Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,181
- 2,448
".......Maria mtakatifu mama wa MUNGU! ....."wakatoliki wanamwabudu bikira maria, ndio mama huyo kama ulikua hujui.
Hiyo ni moja ya maneno ya kwenye sala ya salam maria umejaa neema. Hivi kweli hadi leo watu wanaamini uzushi huu?? Hivi kweli Mungu ana mama? Nadhani wakatoliki wana Mungu wao peke yao ambaye ana mama. Sisi wengine Mungu wetu hakuzaa wala hakuzaliwa na ni mwenye uhai wa milele na ni msimamizi wa mambo ya viumbe.