Mhu!Tanzania tuko na demokrasia ya kuigwa duniani kote kuhusu uhuru wa matumizi ya barakoa. Londoni imegubikwa na maandamano ya kudai uhuru wa demokrasia ya lockdown, barakoa na chanjo. Waandamanaji wote hawakuvaa barako. Polisi ndio walivaa kwa kulazimishwa na MADIKTETA na MANDULI Malkia Elizabeth na PM Borris Johnson.