Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
SIKU ISRAEL AKISEMA DARISALAMU NI ARDHI YAO KONGWE WAMERITHI KUTOKA KWA MABABU ZAO ENZI NA ENZI, TUWAPE TU MAANA NASISI TUTAKUA MAGAIDI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikuambie tu ni mazombi hao wamewaweka watoto wao kafara tayari brain washed hao.Na hapo inawezekana walikuwepo magaidi 10 tu wa Hamas waliokuwa wamejificha katikati ya kundi la raia karibia 100. Duniani ingewasaidia wale wanaolazimishwa kuwa shield ya wapiganaji kwa nguvu. Kwa sasa kubakia mmewazunguka magaidi wapiganaji ni siyo suala la hiari, au
wapiganaji wa Hamas wakaja ndani ya nyumba yako, na wewe raia utalazimishwa kukaa nao. Ukitaka kuondoka tu, magaidi wa Hamas wanakuua hapo hapo kwa sababu wanahisi unatengeneza mazingira ya wao kupigwa kiurahisi. Kwa hiyo kuna wengine ni lazima watakuwa wanalazimishwa kufa pamoja na magaidi wa Hamas, hata kama haikuwa hiari yao.
Kama watu wazima wamehiari kufa pamoja na magaidi, huo ni utashi wao, LAKINI wangefanya utaratibu wa kuokoa maisha ya watoto, na wale ambao wangependa kuambatana na watoto kwenda maeneo salama. Wangewatunza hata kwenye kambi maalum ndani ya Israel au Jordan.
View attachment 3139262
Hamas hawawajali Wananchi wao wameapa kuwamaliza Wayahudi na Wakristo na kuwasaka popote pale walipo.
Unajua magaid hua wana akili mbovu sana wamekua brain washed na mafundisho ya kipumbav wanayofundishwa na viongoz wao wa kipumbav, wao wanayaita ya uislamu na tunajua hakuna mafundisho ya kiislamu yanahubir kua uwe gaidi na uvamie nchi nyingine uue watu, ubake wanawake , na kuteka nyara watu...sasa wamewaambukiza wananchi akili zao mbovu ndio mana wanawasapot wanawaficha kwenye nyumba zao, kwenye mahospitali, sasa mabomu yakipigwa yanaua wanaanza kulia lia kwenye kamera wakisema allah akbar..allah akusaidie nini na ujinga wakoAisee unaropoka kama umelishwa usembe.
Hii inajulisha kuwa HUNA UNACHOJUA KUHUSU MGOGORO WA MASHARIKI YA KATI.
*Vita ya Gaza na Israel sio ya kidini bali ni ya kugombea ardhi.
Katika vita zote zilizopiganwa baina ya mwarabu na myahudi ni Myahudi ndiye aliyeanzisha tangia 1917 ambapo wayahudi walikua wakilazimisha kuunda taifa middle east na UK kuwakatalia.
Jiulize kwanini UK aliwakatalia wayahudi kuunda taifa lao Jerusalem mwaka 1917!?
Hizi vita utambue kuwa hadi wakristo wenzako wanauawa huko mashariki ya kati,makanisa yamebomolewa huko mashariki ya kati.
Hata shambulio la Oktoba 7 chanzo ni ukorofi wa Israel kujaribu kupanua makazi Jenin refugee camp na kuvamia mashamba ya mabedui Khani Younis mnamo Agosti 23 2023.
Hamas kuona huo uchochezi ndio wakavamia Oktoba 7.
Pia hakuna ushahidi wa Hamas kuficha silaha katika makazi ya raia.
Hili lilichunguzwa na likaonekana ni uongo.
Matokeo yake mataifa kama Spain,Belgium,Colombia,Cuba,Brazil yalivunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel baada ya kuona ukweli kuwa Israel ndio anayechochea machafuko.
Hiyo Lebanon unayoisemea ilianza kuharibiwa na chokochoko za USA na Israel tangia 1970s.
Mara tu baada ya Syria kuundiwa zengwe la Damascus crisis.
Umtoto mdogo wewe nini unajua!?
