Na hapo inawezekana walikuwepo magaidi 10 tu wa Hamas waliokuwa wamejificha katikati ya kundi la raia karibia 100. Duniani ingewasaidia wale wanaolazimishwa kuwa shield ya wapiganaji kwa nguvu. Kwa sasa kubakia mmewazunguka magaidi wapiganaji ni siyo suala la hiari, au
wapiganaji wa Hamas wakaja ndani ya nyumba yako, na wewe raia utalazimishwa kukaa nao. Ukitaka kuondoka tu, magaidi wa Hamas wanakuua hapo hapo kwa sababu wanahisi unatengeneza mazingira ya wao kupigwa kiurahisi. Kwa hiyo kuna wengine ni lazima watakuwa wanalazimishwa kufa pamoja na magaidi wa Hamas, hata kama haikuwa hiari yao.
Kama watu wazima wamehiari kufa pamoja na magaidi, huo ni utashi wao, LAKINI wangefanya utaratibu wa kuokoa maisha ya watoto, na wale ambao wangependa kuambatana na watoto kwenda maeneo salama. Wangewatunza hata kwenye kambi maalum ndani ya Israel au Jordan.