Wapagani wa kale waliabudu Utatu Mtakatifu

Neno Mungu ni Cheo kama wewe Mango833 ni ID yako JF,Ila bado naweza kukuita Mtoto wa Flan bado hicho ni Cheo,bado naweza kukuita Baba/Mama Flan bado ukaitika wewe.....IKO HIVO
Kama cheo Mungu ana vyeo vingi sio vitatu tu.kwamba ni mwana ni baba na roho hapana. Mungu ana cheo cha kulea , Kulinda , kutoa rizk , na kadhalika
Kwahiyo hana nafsi tatu.Mungu ni Mungu na hakuna mwingine mwenye haki ya kujiita Mungu
 
..Kaka neno MUNGU ni cheo,Its not the Father tu au mwana tu au Roho mtakatifu tu ni wote,kwaio Mungu ni mmoja mwenye Nafsi Tatu!!!!
kama unabiblia yako. mwanzoni kabisa wameandika kuwa neno ukiona neno MUNGU au BWANA kwa herufi kubwa ujue panamaanisha Yahweh au Yehova. Labda uniambie kuwa Yahwe ni jina la jumla la Baba, Mwana na Roho takatifu!
 
Nafsi tatu iliwekwa wapagani waje kwenye ukristo ila sio eti wapagani wameiga kwao, before christ ancient religion mda huo ilikuwa hiyo ya Egyptian trinity. Watu wa research haya mambo christianity did not destroy paganism, it adopted it(caesar 595)
 
kama unabiblia yako. mwanzoni kabisa wameandika kuwa neno ukiona neno MUNGU au BWANA kwa herufi kubwa ujue panamaanisha Yahweh au Yehova. Labda uniambie kuwa Yahwe ni jina la jumla la Baba, Mwana na Roho takatifu!
..Haswaa,MUNGU ni Jumla ya nafsi zote tatu!!
 
Haya mambo yaachwe hivi hivi tu, maana ukisema ati wewe ndo unamwabudu Mungu wa kweli kuliko mwenzako basi nakwambia hata kwenye dini yako pia kuna watu wengine wana wasi wasi na mungu wako unayemuabudu pia...

Ni bora kila mtu asimame na anapopaamini!!
 
Sometimes, kuna dini zinaogopa kusema ni Miungu watatu na kusema ni nafsi tatu mungu mmoja kwa sababu wanaogopa wataonekana wapo kinyume na wazo la kuwepo kwa mungu mmoja.

Ifahamike kuwa nafsi ni sehemu kuu ya upekee wa existence. Unaposema nafsi zaidi ya mbili tayari sio nafsi moja tena, umeshagawanya kutoka moja kuwa mbili. Unaposema baba, mwana na roho mtakatifu na ukasema kila mmoja ana nafasi yake tayari umeshatenganisha (labda usingizie kuwa Mungu hayupo sawa na mwanadamu halafu anaweza kuwa vyovyote kwa upekee, nafsi ni innermost part of uniqueness of existence).

Unaposema alisema "tuumbe mtu kwa mfano wetu" kwa kutumia nafsi mbili tayari sio mmoja.

Unaposema Yesu alikuwa anasali na unasema ni Mungu it does not make any real sense.

Kiuhalisia wanamiungu watatu lakini wanajia mungu mmoja ndio concept yenye mashiko hivyo wanalazima kuwa nao wapo na mungu mmoja. Sawa na kukusanya kuni kuwa fungu moja huwezi kusema ni kuni moja. Nafsi ni cores, ndio utofauti wa moja na kuendelea. Hakuna nafsi zaidi ya moja katika nafsi moja.
It doesn't make sense. For real. Tunalazimishana tu kuelewa hapo.

Pia Ni kweli logic ya utatu mtakatifu ni paganic origin. Early Christianity kabla ya kuunganishwa kwa mfalme Constantine kuchanganya ukristu na urumi kuwa imani moja hakukuwa na utatu.

Na hakuna ushahidi wa kihistoria, katika gospels za kale, katika michoro wala katika maelezo ya documents za kale kuwa kuna kitu kinaitwa utatu.

Hizo ni baada ya kukusanya imani za Kirumi, Misrata na Roman beliefs. Hata XMass, Siku ya Pasaka, kalenda, siku ya ibada vyote viko kukopy na kupaste kutoka upagani ili kueneza imani kwa sababu wapagani wa Europe wakawa wakristu kwa kuwa waliona ni new form of paganism. Ina sacrifice kama paganic idea zilivyo na mythologies too. Cha kushangaza Emperor Constantine aliyebadili ukristu Tomb yake haina evidence ya alama za ukristu he was a pagan mpaka alipokufa. He lied to christians ili apate followers na aweke historia ya kuubadili Upagani kuwa na ukristu na kupata followers wengi lakini yeye ndiye aliwaua wakristu hapo kale. Ni kama aliona njia ni kiwadanganya na sio kuwaua. Na alifanikiwa na akakuza dola.

But thanks angalau nao wame appreciate African beliefs na kuweka kwenye dini. African beliefs ziliigwa na wagirikia na wagiriki walipotolewa na kuingia urumi nao wakaendeleza ideas za wagiriki.
 
I like this. ....ninaamini katika UPENDO zaidi ya yote! Mwenye upendo ndiyo mwenye funguo! Funguo ni ufahamu na hekima. ...
maat2.jpg
 
..Mwanzo moja,the Holy trinity imatajwa Pale mbona kabla hata Ya uumbaji!!
mbinguni kuna viumbe wengi. ndiyo maana maandiko yale yanatumia wingi. biblia yote hakuna neno utatu.
 