SIKU ISRAEL AKISEMA DARISALAMU NI ARDHI YAO KONGWE WAMERITHI KUTOKA KWA MABABU ZAO ENZI NA ENZI, TUWAPE TU MAANA NASISI TUTAKUA MAGAIDI
Unajua magaid hua wana akili mbovu sana wamekua brain washed na mafundisho ya kipumbav wanayofundishwa na viongoz wao wa kipumbav, wao wanayaita ya uislamu na tunajua hakuna mafundisho ya kiislamu yanahubir kua uwe gaidi na uvamie nchi nyingine uue watu, ubake wanawake , na kuteka nyara watu...sasa wamewaambukiza wananchi akili zao mbovu ndio mana wanawasapot wanawaficha kwenye nyumba zao, kwenye mahospitali, sasa mabomu yakipigwa yanaua wanaanza kulia lia kwenye kamera wakisema allah akbar..allah akusaidie nini na ujinga wako
Na kwa akili Yako unadhani netanyahu atapelekwa ICC?Kwani ICC haiwajibishi magaidi yenye kuhusika na mauaji ya kimbari?
Au bi Nyau na yule mwenziwe hawana shauri linawasubiri Den Haag?
Unajua magaid hua wana akili mbovu sana wamekua brain washed na mafundisho ya kipumbav wanayofundishwa na viongoz wao wa kipumbav, wao wanayaita ya uislamu na tunajua hakuna mafundisho ya kiislamu yanahubir kua uwe gaidi na uvamie nchi nyingine uue watu, ubake wanawake , na kuteka nyara watu...sasa wamewaambukiza wananchi akili zao mbovu ndio mana wanawasapot wanawaficha kwenye nyumba zao, kwenye mahospitali, sasa mabomu yakipigwa yanaua wanaanza kulia lia kwenye kamera wakisema allah akbar..allah akusaidie nini na ujinga wakoKwanini uliyekuwa brain washed usiwe wewe?
Hudhani hiyo mbungi inaweza kuwa kama ya manyani na makalio yao?
Hapana Braza jeny shida ni kwamba wanamgambo wanajificha kwa raia ndio maaana IDF wanawapeleekea moto popote walipo hata kama kuna watoto waliozaliwa leo.Haya ndiyo yale mashambulizi ya kijinga dhidi ya raia, wanawake na watoto.
Hivi hii vita wanamgambo wa HAMAS huwa hawafagi Kwenye haya mashambulio 😳
Haya ndio matokeo ya wanamgambo kutumia raia kama ngao yao
IDF imekula vichwa vyote vya uongozi wa Hamas na Hezbollah kwa usahihi kabisa walipo na wakaua na raia wengine kibao walipokua wamejificha kwao
Ukiona IDF imetwanga sehemu ujue wanamgambo wa Hamas wapo hapo wamejichanganya na raia..... bahati mbaya technology ya bomu kuchagua mgambo na raia bado haipo kwahiyo itakwanyua wooote
Ukristo wala uyahudi hauko na vitani.
Magaidi walioko vitani wanashauri tofauti na Boni yai, ICC Den Haag huko!
Hapana Braza jeny shida ni kwamba wanamgambo wanajificha kwa raia ndio maaana IDF wanawapeleekea moto popote walipo hata kama kuna watoto waliozaliwa leo.
Daah 😥Haya ndiyo yale mashambulizi ya kijinga dhidi ya raia, wanawake na watoto.
We nani kakwambia vita ya mashariki ya kati ni ya kidini!??Unajua magaid hua wana akili mbovu sana wamekua brain washed na mafundisho ya kipumbav wanayofundishwa na viongoz wao wa kipumbav, wao wanayaita ya uislamu na tunajua hakuna mafundisho ya kiislamu yanahubir kua uwe gaidi na uvamie nchi nyingine uue watu, ubake wanawake , na kuteka nyara watu...sasa wamewaambukiza wananchi akili zao mbovu ndio mana wanawasapot wanawaficha kwenye nyumba zao, kwenye mahospitali, sasa mabomu yakipigwa yanaua wanaanza kulia lia kwenye kamera wakisema allah akbar..allah akusaidie nini na ujinga wako
Daah 😥
Kwahiyo unataka kuniaminisha kwamba wanamgambo wa hamas wapo kwenye battle field wanawasubiri Idf wapambane lakini idf wanawakwepa na kwenda kuua raia?Kwenye hiyo vita wamekufa watoto, wanawake, au hata raia wa nchi za kigeni wangapi?
Kwenye hii vita waangalizi wa kimataifa wametofautiana na unayodai wewe na hapa chini ni matokeo yake:
View attachment 3139284
View attachment 3139287
Tukuamini wewe au UN ambao wanatofautiana na mawazo tokea Chole Samvula?
Kwa mawazo kama yako jiunge na CCM tu ndugu.
We nani kakwambia vita ya mashariki ya kati ni ya kidini!??
Doooh pole weee kijana!!
Ingekua vita ya kidini mataifa yasingekua upande wa Gaza bali upande wa Israel.
Hata vikao vya UN general assembly huwa unavifuatilia kijana!?