Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hao wauaji na wewe mtaishi milele hongereni sanaOna sasa wanakufa watoto akina mama na akina baba kisa tu magaidi wanajificha chini ya miili yao na wanafikir israel ikipiga bomu inaangalia alie karibu na gaidi ni mtoto mchanga ama mama mwemye mimba, wao wanapiga tu, bomu likifika linaua wote..sasa wao wamekaa kimya tu kama mazombi acha waendelee kufa kwa pamoja na hamas kwa ajil ya hamas wote watakutana huko kwa mabikra 72.
Wapalestina wamekutuma uwasemee kwamba mashambulizi yamewalenga wanawake na watoto?
Unapendelea ubishane hadi saa ngapi?Hakuna nilipowasemea.
Wewe unapowasemea wamekutuma?
Unajua magaid hua wana akili mbovu sana wamekua brain washed na mafundisho ya kipumbav wanayofundishwa na viongoz wao wa kipumbav, wao wanayaita ya uislamu na tunajua hakuna mafundisho ya kiislamu yanahubir kua uwe gaidi na uvamie nchi nyingine uue watu, ubake wanawake , na kuteka nyara watu...sasa wamewaambukiza wananchi akili zao mbovu ndio mana wanawasapot wanawaficha kwenye nyumba zao, kwenye mahospitali, sasa mabomu yakipigwa yanaua wanaanza kulia lia kwenye kamera wakisema allah akbar..allah akusaidie nini na ujinga wakoKuna Imani za kijinga mno. Eti Acha nife kishujaa nikalale na mabikra 72 ahera! Haya mawaidha yatawamaliza wapalestina wengi. Kwani HAMAS ikiamua kuachia wale mateka wote 101,hii vita sitaisha.?
Ona sasa wanakufa watoto akina mama na akina baba kisa tu magaidi wanajificha chini ya miili yao na wanafikir israel ikipiga bomu inaangalia alie karibu na gaidi ni mtoto mchanga ama mama mwemye mimba, wao wanapiga tu, bomu likifika linaua wote..sasa wao wamekaa kimya tu kama mazombi acha waendelee kufa kwa pamoja na hamas kwa ajil ya hamas wote watakutana huko kwa mabikra 72.
Una changamoto si bure.Huwa unaandika vitu kama nati zimelegea.Kwani anayewauwa watoto au wowote wasio na hatia huyo si ni gaidi?
Gaidi naye si anayo adhabu yake?
Au hujui Bi Nyau, Yoav Gallant ni wanted ICC kama Joseph Kony tu?
Hao mbona wachache, ilitakiwa wafe wote hapo Gaza ili Israel ianzeshe makazi mapya kwa wayahudi
Unapendelea ubishane hadi saa ngapi?
Unapendelea uamini nini kwa kadiri ya akili yako inavyotafsiri miandiko?Kwa hiyo tumekubaliana:
Mimi sijawasemea wapalestina ila wewe.
Kwamba hawaja kutuma ila kuwashwa washwa!
Imeenda hiyo!
Una changamoto si bure.Huwa unaandika vitu kama nati zimelegea.
Unapendelea uamini nini kwa kadiri ya akili yako inavyotafsiri miandiko?
Nani atakayemfunga paka kengele kwa uelewa wako?Vibaka ni lazima washikishwe adabu.Mwenye nati zilizolegea ni wewe usiyemjua Joseph Kony, Wala shauri lake lenye kufanana na hao kina bi nyau kwenye mahakama ile Ile Den Haag huko!
Nani atakayemfunga paka kengele kwa uelewa wako?Vibaka ni lazima washikishwe adabu.
Hilo shauri wangelifungulia kwao.Unafungua shauri sebuleni kwa unayemtuhumu?Akili za kenge hizo.Vibaka wana shauri shingoni ICC huko
Unajua magaid hua wana akili mbovu sana wamekua brain washed na mafundisho ya kipumbav wanayofundishwa na viongoz wao wa kipumbav, wao wanayaita ya uislamu na tunajua hakuna mafundisho ya kiislamu yanahubir kua uwe gaidi na uvamie nchi nyingine uue watu, ubake wanawake , na kuteka nyara watu...sasa wamewaambukiza wananchi akili zao mbovu ndio mana wanawasapot wanawaficha kwenye nyumba zao, kwenye mahospitali, sasa mabomu yakipigwa yanaua wanaanza kulia lia kwenye kamera wakisema allah akbar..allah akusaidie nini na ujinga wako
Na hapo inawezekana walikuwepo magaidi 10 tu wa Hamas waliokuwa wamejificha katikati ya kundi la raia karibia 100. Duniani ingewasaidia wale wanaolazimishwa kuwa shield ya wapiganaji kwa nguvu. Kwa sasa kubakia mmewazunguka magaidi wapiganaji ni siyo suala la hiari, au
wapiganaji wa Hamas wakaja ndani ya nyumba yako, na wewe raia utalazimishwa kukaa nao. Ukitaka kuondoka tu, magaidi wa Hamas wanakuua hapo hapo kwa sababu wanahisi unatengeneza mazingira ya wao kupigwa kiurahisi. Kwa hiyo kuna wengine ni lazima watakuwa wanalazimishwa kufa pamoja na magaidi wa Hamas, hata kama haikuwa hiari yao.
Kama watu wazima wamehiari kufa pamoja na magaidi, huo ni utashi wao, LAKINI wangefanya utaratibu wa kuokoa maisha ya watoto, na wale ambao wangependa kuambatana na watoto kwenda maeneo salama. Wangewatunza hata kwenye kambi maalum ndani ya Israel au Jordan.
Aisee unaropoka kama umelishwa usembe.Unajua magaid hua wana akili mbovu sana wamekua brain washed na mafundisho ya kipumbav wanayofundishwa na viongoz wao wa kipumbav, wao wanayaita ya uislamu na tunajua hakuna mafundisho ya kiislamu yanahubir kua uwe gaidi na uvamie nchi nyingine uue watu, ubake wanawake , na kuteka nyara watu...sasa wamewaambukiza wananchi akili zao mbovu ndio mana wanawasapot wanawaficha kwenye nyumba zao, kwenye mahospitali, sasa mabomu yakipigwa yanaua wanaanza kulia lia kwenye kamera wakisema allah akbar..allah akusaidie nini na ujinga wako
Hivi hii vita wanamgambo wa HAMAS huwa hawafagi Kwenye haya mashambulio 😳Vita ni dhidi ya wanajeshi siyo raia, wAzee, wagonjwa, wanawake au watoto.
Hata kwenye vita kuna sheria!