mkuu aliyekuambia kuwa huyu alienda ACT kutafuta uraisi ndo alikupotosha.
 
Sasa huyo membe mbona ukachero wake atuoni au wa enzi za Mwalimu, na ukachero wake mbona ameshindwa kuubomoa upinzani au kumsaidia jiwe kuuwa upinzani
Membe kamaliza part yake asubuhi hukuepo jukwaani asubuhi?
Hujaona barua yake ya 24/09/2020 kwenda kwa Maalimu
 
Kwenye chumba cha kura na maeneo ya sirini ndo kuna mengi.
Mwenyekiti wao ndie mungu wao,na katiba ya ccm ndio kitanzi chao.Thus wanafukazana kwa maamuzi ya mwenyekiti na sio wanachama.
Tuliwasahauri watenganishe kofia mbili hizi ili waweze dhibitiana awakusikia yasingewakuta haya raisi asiwe mwenyekiti wa chama ili akivurunda chama kumshughulikie ikiwemo hata kumfuta uanachama hii ingeleta misingi ya haki na uhai wa chama. Check Sasa mgombea wa hauziki hawakusikia tuliwashauri ameshindwa kwenda hata kusini kuomba kura sababu ya aliyowatendea watu wa kusini
 
Amani iwe nanyi wadau.
Heri ya siku ya jumapili!!

Leo napenda kuelezea kwa kifupi kuhusu makachero wenye haiba ya kutabasamu kucheka kuwa ni watu wa kuogopwa kupindukia

1. Emerson Mnagangwa

Huyu sasa ndo Raisi wa Zimbabwe, kabla ya kuwa Raisi aliwai kuwa Makamu wa Raisi na kabla ya hapo aliwai kuwa Waziri na Mkuu wa Usalama wa Zimbabwe. Huyu aliishi na Mugabe Kama mtu loyal sana kwake. Mugabe alivyoanza ujinga alianza mipango ya chini ya kumuondoa Mugabe ila haiba yake ya kucheka na kutabasamu vilimfanya Mugabe ashindwe kumgundua.
Baada ya Zimbabwe kuwekewa vikwazo akiwa makamu wa Raisi alishirikiana na mshirika wa Mugabe China kumuondoa Mugabe madarakani. Hadi Mugabe anatoka madarakani hakuamini kuwa kachero mbobezi Mnagangwa ndo amemtoa madarakani.

Kwenye speech yake ya kwanza baada ya kumpindua Mugabe alisema ameongea kwa kirefu na kupongezwa na swahiba wake Jakaya Kikwete[emoji3]

2. Jakaya Kikwete.
Huyu watanzania wanamjua sana anakuchekea vizuri nje ila hujui analokuwazia ndani. Lowassa alichekewa sana, aliachwa afanye kila kitu na siku ya mwisho hakuamini alichokuja kukiona. Hiyo ndo kikwete

3. Bernad Camilius Membe.

Huyu kama Kikwete na Mnagangwa nae ana tabia zinazoendana nao. Ana haiba ya kucheka na kufurahi muda wote Ila hujui anakuwazia nini.

Leo nitaishia hapa sitamuongelea sana ila naisi Kuna watu walifikiri wameweza kumpandikiza mahali kumbe waliribuniwa na haiba yake. Alisema kama masikhara atafunga Goli dk ya 89 kwenye uchaguzi huu. Naisi sasa anaelekea kufunga

Poleni sana CCM , Poleni sana wana Lumumba[emoji23][emoji23][emoji3]
Nimesoma kwa umakini, nikajua kuna madini kumbe takataka.

Kama huna information za kutosha ni bora usiandike. Andiko lako linakuwa invalid
 
Nikuulize wewe, unajiskiaje mtu uliyesema hawezi kurudi na akirudi hawezi tena kuwa active politician kumuona akiwa very active kwenye siasa pamoja na ulemavu mliompa hadi sasa anaenda kumshinda mgombea wenu Magufuli ?

Mimi ndiye niliyempa tundu ulemavu ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angejua anvyodharauliwa humu kwa ujinga wake angetulia tu!!
Mkuu kwa hakika mada yako hii umeandika pumba.

Kwa mtu ambae hayuko biased anaona hii.
Hata aliebiased pia, sema anaweza kukuunga mkono kinafiki.
 