Zaburi 11:4,5 Mungu anasema " Mtu anayependa jeuri NAFSI YANGU inamchukia". Mungu wa kweli ana nafsi moja.Utatu ni total paganism.Isitoshe Wapagani wanasema nafsi zote 3 ziko Equal ktk kila sekta,Yesu (mwana) anasema Baba ni MKUU kuliko mimi.,Yohana 14:28.
 
Sometimes, kuna dini zinaogopa kusema ni Miungu watatu na kusema ni nafsi tatu mungu mmoja kwa sababu wanaogopa wataonekana wapo kinyume na wazo la kuwepo kwa mungu mmoja.

Ifahamike kuwa nafsi ni sehemu kuu ya upekee wa existence. Unaposema nafsi zaidi ya mbili tayari sio nafsi moja tena, umeshagawanya kutoka moja kuwa mbili. Unaposema baba, mwana na roho mtakatifu na ukasema kila mmoja ana nafasi yake tayari umeshatenganisha (labda usingizie kuwa Mungu hayupo sawa na mwanadamu halafu anaweza kuwa vyovyote kwa upekee, nafsi ni innermost part of uniqueness of existence).

Unaposema alisema "tuumbe mtu kwa mfano wetu" kwa kutumia nafsi mbili tayari sio mmoja.

Unaposema Yesu alikuwa anasali na unasema ni Mungu it does not make any real sense.

Kiuhalisia wanamiungu watatu lakini wanajia mungu mmoja ndio concept yenye mashiko hivyo wanalazima kuwa nao wapo na mungu mmoja. Sawa na kukusanya kuni kuwa fungu moja huwezi kusema ni kuni moja. Nafsi ni cores, ndio utofauti wa moja na kuendelea. Hakuna nafsi zaidi ya moja katika nafsi moja.
It doesn't make sense. For real. Tunalazimishana tu kuelewa hapo.

Pia Ni kweli logic ya utatu mtakatifu ni paganic origin. Early Christianity kabla ya kuunganishwa kwa mfalme Constantine kuchanganya ukristu na urumi kuwa imani moja hakukuwa na utatu.

Na hakuna ushahidi wa kihistoria, katika gospels za kale, katika michoro wala katika maelezo ya documents za kale kuwa kuna kitu kinaitwa utatu.

Hizo ni baada ya kukusanya imani za Kirumi, Misrata na Roman beliefs. Hata XMass, Siku ya Pasaka, kalenda, siku ya ibada vyote viko kukopy na kupaste kutoka upagani ili kueneza imani kwa sababu wapagani wa Europe wakawa wakristu kwa kuwa waliona ni new form of paganism. Ina sacrifice kama paganic idea zilivyo na mythologies too. Cha kushangaza Emperor Constantine aliyebadili ukristu Tomb yake haina evidence ya alama za ukristu he was a pagan mpaka alipokufa. He lied to christians ili apate followers na aweke historia ya kuubadili Upagani kuwa na ukristu na kupata followers wengi lakini yeye ndiye aliwaua wakristu hapo kale. Ni kama aliona njia ni kiwadanganya na sio kuwaua. Na alifanikiwa na akakuza dola.

But thanks angalau nao wame appreciate African beliefs na kuweka kwenye dini. African beliefs ziliigwa na wagirikia na wagiriki walipotolewa na kuingia urumi nao wakaendeleza ideas za wagiriki.
It sounds real
 
Neno Mungu ni Cheo kama wewe Mango833 ni ID yako JF,Ila bado naweza kukuita Mtoto wa Flan bado hicho ni Cheo,bado naweza kukuita Baba/Mama Flan bado ukaitika wewe.....IKO HIVO
Umemezeshwa na wewe umemeza mazima mazima hivyo hivyo,pole sana ndugu yangu maana utafanyaje na nyie ni MAHABA NIUE.
NB;mungu ni mmoja tu na ile sala yenu ya MARIA ndio inaonyesha kwamba nyinyi ni ABNORNAL
 
kwanini watu wameendeleza hii ibada ya kipagani?

441px-Egypte_louvre_066.jpg

Brahmma, vishnu na Siva wahindi.
s9amrj.jpg

triadhs2.jpg
Kitu ilikuwa klabu ya makahaba!; Leo pale pamejengwa Kanisa watu wanamtukuza MMungu [emoji4] kinacho kukera nini [emoji47] [emoji4]
 
wakristo walipata hili suala kutoka kwa wapagani na kuaanza kulitumia. kwenye biblia hili jambo halipo, kuchukua fundisho la kipagani na kulazimisha liwe la kikisto hata kama hautumii Miungu yao ni tatizo.
Acha ushambeka,uchakubimbi Na umbeya ,kuwa Na tabia kama mtoto Wa kiume
 
Kama cheo Mungu ana vyeo vingi sio vitatu tu.kwamba ni mwana ni baba na roho hapana. Mungu ana cheo cha kulea , Kulinda , kutoa rizk , na kadhalika
Kwahiyo hana nafsi tatu.Mungu ni Mungu na hakuna mwingine mwenye haki ya kujiita Mungu
..unaposema neno MUNGU ni Kama Mfano ukasema Rais(Cheo) ambae anaeza kuwa amiri jeshi mkuu,mkuu wa bunge na mme wa janet hivi ni vyeo ulivotaja ni kazi
 
Back
Top Bottom