Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wamedanganywa na Magufuli.Ndani ya uwanja wa Uhuru ambako mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Dr. Magufuli unaagwa, waagaji karibu 95% hawavai barakoa wala hawaonyeshi kama wanafahamu kama kuna uwepo wa corona duniani.
Hivi ni nani kawadanganya kwamba hakuna Corona Tanzania?