Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Kweli mkuu mimi nilitaka kwenda nimeghairi.Baada ya week tutashuhudia maafa makubwa Nchini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu mimi nilitaka kwenda nimeghairi.Baada ya week tutashuhudia maafa makubwa Nchini
Kilichotufikisha hapa tulipo ni kuchanganya coronavirus na imani za kidini. Tukasahau wataalam wa afya na WHO inasema nini kuhusu coronavirus.Tatizo ni kuwa waliaminishwa kuwa korona hakuna Tanzania kwakuwa Mungu ameiepusha Tanzania na korona. Hilo ndilo kosa
Heri ya kinga kuliko kutibu tulia hapo mkuuKweli mkuu mimi nilitaka kwenda nimeghairi.
Hapo uwanja wa Uhuru sasa ni uwanja bora wa covid 19 kuvuna wafuasi imepiga kambi kubwa inaendelea kujipenyeza kwa nguvu baada ya week tutashuhudia maangamizi makubwa, kuidharau barakoa na kuendekeza salam za mikono vitaigharimu Taifa hapo baadae
Mwaka jana tuliweza kuvuka kolona na mwaka huu tutavuka, nasema uongo ndugu zangu?Hapo uwanja wa Uhuru sasa ni uwanja bora wa covid 19 kuvuna wafuasi imepiga kambi kubwa inaendelea kujipenyeza kwa nguvu baada ya week tutashuhudia maangamizi makubwa, kuidharau barakoa na kuendekeza salam za mikono vitaigharimu Taifa hapo baadae
WanamuenziKwani alie kufa alikua anavaa barakoa? Tuanzie hapo kwanza
Lazima mvune mnachopanda watu mkasongamane bila Barakoa katikati ya Pandemic hatari halafu mtegemee niniItakukumba wewe hiyo Corona na itakuua
Hivi unajisikia unavyo Ongea?!Marehemu anataka asindikizwe na wengi ndiyo maana covid 19 imesimama hapo hapo uwanja wa Uhuru ipate kuwanasa wengi ambao hawataki kuvaa barakoa
Hata salam za kushikana mikono ambazo ni hatari sana bado zinaendeleaWanaichi wahimizwe kuvaa barakoa katika mikusanyiko vinginevyo mlipuko wa korona awamu nyingine watanzania watapukutika kama kuku waliokosa kinga katika mabanda yao.
Sasa covid 19 imepiga kambi uwanja wa Uhuru inakula vichwa vyote visivyovaa barakoaLazima mvune mnachopamda watu mkasongamane bila Barakoa katikati ya Pandemic hatari halafu mtegemee nini
Vaa barakoa acha story au na wewe ni walewale mnaotaka watanzania wafe kama inzi?Hivi unajisikia unavyo Ongea?!
Wanaenzi Mwamba wa mbinu Asili#Bupiji, Planet+++, covidol, nimricarf na Nyungu phases.Ndani ya uwanja wa Uhuru ambako mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania Dr Magufuli unaagwa waagaji karibu 95% hawavai barakoa wala hawaonyeshi kama wanafahamu kama kuna uwepo wa corona duniani
Hivi ni nani kawadanganya kwamba hakuna Corona Tanzania ?
Tuhesabu Wiki mbili tu kuanzia janaSasa covid 19 imepiga kambi uwanja wa Uhuru inakula vichwa vyote visivyovaa barakoa
Tupo njiani tunaenda vipi unataka kuja tukupitie hapo Yombo Vituka?[emoji38][emoji38]Sasa covid 19 imepiga kambi uwanja wa Uhuru inakula vichwa vyote visivyovaa barakoa
Anaitwa Nzi na sio "Inzi"Vaa barakoa acha story au na wewe ni walewale mnaotaka watanzania wafe kama inzi?
Hazijathibitishwa ni mbinu hatariHizi mbinu ni sahihi