Wapalestina 106 wauawa huko Gaza baada ya shambulio la IDF

Wapalestina 106 wauawa huko Gaza baada ya shambulio la IDF

Kwa mawazo kama yako jiunge na CCM tu ndugu.

Hakuna katiba mpya na mazezeta wa aina yako.

Kumbe haya ni kwa Nini?

1. ICC bi nyau na Yoav Gallant ni booked fellony.

2. View attachment 3139292

3. View attachment 3139293

Katiba mpya itapiganiwa na walio tayari kupinga ufedhuli ikibidi kufa kama haipo namna nyingine!
Huyo mkuu hakuna jambo atakuelewa.
 
Shambulio la IDF Leo Gaza huko eneo la Beit Lahia limeua wapalestina 106 na kuacha maelfu wakijeruhiwa.
---
Raia takriban 34 wa Palestina wameuwawa kufuatia shambulio la lililolenga jengo moja la ghorofa tano walikokuwa wakijihifadhi Wapalestina wasiokuwa na makaazi,kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.

Waliouwawa kaskazini mwa Gaza leo Jumanne katika shambulio la jeshi la Israel wengi walikuwa ni wanawake na watoto kwa mujibu wa wizara ya afya ya Gaza.

Miongoni mwao ni mama na watoto wake watano na mama mwingine na wanawe sita huku wengine wakiwa ni watu wazima. Shambulio hilo limefanywa katika mji wa Beit Lahiya ulioko karibu na mpaka na Israel ambako pia watu 20 walijeruhiwa.

Jeshi la Israel,ambalo limekuwa likiendesha operesheni kubwa katika eneo hilo la Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kwa zaidi ya wiki tatu halikutowa tamko mara moja kuhusu mashambulio hayo. Israel imekuwa ikisema kwamba operesheni yake hiyo inalenga kuwasambaratisha wanamgambo wa Hamas inayosema wamejipanga upya kwenye eneo hilo.

Khofu ya Wapalestina
Wapalestina wanakhofia Israel,inatekeleza mpango maalum uliopendekezwa na kundi la majenerali wa zamani wa kijeshi waliotaka wapalestina kaskazini mwa Gaza kupewa amri ya kuondoka na misaada izuiwe kupelekwa kwenye eneo hilo na yeyote atakayekaidi kuondoka atazamwe kama mwanamgambo.
Kifaru cha jeshi la Israel katikaardhi ya  Lebanon


Hata hivyo Israel imekanusha tuhuma hizo,Ingawa siku ya Jumatatu bunge la nchi hiyo lilipitisha sheria mbili ambazo huenda zikazuia shirika la Umoja wa Mataifa linalowasaidia wakimbizi wakipalestina UNRWA- kutoendesha shughuli zake katika ardhi ya Wapalestina.

Jeshi la Israel pia mara kwa mara inaelezwa kwamba katika miezi ya hivi karibuni limekuwa likishambulia maeneo wanakojihifadhi raia walioachwa bila makaazi huku likisema mashambulio yake yamekuwa yakilenga maeneo walikojificha wanamgambo wa Hamas na kudai limekuwa likijaribu kuepuka kuwadhuru raia.

Hezbollah yapata kiongozi mpya
Mbali na mashambulio hayo ya Gaza huko Lebanon,kundi la wanamgambo la Hezbollah limetangaza kumchaguwa Sheikh Naim Kassem aliyekuwa naibu kiongozi wa kundi hilo,kuwa sasa kiongozi wake mpya anayerithi nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Hassan Nasrallah aliyeuwawa katika shambulio la Israel mwezi uliopita.

Taarifa ya Hezbollah imesema baraza lake la maamuzi linalofahamika kama Shura, limemchagua Kassem ambaye amekuwa kwa miongo akimsadia Nasrallah kama naibu wake. Kundi hilo ambalo pia linapambana na jeshi la Israel, limeapa kuendeleza sera zilizoachwa na Nasrallah hadi utakapopatikana kile ilichokiita Ushindi.

Pamoja na hayo takriban watu 60 wakiwemo watoto wameuwawa katika mashambulio ya Israel yaliyolenga eneo la Mashariki mwa Lebanon Jana Jumatatu kwa mujibu wa wizara ya afya ya Lebanon.Maeneo 12 yalishambuliwa kwenye mikoa ya Baalbek-Hermek na Bekaa, huku watu 58 wakijeruhiwa.

Jana,Jumatatu pia mazungumzo kuhusu usitishaji vita Gaza ya wajumbe wa ngazi za juu yalisitishwa baada ya kufanyika kwa siku mbili huko Doha nchini Qatar huku timu ya wajumbe wa Israel wakirejea nyumbani.

Source: DW
Uhalifu wa kivita huu
 
Kwahiyo unataka kuniaminisha kwamba wanamgambo wa hamas wapo kwenye battle field wanawasubiri Idf wapambane lakini idf wanawakwepa na kwenda kuua raia?

Hamas hawawezi kupambana na idf kwenye uwanja wa mapambano maana wakiwa hapo zitatoka ndege kama 100 na kuwanyeshea mvua nanwatapotea ndani ya dakika chache
Njia pekee ni kujichanganya kwa raia tu
Sasa haijalishi kama hao raia ni raia wa kigeni au ni UN, jamaa wakipata intel wanabomoa tu jambo ambalo UN hawakubaliani nalo
Unaropoka nini we jamaa!?
Kama Hamas inaogopa kupigana na IDF na inajificha nyuma ya raia wale wanajeshi ELFU SABINI WALIOTIWA ULEMAVU WA KUDUMU WA ISRAEL wamepatikanaje!??
Ile ilikua matokeo ya street battle baina ya IDF na Hamas.
IDF wakishashindwa ground battle wanakimbilia kulipua hovyo mabomu kwa raia.
Mfano mzuri mwezi huu ground operations baina ya IDF na hizbollah, Hizbollah walipowawashia moto IDF Kiryat shmona IDF badala ya kupambana na Hizbollah mpakani mwao wao wanatuma drone Beirut ikalipue.
Hizbollah wapo Beirut au mpakani na Israel!??
Bure kabisa akili zako wewe.
 
