Waooooo! siamini kabisa!!!

Waooooo! siamini kabisa!!!

Hahaha nakutania mkuu....ila uPlatnum member unachangia kidogo mkuu
kuchangia tena!!! hee na haya matangazo kama haya si wanalipwa hela nyingi yaani niwaaongezee tena!! hapana bora nibakie member tu wa kawaida. Au hao platinum wanapewa bonus? maana tangazo kama hili si haba wanapata haswaaa

Ndio kuichangia JF ijiendeshe..
kuhusu bonus jaribu kumuuliza Nyani Ngabu labda atakujibu
 
Back
Top Bottom