Wapagani wa kale waliabudu Utatu Mtakatifu

Wapagani wa kale waliabudu Utatu Mtakatifu

..atleast the Bible is the Only book ambayo haijicontradict Unlike vingi,alafu the Bible was not written by Jews ni manabii wengine wakavikusanya pamoja

Kwenye swala la contradictions inategemeana na unazungumzia mada gani lakini zipo contradictions katika mada mbalimbali.

Biblia imetoka kwenye nakala za Traditional Judaism. Au una ushahidi kuwa Biblia ni independent book and not from Traditional Judaism?
 
..Nafsi ya Mungu(the father) ndo Ilikua dhahiri nyakati hizo Jesus and the spirit wameweka wazi baadae ndo maana ametumia umoja hapo
hapo kuwwekwa wazi baadae wakati kwa wapagani ilijulikana karne mbili kabla inafanya tuamini ukristo ulikopi huko. pia mwanzo 1: 2 inataja Roho takatifu (mtakatifu). inamana hata daudi alipokuwa akiandika zaburi 11:5 alijua kuna roho lakini akasema nafsi yake si nafsi zake. kwanini? kwasababu alijua Mungu ni mmoja na nafsi moja.
 
But an hour is coming, and now is, when the true worshipers shall worship the Father in spirit and truth; for such people the Father seeks to be His worshipers” (John 4:21-23). Bila kumuabudu in spirit huwez kumfikia because he is spiritual

Nimekuuliza...

What if God is the Universe itself within everything, every being and every life source?

Is that a spirit?
 
Kwenye swala la contradictions inategemeana na unazungumzia mada gani lakini zipo contradictions katika mada mbalimbali.

Biblia imetoka kwenye nakala za Traditional Judaism. Au una ushahidi kuwa Biblia ni independent book and not from Traditional Judaism?
..we Nionyeshe ushahidi unaonyesha Bible imetokana na Traditional judaism
 
Mtapambana kujitetea na kujiamini lakini

You don't make any sense with logics. Its a crap and not making any sense. Mnapinga mpaka ushahidi unaoonekana wa paganism in your beliefs.
 
Weka reference mkuu, holy trinity haikuwapo bali ilikopiwa kutoka kwa Egyptians.
GENESIS 1
In the beginning God created the heavens and the earth. 2 Now the earth was formless and empty, darkness was over the surface of the deep, and the Spirit of God was hovering over the waters.

3 And God said, “Let there be light,” and there was light.
Father anaongea hapo,Spirit unaona Alipokua na anachokisema ni Neno(the word) ambae ndo Jesus according to
JOHN 1
In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God. 2 He was with God in the beginning. 3 Through him all things were made; without him nothing was made that has been made. 4 In him was life, and that life was the light of all mankind. 5 The light shines in the darkness, and the darkness has not overcome[a] it.
 
..we Nionyeshe ushahidi unaonyesha Bible imetokana na Traditional judaism

Agano la kale katika Christian Bible limetoka katika Hebrew Bible (Tanakh). Pia Chronology ya Christian bible ilikujaa baada ya Tanakh ya Traditional Judaism.

Unaposema Yesu alikuwa anaenda kwenye Sinagogi na kusali na kulikuwa na vitabu vya imani unafikiri ilikuwa Christian Bible hii uliyoishika wewe? Hii christian bible imechukua vitabu vya Tanakh.

Haiwezi kumake sense kwa anayeona Biblia ya Kale na ya sasa ni sawa na waandishi ni walilenga kuandika Biblia ya Kikristu. Ukimuuliza Moses juu ya Ukristu hajui wala hakujua kutakuja kuwa na Christian Bible kutoka katika vitabu vyake vya Torah.
 
UKIFUATILIA VIZURI KITU KINACHOITWA ANUNAKI NAPO UNAKUTANA NA KITU KINACHOITWA MAANDIKO MATAKATIFU.DUNIA IMACHANGANYA SANA,BORA KUKAA KIMYA.
 
Paul alisema iman yenu ni bure na mngalimo katika dhambi zenu,kwa maana mlishuhudia uwongo kuwa yesu ni mungu wakati si kweli,mkashuhudia uwongo kuwa kuna miungu watatu,yaani mungu baba,mungu mwana,na roho wakati si kweli bali imani iliazimwa toka katika imani za kipangani ikaingizwa katika maandiko.
Huu kweli peke inaonyesha ukweli wa maneno ya paulo kuwa,"mliamini bure,mngalimo katika dhambi zenyu"
 
..the Father na alipokua anasali kwa Mungu he was 100% Human pale maana Yesu alikuaja 100% human na 100% God
kwanini siyo kwa Mungu Roho au kwake mwenyewe, si wote ni sawa? sababu ni kuwa Baba ndiye Mungu peke yake na ni mkuu hata yesu mwenyewe alisema. yohana 14:28

28 Kumbukeni nilivyowaambia, ‘Ninakwenda, na nitarudi.’ Kama kweli mngalinipenda mngefurahi, kwa kuwa nakwenda kwa Baba; na Baba yangu ni mkuu kuliko mimi.
 
