Waombolezaji wengi wapuuza kuvaa Barakoa, wamedanganywa na nani?

Ndani ya uwanja wa Uhuru ambako mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Dr. Magufuli unaagwa, waagaji karibu 95% hawavai barakoa wala hawaonyeshi kama wanafahamu kama kuna uwepo wa corona duniani.

Hivi ni nani kawadanganya kwamba hakuna Corona Tanzania?
Wamedanganywa na Magufuli.
 
Ndani ya uwanja wa Uhuru ambako mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Dr. Magufuli unaagwa, waagaji karibu 95% hawavai barakoa wala hawaonyeshi kama wanafahamu kama kuna uwepo wa corona duniani.

Hivi ni nani kawadanganya kwamba hakuna Corona Tanzania?
Wao wameamua
 
Wakitoka hapo wataenda kukutana na maboss kazini, au wazee home na ndiyo hiyo consequences inaoneka. Tusiwe na mizaa na uhai. Wasiwasi ndo akili zenyewe
 
Hiki ndicho kitafuata kuna idadi kubwa watafariki baada ya siku chache kwani kuna maambukizi makubwa yamepenyezwa hapo
Hujakoma tu kutabiria wenzako vifo.
Mungu ndiye anayeoanga Nani afe Nani abaki, kwa sababu gani na kwa njia gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…