Wapagani wa kale waliabudu Utatu Mtakatifu

nipe ushahidi kwamba utatu upo kwenye biblia kabla wakristo hawajaupandikiza kutoka kwenye upagani.
 
ukiichunguza judaism nayo ina upagani wa hatari,hata kitabu chao cha Talmud

Definition ya Upagani inatofautiana kwa kila imani. Kwa mkristu anavyoelezea maana ya upagani anawaona wenzake ni wapagani na kwa wengine nao wanamuona mkristu mpagani.


Kwa judaism wao watakuambia sio upagani.

Mkuu tupatie ushahidi wa Upagani wa judaism ili nasi tujifunze zaidi.

Shukran
 
..ana Original Body sawa na ndo tutamwona nayo tukifika Mbinguni but He is a spirit na anaweza fanya tusioweza that was ma Point

Kama ni muumini kasome In.1:14..hata Quran inamtambulisha Mungu kwamba; Ni wa siri na dhahir...
 
Kulingana na Biblia Mwanzo 1:1 ,aliyeumba ni YHWH (Yehova,Yahweh) Soma Zaburi 83:18

Kaka hiyo Mwanzo 1: umeisoma mpaka wapi, umejaribu kuisoma yote? Au umesoma mstari mmoja tu?

Hiyo Mwanzo 1 ndio utatu mtakatifu unapojizihirisha wazi kabisa, Hiyo Mwanzo 1, inasema hivi " Hapo mwanzo MUNGU, aliziumba Mbingu na nchi, Hapa hakuna Mkristo hata mmoja anayebisha kuwa Mungu ndiye aliyeumba, swali linakuja hapa Aliumbaje hiyo Dunia,

Mwanzo 1:2 unasema ROHO YA MUNGU ikatua juu ya uso wa maji, hapo ni Dhairi Mungu anaanza kuzigawa Nafsi zake katika uumbaji, kwamba Mungu ndiye aliyeumba, lakini ROHO YAKE NDIYO ILIYOTUA JUU YA USO WA MAJI, hapo kuna Mungu na Roho lakini upo katika umoja japo inaonekana utofauti wa nafsi

Mwanzo 1:3 Mungu AKASEMA, iwe Nuru, Hapa Mungu anatoa NENO na kusema iwe Nuru,
Hivyo kwenye huu uumbaji tunaona MUNGU, ROHO YAKE na kisha NENO lake, MUNGU, ROHO YAKE NA NENO LAKE NI MUNGU MMOJA,

Ukija kwenye Yohana 1:1-4, inasema hivi Hapo mwanzo alikuwako NENO (mwanzo 1:3) na huyo NENO alikuwako kwa MUNGU na huyo NENO ALIKUWA MUNGU, mstari wa 14 (yohana 1:4), unasema na huyo NENO alifanyika Mwili, Akaaa kwetu, nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa MWANA PEKEE atokaye kwa BABA amejaa Neema na Kweli

CC: Red Giant , mgen , Mango833 , mwana2015 , @G' taxi, Hb wa Ilala
 
Kuna mengi ya kuImmifunza na yana staajabisha sana mkuu.

Wanadamu wa ajabu sana. [emoji53]

Kihistoria ni kweli pana mengi ya kujifunza...lakini ukumbuke kiimani hasa Ukiwa mfuasi wa Yesu unapo yafuasa mafundisho yake na kuyaishi hayo hapo ni used tu...
 

Mtumishi tatizo la wengi humu wanaushusha uwezo na maajabu ya MMungu na kuuweka kwenye nafasi ya kiumbe chake dhaifu alicho kiumba...kama hawajui hiyo ni kufru na ukafir ambao hata ibilisi hawezi kuukurubia...huyo mzee wa busara anao uwezo wa kugeuka nyau na wengi wanaamini!; sasa ashindwe yule aliye umba nyau na mzee wa busara kujidhihirisha ktk Utatu? Kama ndivyo sio Mungu Muweza Huyo...
 
Kulikuwa na kundi la wasabato wenye siasa kali waliotaka kwenda Iran sijui liliishia wapi wakuu. Mwenye taarifa tafadhali
 
Well said
 
Weka mistari uliyonukuu ili ueleweke.
 
Today is what is calling 3D (x, y, z),in additions of time & space together making a 5D.
eg. Discovering of micro chip devices.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…