Waombolezaji wengi wapuuza kuvaa Barakoa, wamedanganywa na nani?

Waombolezaji wengi wapuuza kuvaa Barakoa, wamedanganywa na nani?

Ndiyo maana wazungu mpaka leo wanaamini ukoloni unapaswa kurejea upya maana waafrika hawaishi vioja
Una mshefa wa kizungu nini? Ndio anakupa data hizo[emoji28][emoji28]

Hongera umeopoa[emoji28][emoji106]
 
Wewe ujue nakufahamu ni mwanamke ingawa unameza dawa la kuongeza kinga nitakuoa hivyo hivyo kukuondolea nuksi ya kutoolewa
"Dawa la kuongeza kinga" [emoji28][emoji28][emoji28] wewe itakuwa mdada wa kimasai
 
Tatizo lilianzia pale walipoambiwa Corona haipo,,, sasa msitupigie kelele mpaka baadhi ya wakuu wa mikoa walisema msivae hizo barakoa
 
Ndani ya uwanja wa Uhuru ambako mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania Dr Magufuli unaagwa waagaji karibu 95% hawavai barakoa wala hawaonyeshi kama wanafahamu kama kuna uwepo wa corona duniani

Hivi ni nani kawadanganya kwamba hakuna Corona Tanzania ?
Hivi katika pota zako mitaani umeona mwitikio wa kuvaa barakoa ukoje? Na unadhan ni kwanini kuna mwitikio huo? ( mkubwa au mdogo)
 
Una mshefa wa kizungu nini? Ndio anakupa data hizo[emoji28][emoji28]

Hongera umeopoa[emoji28][emoji106]
Umeopolewa wewe kwani hilo gari simu dini unavyoabudu vimetengenezwa na kuwanda cha sido ? Benk ya Dunia ipo hapo uwanja wa fisi?
 
Umeopolewa wewe kwani hilo gari simu dini unavyoabudu vimetengenezwa na kuwanda cha sido ? Benk ya Dunia ipo hapo uwanja wa fisi?
"kuwanda cha sido" [emoji28][emoji28][emoji28]
Mwali wa kimasai nishaanza kukutamani,nataka nije inbobo
 
"kuwanda cha sido" [emoji28][emoji28][emoji28]
Mwali wa kimasai nishaanza kukutamani,nataka nije inbobo
Karibu nipo hapa na barakoa uje umeshiba kwani ukitoka hapa mwakani tarehe kama hizi nitakuwa nimekuzalisha mtoto
 
Kwenda uwanja wa Uhuru bila barakoa ni kwenda kuharalisha Afya yako kwani covid 19 haina huruma haichagui tajiri masikini yenyewe inapita na kila mmoja
 
Karibu nipo hapa na barakoa uje umeshiba kwani ukitoka hapa mwakani tarehe kama hizi nitakuwa nimekuzalisha mtoto
Una msambwanda nini mpaka nije nimeshiba?..
Naomba pasi ruksa ya kuja kwenye kisanduku chako cha meseji..nipate wasaa wa kukukuna hiyo minyoo[emoji28]
 
Minyoo hebu waulize ni mtu gani ambaye kwa sababu ya kumwamini Mungu analala bila kufunga milango majumbani?

Mahekalu yenyewe yanawalinzi mchana na usiku.

Akili kumkichwa!

Imeandikwa Mpende Bwana Mungu wako kwa AKILI yako yote [emoji108][emoji108]
 
Siyo kila aliyekwenda uwanja wa Uhuru alimpenda magufuli wengine wameenda kuthibitisha kama kafa kweli huku wengine wakienda kama mkumbo tu
Toa ujinga wako wa Twitter kuthibitisha ndio nini unamaanisha
 
Ndani ya uwanja wa Uhuru ambako mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania Dr Magufuli unaagwa waagaji karibu 95% hawavai barakoa wala hawaonyeshi kama wanafahamu kama kuna uwepo wa corona duniani

Hivi ni nani kawadanganya kwamba hakuna Corona Tanzania ?
Hakuna aliyewadanganya , wewe vaa tu uwe mfano kwa wengine
 
Mkuu in two weeks wiki ya kwanza na ya pili April maambukizi yataongezeka sana na baadhi kuishia kaburini.
Prophets of doom......mliyasema hayo yote tokea ugonjwa unaanza cha ajabu mabwana zenu wavaa barakoa ndo wanapukutika
 
Kiukweli Tanzania hakuna korona kwa sababu hata maafisa wa ngazi za juu wengi wao wamekufa kwa ugonjwa wa moyo na pressure sasa tutasema vipi korona ipo ikiwa mambo yako hivo na hata viongozi wetu hawana habari

Nikiona haya yanayoendelea nakosa imani kama kweli kutakuwepo na jipya?mmh
 
Ukiona hivyo ujue mambo ni shwari...

Sababu kama Corona ingekuwepo hao wote unaowaona wamekuja hapo wangekua wagonjwa majumbani...
 
Back
Top Bottom