Nimemkumbuka Adolf Hitler.Alikuwa na nia nzuri ya kuwafuta wa Israeli maana ni wakatili sana
Anabahati yake huyo mjinga, Kipindi hiko wayahudi walikuwa hawajui ni lini watakuwa kwao Israel, walikuwa wakiishi kama digidigi

Ingelikuwa ndio sasa Hitila afanye ujinga huo, JEWS wangekula kichwa kama walivyofanya kwa kina Nasra
 
Kuna yaliyo brain washed yakidhani eti Kuna wakristo na wayahudi Kwa upande mmoja.

imhotep, bure kabisa!
al-qaeda-osama-bin-laden-gettyimages-681898-promo.jpg

Washabiki wa Magaidi mtaendelea kuteseka hawa Marehemu wawili walikuwa wanasema wataua "Makafiri" wote Duniani kafiri kwa mujibu wa Mafundisho ya Kiislamu ni Mtu asiyemuamini Allah.
 
Unaropoka nini we jamaa!?
Kama Hamas inaogopa kupigana na IDF na inajificha nyuma ya raia wale wanajeshi ELFU SABINI WALIOTIWA ULEMAVU WA KUDUMU WA ISRAEL wamepatikanaje!??
Ile ilikua matokeo ya street battle baina ya IDF na Hamas.
IDF wakishashindwa ground battle wanakimbilia kulipua hovyo mabomu kwa raia.
Mfano mzuri mwezi huu ground operations baina ya IDF na hizbollah, Hizbollah walipowawashia moto IDF Kiryat shmona IDF badala ya kupambana na Hizbollah mpakani mwao wao wanatuma drone Beirut ikalipue.
Hizbollah wapo Beirut au mpakani na Israel!??
Bure kabisa akili zako wewe.
Mkuu sisi tunajadili tu haina haja kutoleana povu utadhani tunaugonvi😂
 
SIKU ISRAEL AKISEMA DARISALAMU NI ARDHI YAO KONGWE WAMERITHI KUTOKA KWA MABABU ZAO ENZI NA ENZI, TUWAPE TU MAANA NASISI TUTAKUA MAGAIDI
Acha upotoshaji. Israel haijawahi kuanzisha vita, mara zote imekua inajilinda baada ya kushambuliwa na magaidi ya kiarabu
 
Kuuwa watoto, wanawake, wagonjwa, wAzee au raia wasio na hatia Kwa sababu yoyote haikubaliki.

Ndiyo maana wahusika wote bila exception wajue ICC na hata Kwa Mungu wana kesi ya ugaidi ya kujibu.
Inahuzunisha sana aisee
 
View attachment 3139314
Washabiki wa Magaidi mtaendelea kuteseka hawa Marehemu wawili walikuwa wanasema wataua "Makafiri" wote Duniani kafiri kwa mujibu wa Mafundisho ya Kiislamu ni Mtu asiyemuamini Allah.

Kutokujua anachopigania Palestina kinahusiana na utafutaji katiba mpya, ni laana!
 
Ni kawaida mipuuzi kushangilia hata watoto wadogo na wasio na hatia wanapouliwa na mituhumiwa sugu ya ugaidi inayosakwa kwa udi na uvumba ICC huko.
Hii dunia hakuna atayepona....huku kwetu ni muda tu hujafika.
Mwenzako akinyolewa zako tia maji
 
Hii dunia hakuna atayepona....huku kwetu ni muda tu hujafika.
Mwenzako akinyolewa zako tia maji

Huku kwetu hakuhusiki na vita hiyo.

Hata hivyo Kuna kushabihiana.

Palestina anadai haki ya ardhi yake:

IMG_20240508_164459.jpg


Kwa hilo yuko tayari kufa kuliko kuendelea kuishi utumwani.

Sisi kama wao, tunadai katiba mpya.

Bila shaka kina imhotep, Economist, binti kiziwi na wenzao wako tayari kuishi utumwani kuchelea maguvu ya watesi wetu.

Uzuri wanajua, si Simba au wa namna hiyo!
 
Acha upotoshaji. Israel haijawahi kuanzisha vita, mara zote imekua inajilinda baada ya kushambuliwa na magaidi ya kiarabu

Wote hawa:

1.
IMG_20240508_164459.jpg


2.
IMG_20241009_121602.jpg


3.
IMG_20241029_074306.jpg


4. Al Jazeera banned in Israel.

5. Nk.

Wajinga ila wewe Chole Samvula pale?
 
Hao mbona wachache, ilitakiwa wafe wote hapo Gaza ili Israel ianzeshe makazi mapya kwa wayahudi
Atakama wanafanya wanayofanya na matamanio yao ni hayo ya kutoa raia wote pale Ghaza lakini ukweli hawatakani watambulike kama wamefanya Genocide! Hiki uunachoongea wewe ni Genocide na wakifanya hivo mataifa mengi yatawatenga.
 
Kutokujua anachopigania Palestina kinahusiana na utafutaji katiba mpya, ni laana!
Hakuna Mpalestina sema Mwarabu unajua katika Lugha ya Kiarabu hakuna herufi "P" kuna "B" inamaana wangejiita Balestinian.

Kwenye Quruani imetajwa Israel mara nyingi sana lakini hakuna hata sehemu moja ilyotaja Balestina.
 
Back
Top Bottom