Corona haiui kirahisi hivyo. Acheni kudanganya watu. Vaa Barakoa yako. Fanya mazoezi. Kwa mtu mwenye afya Ni mafua tu hayo mazito.
Kwa mimi niliyekaa huko 11-mpaka mwishoni mwa December 29.12 Kukata mitaa yote. Na kuhudhuria sherehe zote kuanzia ndoa mpaka kipaimara. Nk. Mipira mpaka ya mtaani Barakoa zangu 25 nilizokuja NAZo zikiwa kwenye bag nyumbani badala ya kuzivaa kama huku. Dar na kigoma na Bagamoyo sehemu nilizopita kama ilikuwa na corona Basi itakuwa ilifichwa kibiti. Mana nilipima huku kabla. Nikapima huko. Then nikapima tena huku Mara za kutosha lakini. Mimi na mke Wangu hatukuwa na positiv.
Inawezekana Sasa Labda Kuna mtu badala ya kutuletea Tz Mali Akileta corona yenye tabia ya peke yake. Mana wenzetu huko utaskia Corona lashindwa kupumua kafa. Sio rahisi namna hiyo. Ndo mana Kasema chunguzeni aina ye kirusi Chenu. Acheni kunyoshana vidole. Hivi kama kweli CHadema mna wanachama mill 28. wakivaa hawa Barakoa si Ntakuwa mmetuokoa watu Achane habari za marehemu na watu Wake. Nyie anzeni kuandika mauzi ya kuwahamasisha wanachadema kuvaa Barakoa na kupiga lockdown kama Sisi huku 3 months. Please. Itaneni tuanze Kesho. Kampeni vaa barakoa na back home total lockdown 3 months. Life would be very simple.