Waombolezaji wengi wapuuza kuvaa Barakoa, wamedanganywa na nani?

Tumegubikwa na ujinga kwenye hili la corona
 
Mnataka mumpangie sasa Samia si ndio?
Yule mlikuwa mnasema HASHAURIKI.
Maisha bila ya unafiki HAYAENDI
 
...hiki kingekuwa kilinge cha fikra kweli, tungevinjari hoja kama hivi..
 
Vizuri.
Na asipofanya hayo.
Na yeye atakuwa adui YENU?.
Pia kumbuka HAKUNA UHURU USIOKUWA NA MIPAKA.
Aheshimu raia, katiba. mahakama ziwe huru, vyombo vya habari viwe huru, atende haki bila upendeleo wa aina yoyote ile na waliobambikiwa kesi fake wote awaachie huru.
 
Rejea uhuru mliokuwa nao wa kumkosoa Magufuli.
Ikafikia watu kutekwa na wengine kufungwa na hata kupoteza maisha yao.
Unadhani Samia atakubali kukosolewa na kukaa kimya?.
Kumbuka hakuna serikali Inayopenda kukosolewa DUNIANI
Hebu tujulishe hiyo mipaka inaanzia wapi na kuishia wapi?
 
Huo utafiti wa kwamba hakuna Serikali inayokubali kukosolewa duniani uliufanya lini na kwa nchi zipi!? Eti uhuru wa kumkosoa magufuli!!! Lini huu uhuru ulitolewa? 😳😳


Rejea uhuru mliokuwa nao wa kumkosoa magufuli.
Ikafikia watu kutekwa na wengine kufungwa na hata kupoteza maisha yao.
Unadhani samia atakubali kukosolewa na kukaa kimya?.
Kumbuka hakuna serikali Inayopenda kukosolewa DUNIANI
 
1.niambie serikali ipi inayokubali kukosolewa?.
2.nini chanzo cha watu kutekwa,kukamatwa,kufungwa na hata kupoteza maisha?.
kipi kilichowaponza kama sio UHURU ULIOPITILIZA?
Huo utafiti wa kwamba hakuna Serikali inayokubali kukosolewa duniani uliufanya lini na kwa nchi zipi!? Eti uhuru wa kumkosoa magufuli!!! Lini huu uhuru ulitolewa? [emoji15][emoji15]
 
Ndani ya uwanja wa Uhuru ambako mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania Dr Magufuli unaagwa waagaji karibu 95% hawavai barakoa wala hawaonyeshi kama wanafahamu kama kuna uwepo wa corona duniani

Hivi ni nani kawadanganya kwamba hakuna Corona Tanzania ?
Kwani mwili ni wako?jishughulishe sana na afya yako kijana
 
Kuna nguvu kubwa inatumika kutoka kwenye kundi flani inashinikiza watu kuvaa barakoa, kwa nini?
Barakoa ingekuwa inazuia corona basi HAKUNA ambaye angekufa hasa huko nchi za wenzetu
 
Labda ni njia mojawapo ya kumuenzi jamaa kwa kuwa na yeye alikuwa havai!
 
Waumini wabarakoa mnaumia kwakweli.
Poleni sana kwa kushindwa kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…