Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Tatizo unaamini utatu mtakatifu umeanza kuwepo after ujio wa kristo ILA ni kabla hata ya creationNafsi tatu iliwekwa wapagani waje kwenye ukristo ila sio eti wapagani wameiga kwao, before christ ancient religion mda huo ilikuwa hiyo ya Egyptian trinity. Watu wa research haya mambo christianity did not destroy paganism, it adopted it(caesar 595)
Anae sema Mungu watatu nani [emoji47] tofautisha utatu na tatu [emoji4] hata hilo ufundishwe [emoji351] afu unajiita great thinker[emoji12]Mungu ni Mmoja tu
..tatizo Unamchukulia MUNGU kama mtu,a spirit can duplicate itself mara hata 1000 japo source ni mojaSometimes, kuna dini zinaogopa kusema ni Miungu watatu na kusema ni nafsi tatu mungu mmoja kwa sababu wanaogopa wataonekana wapo kinyume na wazo la kuwepo kwa mungu mmoja.
Ifahamike kuwa nafsi ni sehemu kuu ya upekee wa existence. Unaposema nafsi zaidi ya mbili tayari sio nafsi moja tena, umeshagawanya kutoka moja kuwa mbili. Unaposema baba, mwana na roho mtakatifu na ukasema kila mmoja ana nafasi yake tayari umeshatenganisha (labda usingizie kuwa Mungu hayupo sawa na mwanadamu halafu anaweza kuwa vyovyote kwa upekee, nafsi ni innermost part of uniqueness of existence).
Unaposema alisema "tuumbe mtu kwa mfano wetu" kwa kutumia nafsi mbili tayari sio mmoja.
Unaposema Yesu alikuwa anasali na unasema ni Mungu it does not make any real sense.
Kiuhalisia wanamiungu watatu lakini wanajia mungu mmoja ndio concept yenye mashiko hivyo wanalazima kuwa nao wapo na mungu mmoja. Sawa na kukusanya kuni kuwa fungu moja huwezi kusema ni kuni moja. Nafsi ni cores, ndio utofauti wa moja na kuendelea. Hakuna nafsi zaidi ya moja katika nafsi moja.
It doesn't make sense. For real. Tunalazimishana tu kuelewa hapo.
Pia Ni kweli logic ya utatu mtakatifu ni paganic origin. Early Christianity kabla ya kuunganishwa kwa mfalme Constantine kuchanganya ukristu na urumi kuwa imani moja hakukuwa na utatu.
Na hakuna ushahidi wa kihistoria, katika gospels za kale, katika michoro wala katika maelezo ya documents za kale kuwa kuna kitu kinaitwa utatu.
Hizo ni baada ya kukusanya imani za Kirumi, Misrata na Roman beliefs. Hata XMass, Siku ya Pasaka, kalenda, siku ya ibada vyote viko kukopy na kupaste kutoka upagani ili kueneza imani kwa sababu wapagani wa Europe wakawa wakristu kwa kuwa waliona ni new form of paganism. Ina sacrifice kama paganic idea zilivyo na mythologies too. Cha kushangaza Emperor Constantine aliyebadili ukristu Tomb yake haina evidence ya alama za ukristu he was a pagan mpaka alipokufa. He lied to christians ili apate followers na aweke historia ya kuubadili Upagani kuwa na ukristu na kupata followers wengi lakini yeye ndiye aliwaua wakristu hapo kale. Ni kama aliona njia ni kiwadanganya na sio kuwaua. Na alifanikiwa na akakuza dola.
But thanks angalau nao wame appreciate African beliefs na kuweka kwenye dini. African beliefs ziliigwa na wagirikia na wagiriki walipotolewa na kuingia urumi nao wakaendeleza ideas za wagiriki.
..wee constatine wa Juzi tuu,Jaman the Holy trinity has existed kabla hata Ya uumbaji wa duniaSometimes, kuna dini zinaogopa kusema ni Miungu watatu na kusema ni nafsi tatu mungu mmoja kwa sababu wanaogopa wataonekana wapo kinyume na wazo la kuwepo kwa mungu mmoja.
Ifahamike kuwa nafsi ni sehemu kuu ya upekee wa existence. Unaposema nafsi zaidi ya mbili tayari sio nafsi moja tena, umeshagawanya kutoka moja kuwa mbili. Unaposema baba, mwana na roho mtakatifu na ukasema kila mmoja ana nafasi yake tayari umeshatenganisha (labda usingizie kuwa Mungu hayupo sawa na mwanadamu halafu anaweza kuwa vyovyote kwa upekee, nafsi ni innermost part of uniqueness of existence).
Unaposema alisema "tuumbe mtu kwa mfano wetu" kwa kutumia nafsi mbili tayari sio mmoja.
Unaposema Yesu alikuwa anasali na unasema ni Mungu it does not make any real sense.
Kiuhalisia wanamiungu watatu lakini wanajia mungu mmoja ndio concept yenye mashiko hivyo wanalazima kuwa nao wapo na mungu mmoja. Sawa na kukusanya kuni kuwa fungu moja huwezi kusema ni kuni moja. Nafsi ni cores, ndio utofauti wa moja na kuendelea. Hakuna nafsi zaidi ya moja katika nafsi moja.
