Distant Relatives
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 415
- 731
Kuna jambo la muhimu pengine mtu anaweza jifunza ni kutoka kwa Emerson Mnangagwa, Ed linaweza kumfaa mtu kwenye biashara, mahusiano na Uongozi.
Alipokuwa jeshini kwenye vita ya ukombozi, Ed na marafiki zake walikuwa na kikundi walichokiita 'crocodile gang' kutokana na style yao ya mapigano. Hili lilikuja akisi hulka yake.
Mf, mwaka 2017 wakiwa mkutanoni, Grace Mugabe, aliwasha moto. Akamsema vibaya mtu mmoja kuwa ni mbaya, mzandiki na asiye na shukrani. Basi wananchi wote wakajua anayesemwa vibaya ni Mnangagwa.
Ni maumivu na fedheha kwa mtu makamu wa rais na aliyepigana vita ya ukombozi na mwenye ushawishi jeshini, polisi na usalama, kuvuliwa nguo hadhari na mtu aliyekuwa PS tu, na asiyejua chochote juu ya ukombozi. Ed, akavumilia maumivu na aibu, kimya kama hakuna kinachotokea-STOICISM.
Stoicism ni uwezo wa kuvumilia maumivu. Inakusaidia kumpumbaza adui huku ukipanga mipango yako. Ed, the Crocodile. Stoic person!