Hakuna Mpalestina sema Mwarabu unajua katika Lugha ya Kiarabu hakuna herufi "P" kuna "B" inamaana wangejiita Balestinian.
Kwenye Quruani imetajwa Israel mara nyingi sana lakini hakuna hata sehemu moja ilyotaja Balestina.
Katiba mpya endeleni kusubiria nusu mkate mezani, kwenye kuidai hatuwahitaji!
View attachment 3139407
Magaidi ya Hamas kitengo cha Islamic Brotherhood wakionyesha Aya kwenye Quruani inayosema Wayahudi na Wakristo wauwawe.
Una opinion yako nina opinion yangu hakuna kufosiana usifosi tufananane mawazo.
Inahitaji roho mbaya sana kuunga mkono haya yanayofanywa na hawa jamaa wa Israel.Shambulio la IDF Leo Gaza huko eneo la Beit Lahia limeua wapalestina 106 na kuacha maelfu wakijeruhiwa.
---
Raia takriban 34 wa Palestina wameuwawa kufuatia shambulio la lililolenga jengo moja la ghorofa tano walikokuwa wakijihifadhi Wapalestina wasiokuwa na makaazi,kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.
Waliouwawa kaskazini mwa Gaza leo Jumanne katika shambulio la jeshi la Israel wengi walikuwa ni wanawake na watoto kwa mujibu wa wizara ya afya ya Gaza.
Miongoni mwao ni mama na watoto wake watano na mama mwingine na wanawe sita huku wengine wakiwa ni watu wazima. Shambulio hilo limefanywa katika mji wa Beit Lahiya ulioko karibu na mpaka na Israel ambako pia watu 20 walijeruhiwa.
Soma Pia: Hamas yadai yawauwa kamanda wa IDF huko Gaza kwe uwanja wa mapambano
Jeshi la Israel,ambalo limekuwa likiendesha operesheni kubwa katika eneo hilo la Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kwa zaidi ya wiki tatu halikutowa tamko mara moja kuhusu mashambulio hayo. Israel imekuwa ikisema kwamba operesheni yake hiyo inalenga kuwasambaratisha wanamgambo wa Hamas inayosema wamejipanga upya kwenye eneo hilo.
Khofu ya Wapalestina
Wapalestina wanakhofia Israel,inatekeleza mpango maalum uliopendekezwa na kundi la majenerali wa zamani wa kijeshi waliotaka wapalestina kaskazini mwa Gaza kupewa amri ya kuondoka na misaada izuiwe kupelekwa kwenye eneo hilo na yeyote atakayekaidi kuondoka atazamwe kama mwanamgambo.
Hata hivyo Israel imekanusha tuhuma hizo,Ingawa siku ya Jumatatu bunge la nchi hiyo lilipitisha sheria mbili ambazo huenda zikazuia shirika la Umoja wa Mataifa linalowasaidia wakimbizi wakipalestina UNRWA- kutoendesha shughuli zake katika ardhi ya Wapalestina.
Jeshi la Israel pia mara kwa mara inaelezwa kwamba katika miezi ya hivi karibuni limekuwa likishambulia maeneo wanakojihifadhi raia walioachwa bila makaazi huku likisema mashambulio yake yamekuwa yakilenga maeneo walikojificha wanamgambo wa Hamas na kudai limekuwa likijaribu kuepuka kuwadhuru raia.
Hezbollah yapata kiongozi mpya
Mbali na mashambulio hayo ya Gaza huko Lebanon,kundi la wanamgambo la Hezbollah limetangaza kumchaguwa Sheikh Naim Kassem aliyekuwa naibu kiongozi wa kundi hilo,kuwa sasa kiongozi wake mpya anayerithi nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Hassan Nasrallah aliyeuwawa katika shambulio la Israel mwezi uliopita.
Taarifa ya Hezbollah imesema baraza lake la maamuzi linalofahamika kama Shura, limemchagua Kassem ambaye amekuwa kwa miongo akimsadia Nasrallah kama naibu wake. Kundi hilo ambalo pia linapambana na jeshi la Israel, limeapa kuendeleza sera zilizoachwa na Nasrallah hadi utakapopatikana kile ilichokiita Ushindi.
Pamoja na hayo takriban watu 60 wakiwemo watoto wameuwawa katika mashambulio ya Israel yaliyolenga eneo la Mashariki mwa Lebanon Jana Jumatatu kwa mujibu wa wizara ya afya ya Lebanon.Maeneo 12 yalishambuliwa kwenye mikoa ya Baalbek-Hermek na Bekaa, huku watu 58 wakijeruhiwa.
Jana,Jumatatu pia mazungumzo kuhusu usitishaji vita Gaza ya wajumbe wa ngazi za juu yalisitishwa baada ya kufanyika kwa siku mbili huko Doha nchini Qatar huku timu ya wajumbe wa Israel wakirejea nyumbani.
Source: DW
Una opinion yako nina opinion yangu hakuna kufosiana usifosi tufananane mawazo.
View attachment 3139421
Wanawake na watoto, swali Wanaume watu wazima wameenda wapi?Haya ndiyo yale mashambulizi ya kijinga dhidi ya raia, wanawake na watoto.
Wakati wa Mauaji ya Watutsi wa Rwanda UN ilikuwa na Majeshi yake pale Rwanda walishindwa hata kuzuia Mauaji ya Kimbari pale.Kuelezwa ukweli huo hakuna maana ya kulazimishwa na eti kuwa uachwe tu kuendelea kudhani:
Wakati wa Mauaji ya Watutsi wa Rwanda UN ilikuwa na Majeshi yake pale Rwanda walishindwa hata kuzuia Mauaji ya Kimbari pale.
