Wapalestina Gaza wagaragazwa wenzao wanaangalia tu. Huu ni unyama

Kwamba wewe ndio tukuamini? Mchapwe tu hadi mpate adabu.
 
Malizia kuwa Hittler alishawishiwa pia na viongozi wa nchi za kiarabu kuwachoma Wayahudi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Usimtoe mwarabu kwenye biashara ya utumwa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Dini isikufanye kutetea uovu ukiamua jambo amua Kwa haki,nyie wavaa kobazi mnajiona kama hii Dunia inatakiwa iwe ya kwenu peke yenu ,mkiua wengine hamuwezi kuona kama na wao Wana damu
 
Malizia kuwa Hittler alishawishiwa pia na viongozi wa nchi za kiarabu kuwachoma Wayahudi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Historia yako imetoka wapi ? Nakupa muda kidogo ka-brush your historical prowess alafu rudi tuendeleze mjadala....




Kwa kukupa dondoo tu ni kwamba Hitler alitumia antisemitism ambazo zilikuwepo kabla, watu walikuwa wanawaona Waisrael kama untrustworthy na cunning pia haikusaidia kipindi fulani kule Europe wao ndio walikuwa Bankers watoa mikopo (as dini yao ilikuwa inaruhusu kuchaji riba wakati nyingine ilionekana ni kosa) hence hata ile story ya Shylock kwenye Merchant of Venice alikuwa a Jew....
 
Dada wa kipalestina akiwa ameroa damu za maiti akiwabembeleza watoto wake na wa jirani walionusurika kifo
 

1. Kwa nini kuweka uislamu kwenye mambo ya haki dhidi ya udhwalimu?

2. Palestina na Gaza waislam, wakristo na dini zingine wapo na wanaumia vile vile.

3. Israel waislam, wakristo na dini zingine wapo na madhwalimu vile vile kwa wanayoyafanya.

4. Kuyafumbia macho madhila ya wapalestina ni kuukumbatia udhwalimu.

5. Udhwalimu au haki havina dini!

MK254, FaizaFoxy, lini tutastaarabika?
 

Anza kwa kutazama video za unyama uliofanywa na hao mabingwa wenu akina HAMAS, walivyokua wanapiga risasi watoto wa Wayahudi, walivyopiga risasi **** na nyeti za wanawake, mnapaswa mjue Myahudi ni katili, ukimfanyia ukatili subiri atakujibu, na akijibu usianze hizi insha za kuandika andika eti ustaarabu.
 

Ukatili wa HAMAS utaujua wewe kuliko waliokuwa mateka?

Waliokuwa mateka Gaza wamuumbua Netanyahu
 
Hivi kuna mtu kadukua akaunti ya mleta mada, maana siku zote yeye ndiye hutuletea taarifa namna Israel inapokea kipigo....
 
Kwahiyo unataka kusema mauaji waliyouafanya Hamas siyo kitendo Cha kikatili? Na inakubalika?

Mkuu mimi nimewanukuu waliokuwa mateka na pia ndugu zao. Wao ndiyo pilipili wamezila:



Kwani nawewe kuna mbili tatu ulizokula?
 
Ukiondoa hisia za kinyama na mtu akabaki na ubindadamu wake basi kwa kuangalia historia hakuna sababu ya kuilaumu Hamas kwa kushambulia na wala haipasi kuwalaumu kwa kutokuwa tayari kusalimu amri.

Hapa ndipo ujinga wenu unapojidhihirisha. Yaani ninyi muue adui zenu msilaumiwe ila mkiuliwa ninyi ndo adui alaumiwe na kuchukuliwa hatua. Akili zenu huwa hazieleweki kabisa. Yaani mnajikuta malast born sanaaa!

Binafsi hivi vilio vyako huwa naona ni uharo tu hadi siku nitakapoona ukiwasema hamas. Na naamini dunia itaanza kuwasikiliza na kuwaelewa siku mkiweza kuwakana hao magaidi mnaowafuga katika mataifa yenu. Ninyi mnawakumbatia walete tabu ulimwenguni halafu walimwengu wakichukua hatua mnaanza kulia ovyo

Halafu hueleweki. Kesho ukisikia kombora limeua wanajeshi kumi wa IDF utakuja hapa mbio kuchelea Israel anachezea kichapo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…