Waombolezaji wengi wapuuza kuvaa Barakoa, wamedanganywa na nani?

Waombolezaji wengi wapuuza kuvaa Barakoa, wamedanganywa na nani?

Tanzania tuko na demokrasia ya kuigwa duniani kote kuhusu uhuru wa matumizi ya barakoa. Londoni imegubikwa na maandamano ya kudai uhuru wa demokrasia ya lockdown, barakoa na chanjo. Waandamanaji wote hawakuvaa barako. Polisi ndio walivaa kwa kulazimishwa na MADIKTETA na MANDULI Malkia Elizabeth na PM Borris Johnson.
Tumegubikwa na ujinga kwenye hili la corona
 
Mnataka mumpangie sasa Samia si ndio?
Yule mlikuwa mnasema HASHAURIKI.
Maisha bila ya unafiki HAYAENDI
 
Hivi ukiulizwa corona inazuiwa na mask unaweza toa sababu za kisanyasi nenda kasome Respiratory system then usome ni kiwango gani ambacho mwanadamu anatakiwa kuingiza na kutoa cha hewa na ukivaa mask ni kiwango chani cha hewa safi unaingiza kumbuka mask hewa unayotoa inakuwa blocked na hewa unayotakiwa kuingiza inakuwa blocked sasa unakuwa unaingiza mchanganyiko wa hewa

Kingine kwa nini wagonjwa wa covid wanaitaji ventilator machine kwa sababu ya kuwasaidia kupumua sasa ukiwa ww unadistarb mfumo wa upumuaji wa kujifunika mdomo na pua ? wenye matatizo ya Moyo, kisukari ,mapafu na figo nao wavae barakoa unadhani utakuwa unawaweka kwenye hatari kiasi gani?

Hili uonekane upo hai ni lazima pawepo na gas exchange ndo maana ICU lazima pawepo na ventilator ukikosa hewa dakika kadhaa tu umekufa
...hiki kingekuwa kilinge cha fikra kweli, tungevinjari hoja kama hivi..
 
Vizuri.
Na asipofanya hayo.
Na yeye atakuwa adui YENU?.
Pia kumbuka HAKUNA UHURU USIOKUWA NA MIPAKA.
Aheshimu raia, katiba. mahakama ziwe huru, vyombo vya habari viwe huru, atende haki bila upendeleo wa aina yoyote ile na waliobambikiwa kesi fake wote awaachie huru.
 
Rejea uhuru mliokuwa nao wa kumkosoa Magufuli.
Ikafikia watu kutekwa na wengine kufungwa na hata kupoteza maisha yao.
Unadhani Samia atakubali kukosolewa na kukaa kimya?.
Kumbuka hakuna serikali Inayopenda kukosolewa DUNIANI
Hebu tujulishe hiyo mipaka inaanzia wapi na kuishia wapi?
 
Huo utafiti wa kwamba hakuna Serikali inayokubali kukosolewa duniani uliufanya lini na kwa nchi zipi!? Eti uhuru wa kumkosoa magufuli!!! Lini huu uhuru ulitolewa? 😳😳


Rejea uhuru mliokuwa nao wa kumkosoa magufuli.
Ikafikia watu kutekwa na wengine kufungwa na hata kupoteza maisha yao.
Unadhani samia atakubali kukosolewa na kukaa kimya?.
Kumbuka hakuna serikali Inayopenda kukosolewa DUNIANI
 
1.niambie serikali ipi inayokubali kukosolewa?.
2.nini chanzo cha watu kutekwa,kukamatwa,kufungwa na hata kupoteza maisha?.
kipi kilichowaponza kama sio UHURU ULIOPITILIZA?
Huo utafiti wa kwamba hakuna Serikali inayokubali kukosolewa duniani uliufanya lini na kwa nchi zipi!? Eti uhuru wa kumkosoa magufuli!!! Lini huu uhuru ulitolewa? [emoji15][emoji15]
 
Ndani ya uwanja wa Uhuru ambako mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania Dr Magufuli unaagwa waagaji karibu 95% hawavai barakoa wala hawaonyeshi kama wanafahamu kama kuna uwepo wa corona duniani

Hivi ni nani kawadanganya kwamba hakuna Corona Tanzania ?
Kwani mwili ni wako?jishughulishe sana na afya yako kijana
 
Kuna nguvu kubwa inatumika kutoka kwenye kundi flani inashinikiza watu kuvaa barakoa, kwa nini?
Barakoa ingekuwa inazuia corona basi HAKUNA ambaye angekufa hasa huko nchi za wenzetu
 
Labda ni njia mojawapo ya kumuenzi jamaa kwa kuwa na yeye alikuwa havai!
 
Waumini wabarakoa mnaumia kwakweli.
Poleni sana kwa kushindwa kwenu.
 
Back
Top Bottom