Usijifanye kuijua UN sana wakati Historia inajieleza.
Basi wamuachie Israel amalize kazi yake awatie adabu Maadui zake wanaitaka kumfuta katika Ardhi.UN wana Kazi ya kuzuia ndugu wawili walioamua Kwa ridhaa zao kuzichapa?
Mbona Tanzania au nchi nyingine haikwenda kuwazuia kuzichapa?
Basi wamuachie Israel amalize kazi yake awatie adabu Maadui zake wanaitaka kumfuta katika Ardhi.
Kama alivyoachiwa Kagame katika kuwanyoosha Interahamwe.😁
Wanawake na watoto, swali Wanaume watu wazima wameenda wapi?
Hao wote ni wanafiki wanaongozwa na chuki dhidi ya wayahudi. Unrwa imekua banned baada ya tuhuma za baadhi ya wafanyakazi kuwa na mafungamano na magaidi, aljazeera imefungiwa kutokana na kuendeleza propaganda za uwongoWote hawa:
1. View attachment 3139383
2. View attachment 3139385
3. View attachment 3139387
4. Al Jazeera banned in Israel.
5. Nk.
Wajinga ila wewe Chole Samvula pale?
Sema magaidi 106 wameuwawaShambulio la IDF Leo Gaza huko eneo la Beit Lahia limeua wapalestina 106 na kuacha maelfu wakijeruhiwa.
---
Raia takriban 34 wa Palestina wameuwawa kufuatia shambulio la lililolenga jengo moja la ghorofa tano walikokuwa wakijihifadhi Wapalestina wasiokuwa na makaazi,kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.
Waliouwawa kaskazini mwa Gaza leo Jumanne katika shambulio la jeshi la Israel wengi walikuwa ni wanawake na watoto kwa mujibu wa wizara ya afya ya Gaza.
Miongoni mwao ni mama na watoto wake watano na mama mwingine na wanawe sita huku wengine wakiwa ni watu wazima. Shambulio hilo limefanywa katika mji wa Beit Lahiya ulioko karibu na mpaka na Israel ambako pia watu 20 walijeruhiwa.
Soma Pia: Hamas yadai yawauwa kamanda wa IDF huko Gaza kwe uwanja wa mapambano
Jeshi la Israel,ambalo limekuwa likiendesha operesheni kubwa katika eneo hilo la Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kwa zaidi ya wiki tatu halikutowa tamko mara moja kuhusu mashambulio hayo. Israel imekuwa ikisema kwamba operesheni yake hiyo inalenga kuwasambaratisha wanamgambo wa Hamas inayosema wamejipanga upya kwenye eneo hilo.
Khofu ya Wapalestina
Wapalestina wanakhofia Israel,inatekeleza mpango maalum uliopendekezwa na kundi la majenerali wa zamani wa kijeshi waliotaka wapalestina kaskazini mwa Gaza kupewa amri ya kuondoka na misaada izuiwe kupelekwa kwenye eneo hilo na yeyote atakayekaidi kuondoka atazamwe kama mwanamgambo.
Hata hivyo Israel imekanusha tuhuma hizo,Ingawa siku ya Jumatatu bunge la nchi hiyo lilipitisha sheria mbili ambazo huenda zikazuia shirika la Umoja wa Mataifa linalowasaidia wakimbizi wakipalestina UNRWA- kutoendesha shughuli zake katika ardhi ya Wapalestina.
Jeshi la Israel pia mara kwa mara inaelezwa kwamba katika miezi ya hivi karibuni limekuwa likishambulia maeneo wanakojihifadhi raia walioachwa bila makaazi huku likisema mashambulio yake yamekuwa yakilenga maeneo walikojificha wanamgambo wa Hamas na kudai limekuwa likijaribu kuepuka kuwadhuru raia.
Hezbollah yapata kiongozi mpya
Mbali na mashambulio hayo ya Gaza huko Lebanon,kundi la wanamgambo la Hezbollah limetangaza kumchaguwa Sheikh Naim Kassem aliyekuwa naibu kiongozi wa kundi hilo,kuwa sasa kiongozi wake mpya anayerithi nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Hassan Nasrallah aliyeuwawa katika shambulio la Israel mwezi uliopita.
Taarifa ya Hezbollah imesema baraza lake la maamuzi linalofahamika kama Shura, limemchagua Kassem ambaye amekuwa kwa miongo akimsadia Nasrallah kama naibu wake. Kundi hilo ambalo pia linapambana na jeshi la Israel, limeapa kuendeleza sera zilizoachwa na Nasrallah hadi utakapopatikana kile ilichokiita Ushindi.
Pamoja na hayo takriban watu 60 wakiwemo watoto wameuwawa katika mashambulio ya Israel yaliyolenga eneo la Mashariki mwa Lebanon Jana Jumatatu kwa mujibu wa wizara ya afya ya Lebanon.Maeneo 12 yalishambuliwa kwenye mikoa ya Baalbek-Hermek na Bekaa, huku watu 58 wakijeruhiwa.
Jana,Jumatatu pia mazungumzo kuhusu usitishaji vita Gaza ya wajumbe wa ngazi za juu yalisitishwa baada ya kufanyika kwa siku mbili huko Doha nchini Qatar huku timu ya wajumbe wa Israel wakirejea nyumbani.
Source: DW
Hao wote ni wanafiki wanaongozwa na chuki dhidi ya wayahudi. Unrwa imekua banned baada ya tuhuma za baadhi ya wafanyakazi kuwa na mafungamano na magaidi, aljazeera imefungiwa kutokana na kuendeleza propaganda za uwongo