Waooooo! siamini kabisa!!!

Hahaha nakutania mkuu....ila uPlatnum member unachangia kidogo mkuu
kuchangia tena!!! hee na haya matangazo kama haya si wanalipwa hela nyingi yaani niwaaongezee tena!! hapana bora nibakie member tu wa kawaida. Au hao platinum wanapewa bonus? maana tangazo kama hili si haba wanapata haswaaa

Ndio kuichangia JF ijiendeshe..
kuhusu bonus jaribu kumuuliza Nyani Ngabu labda atakujibu
 
Duu wengine mwaka wa tano huu hamna cha senior wala platinum member
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…