..Kaka neno MUNGU ni cheo,Its not the Father tu au mwana tu au Roho mtakatifu tu ni wote,kwaio Mungu ni mmoja mwenye Nafsi Tatu!!!!
Achaga uongo kwa vitu ambavyo huna ushahidi navyo... Mpo wengi sana watu Wa aina yako mnaweza kujaza tafsiri ya kila neno la biblia kana kwamba biblia ilikosewa na nyie ndio mpo sawa mnaielewa na fact biblia ilitambua uwepo wenu watu kama nyingi ikawaonya ole wao wabadilishao neno au maneno katika kitabu
 
Ni kwali kabisa, mleta mada yupo sahihi. Utatu ni fundisho LA kipagani, maana hata neno UTATU halipatikani ktk maandiko matakatifu- BIBLIA
 
Agano la kale katika Christian Bible limetoka katika Hebrew Bible (Tanakh). Pia Chronology ya Christian bible ilikujaa baada ya Tanakh ya Traditional Judaism.

Unaposema Yesu alikuwa anaenda kwenye Sinagogi na kusali na kulikuwa na vitabu vya imani unafikiri ilikuwa Christian Bible hii uliyoishika wewe? Hii christian bible imechukua vitabu vya Tanakh.

Haiwezi kumake sense kwa anayeona Biblia ya Kale na ya sasa ni sawa na waandishi ni walilenga kuandika Biblia ya Kikristu. Ukimuuliza Moses juu ya Ukristu hajui wala hakujua kutakuja kuwa na Christian Bible kutoka katika vitabu vyake vya Torah.
..Kwanza ujue kwamba Judaism sio upagani as u say it sema they Beleive in salvation by physical efforts lakini tunajua huwez kuepuka dhambi and Yes Origin ya Biblia ni Hebrew Bible
 
Achaga uongo kwa vitu ambavyo huna ushahidi navyo... Mpo wengi sana watu Wa aina yako mnaweza kujaza tafsiri ya kila neno la biblia kana kwamba biblia ilikosewa na nyie ndio mpo sawa mnaielewa na fact biblia ilitambua uwepo wenu watu kama nyingi ikawaonya ole wao wabadilishao neno au maneno katika kitabu
..kaka Umenielewa au unadandia vitu tu?!
 
kwanini siyo kwa Mungu Roho au kwake mwenyewe, si wote ni sawa? sababu ni kuwa Baba ndiye Mungu peke yake na ni mkuu hata yesu mwenyewe alisema. yohana 14:28

28 Kumbukeni nilivyowaambia, ‘Ninakwenda, na nitarudi.’ Kama kweli mngalinipenda mngefurahi, kwa kuwa nakwenda kwa Baba; na Baba yangu ni mkuu kuliko mimi.
..Kaka wamegawana majukumu,thats not the Role of the Holy spirit ndo maana unaona Biblia ilimdhirisha Baba then Jesus akaja alafu akabaki Roho till date na sio Mungu roho hakuna kitu kama hichi
 
82635ae637fa16ef24dd65e3ac0f7333.jpg

727253d5058980a2ea5510d5c3bc42b4.jpg

Bado na Huu mtasema sio upagani.

b74140640b9e2f3e647ec280e12cb9a4.jpg

fb737ece078d537708b75457de7ccad5.jpg

059baf3e84926bb259ee62b1d6cfe295.jpg

9b9ed6311754e97349e0856455461089.jpg

8322bdc2824210346a240ee4a3064e01.jpg

73cd58ffb08eadf6356efc36319730c5.jpg

9a3673eecba4a506c584f8fff49cd843.jpg

4541d6ef76dc7fd6b64147f9a8de797b.jpg

df3cf1de296c4b4afe1dd0549274e7af.jpg
 
Mungu ni Mmoja tu
Hapana aliyesema Mungu ni watano,kumi au wawili..yes Mungu ni mmoja tu ktk utatu Mtakatifu wale wanaoamini hivi waachwe waaamini na wasioamini hivi waachwe maana kila mmoja ana haki ya kuamini akitakacho.
 
Back
Top Bottom