It doesn't make sense. For real. Tunalazimishana tu kuelewa hapo.
Pia Ni kweli logic ya utatu mtakatifu ni paganic origin. Early Christianity kabla ya kuunganishwa kwa mfalme Constantine kuchanganya ukristu na urumi kuwa imani moja hakukuwa na utatu.
Na hakuna ushahidi wa kihistoria, katika gospels za kale, katika michoro wala katika maelezo ya documents za kale kuwa kuna kitu kinaitwa utatu.
Hizo ni baada ya kukusanya imani za Kirumi, Misrata na Roman beliefs. Hata XMass, Siku ya Pasaka, kalenda, siku ya ibada vyote viko kukopy na kupaste kutoka upagani ili kueneza imani kwa sababu wapagani wa Europe wakawa wakristu kwa kuwa waliona ni new form of paganism. Ina sacrifice kama paganic idea zilivyo na mythologies too. Cha kushangaza Emperor Constantine aliyebadili ukristu Tomb yake haina evidence ya alama za ukristu he was a pagan mpaka alipokufa. He lied to christians ili apate followers na aweke historia ya kuubadili Upagani kuwa na ukristu na kupata followers wengi lakini yeye ndiye aliwaua wakristu hapo kale. Ni kama aliona njia ni kiwadanganya na sio kuwaua. Na alifanikiwa na akakuza dola.
But thanks angalau nao wame appreciate African beliefs na kuweka kwenye dini. African beliefs ziliigwa na wagirikia na wagiriki walipotolewa na kuingia urumi nao wakaendeleza ideas za wagiriki.
..upo sawa kuhusu utatu,Ila mbinguni kila kitu kimeelezewa kilichopo sio vingi ivo na when God(the father) created holyspirit alishiriki na Neno(Jesus)mbinguni kuna viumbe wengi. ndiyo maana maandiko yale yanatumia wingi. biblia yote hakuna neno utatu.
..No nafsi ikikosekana haiwezekanna kwa pamoja anaitwa Yahweh/Yehova? nafsi moja ikikosekana bado ataitwa Mungu?
..concept Ya Maria ni uwongo,she is Just a mere womanUmemezeshwa na wewe umemeza mazima mazima hivyo hivyo,pole sana ndugu yangu maana utafanyaje na nyie ni MAHABA NIUE.
NB;mungu ni mmoja tu na ile sala yenu ya MARIA ndio inaonyesha kwamba nyinyi ni ABNORNAL
Hebu ufiche ujinga wako [emoji15] wewe lugha Imani ya Wafuasi wa Yesu kwako usiku wa giza [emoji12] Mimi naamini Yesu in Alfa na Omega[emoji109] [emoji4]ukicheki hapo juu utaona Wamisri waliamini utatu miaka 2,000 kabla ya Yesu. kwahiyo wakristo ndiyo walichukua hili fundisho toka kwa wapagani.
..tatizo Unamchukulia MUNGU kama mtu,a spirit can duplicate itself mara hata 1000 japo source ni moja
..God is a spirit Right?!Hahaha.
Na tatizo na wewe una imagination ya Mungu alivyo hivyo ukiambiwa ana kitu au hali fulani unatengeneza picha kuamini hata kama it doesn't make sense. Sawa na wanaoamini ana mikono minne na vichwa vinne. Its just Human imaginations but no one know God. Its beyond our ability as humans. Hatumjui Mungu 100% na tusiweke nadhiri na kujiaminisha ambacho hatuna uhakika nacho.
No one knows him. Ana nafsi moja au mbili au tatu its a matter of a personal beliefs. Lakini ukiambiwa belief yako ina root kutoka wapi its not a problem.
Asante mkuu
Mungu kakuajiri lini uwe msemaji wake [emoji351] Yeye atakalo huwa na hana mshirika!; unamlinganisha MMungu kama babu yako asiye na uwezo [emoji15] [emoji4] msiba huo dogo [emoji30]Ni Mmoja tu na hana nafsi tatu
..wee constatine wa Juzi tuu,Jaman the Holy trinity has existed kabla hata Ya uumbaji wa dunia
ulisoma zaburi 11:5 aliyoweka jamaa hapo juu inayosema Mungu ana nafsi moja?..tatizo Unamchukulia MUNGU kama mtu,a spirit can duplicate itself mara hata 1000 japo source ni moja
..God is a spirit Right?!
daah [emoji15] akili nyingine bana [emoji4] ujue kwamba kwa mwanadamu waAllahi haiwezekani, sasa jiulize Mungu naye Hawezi [emoji351] sema hawezi unune unakufuru [emoji15]Ally, Josef na Maryamu ni mtu mmoja mwenye sura tofauti au siyo??? We jamaa bwana. Wote watatu kuwa wanadamu haiwafanyi kuwa ni mmoja. Mkuu Mwenyezi MUNGU ni mmoja tu. Kama unasema ana nafsi tatu basi leta andiko linalokusapoti maneno yako. Nionavyo mm ni kuwa concept ya utatu ilibuniwa ili kuifanya dini ikubaliwe na wapagani wa kirumi. Kama unabisha leta aya inayoeleza kuwa Mungu ana nafsi tatu.