Amani iwe nanyi wadau.
Heri ya siku ya jumapili!!

Leo napenda kuelezea kwa kifupi kuhusu makachero wenye haiba ya kutabasamu kucheka kuwa ni watu wa kuogopwa kupindukia

1. Emerson Mnagangwa

Huyu sasa ndo Raisi wa Zimbabwe, kabla ya kuwa Raisi aliwai kuwa Makamu wa Raisi na kabla ya hapo aliwai kuwa Waziri na Mkuu wa Usalama wa Zimbabwe. Huyu aliishi na Mugabe Kama mtu loyal sana kwake. Mugabe alivyoanza ujinga alianza mipango ya chini ya kumuondoa Mugabe ila haiba yake ya kucheka na kutabasamu vilimfanya Mugabe ashindwe kumgundua.
Baada ya Zimbabwe kuwekewa vikwazo akiwa makamu wa Raisi alishirikiana na mshirika wa Mugabe China kumuondoa Mugabe madarakani. Hadi Mugabe anatoka madarakani hakuamini kuwa kachero mbobezi Mnagangwa ndo amemtoa madarakani.

Kwenye speech yake ya kwanza baada ya kumpindua Mugabe alisema ameongea kwa kirefu na kupongezwa na swahiba wake Jakaya Kikwete😀

2. Jakaya Kikwete.
Huyu watanzania wanamjua sana anakuchekea vizuri nje ila hujui analokuwazia ndani. Lowassa alichekewa sana, aliachwa afanye kila kitu na siku ya mwisho hakuamini alichokuja kukiona. Hiyo ndo kikwete

3. Bernad Camilius Membe.

Huyu kama Kikwete na Mnagangwa nae ana tabia zinazoendana nao. Ana haiba ya kucheka na kufurahi muda wote Ila hujui anakuwazia nini.

Leo nitaishia hapa sitamuongelea sana ila naisi Kuna watu walifikiri wameweza kumpandikiza mahali kumbe waliribuniwa na haiba yake. Alisema kama masikhara atafunga Goli dk ya 89 kwenye uchaguzi huu. Naisi sasa anaelekea kufunga

Poleni sana CCM , Poleni sana wana Lumumba😂😂😀
Hoja yako ni ipi hasa kwenye uzi wako huu? Mara zote uko upande wa TAL, leo kulikoni? Tambua kwamba Kachero Mbobezi hana silka ya kubwabwaja, hajiinui, sio mwenye kujiweka bayana lakini yuko miongoni mwa viumbe vinavyitwa wanadamu. Hicho unachokielezea kimeegemea sana kwa watu watatu kama ulivyowataja mwenyewe.

Tambua kuwa uliowataja wana taaluma ya International Public Relations na Political Science kwa ni kawaida kuonesha sura ya ushawish kwamba wako pamoja nawe lakini wanatambua ili kupata silaha iliyoko kibindoni unabidi uwe nyororo hatimaye unaingia na kuchukua bila kutumia nguvu au vitisho vyovyote.

Hata hivyo Makachero Wabobevu sio hao, siku ukiwaona na ukashuhudia wanachokifanya kwamba unagundua ndio wenye fursa kukufanya uwe kama ulivyo utashangaa hadi unazeeka. Kwa hiyo mada yako haina uumbe wowote wenye tija katika JF GT House. Please retreat and bring a logical agenda to the fora.
 
Hivi kachero maana yake Nini bro
Huko Tanganyika, kachero ni mtu anayefanya kazi idara ya usalama wa Taifa.

Sehemu zingine za dunia, kachero anaweza kuwa mpelelezi au afisa kipenyo. Halafu wanakuwa watu wa kawaida tu.

Kibongo bongo, kachero anaonekana kama mtu mwenye akili nyingi na mwenye nguvu za maajabu.

Ni kaulimbukeni fulani tu hivi ambacho labda kanatokana na ugeni wa mifumo ya kiintelinjensia kwa nchi changa kama Tanganyika.

Wengine nasikia huwa wanatembea na bastola wanachomeka kwenye mkanda wa sarawili.

Akienda bar anaichomoa anaiweka mezani ili kila mtu amuamkie shkamoo.

Huyo ndio kachero wa Tanganyika.
 
Shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom