Ila Saudi Arabia angalau anarudi rudi nyuma sasa hivi,hayuko front kama kipindi cha nyuma,mnafiki mkubwa ni Elsisi na Abdullah.Jordan, Saudi Arabia na Egypt ndizo zinawapa nguvu mazayuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Saudi Arabia angalau anarudi rudi nyuma sasa hivi,hayuko front kama kipindi cha nyuma,mnafiki mkubwa ni Elsisi na Abdullah.Jordan, Saudi Arabia na Egypt ndizo zinawapa nguvu mazayuni.
Huyo malme wa Jordan ni mzayuni kama ilivyo watawala wa Saudi arabia, kafikia mwisho wa utawala wake.Saudia na Misri kutawaka moto baadae.Lakini Jordan akijichanganya kidogo inaondoka moja kwa moja.
Saudi Arabia hana cha kurudi nyuma, ni wanafiki tu hao, ni mazayuni hao watawala wa Saudi Arabia.Ila Saudi Arabia angalau anarudi rudi nyuma sasa hivi,hayuko front kama kipindi cha nyuma,mnafiki mkubwa ni Elsisi na Abdullah.
Israel na washirika wake waliona mbali kuhusu umuhimu wa Misri na Jordan katika kujilinda dhidi ya hasira za karne za wapalestina.Ndio maana wakatumia hadaa kuwafanya Anwar Saadat na mfalme Hussein kusaini mikataba yao ya dhulma.Ila Saudi Arabia angalau anarudi rudi nyuma sasa hivi,hayuko front kama kipindi cha nyuma,mnafiki mkubwa ni Elsisi na Abdullah.
Kama ni kurudi nyuma si kwa kuunga mkono haki yoyote ile,itakuwa ni kutokana na Mwenyezi Mungu kumtilia uzito kwenye mipango yake ya kikafiri ya kuifanya Saudia kama pepo ya dunia huku akijipendekeza kwa maadui wa amani ya dunia.Saudi Arabia hana cha kurudi nyuma, ni wanafiki tu hao, ni mazayuni hao watawala wa Saudi Arabia.
Nimeona hilo kwa mtazamo wangu kwa sababu kuna baadhi ya matukio Saudi arabia imejiweka pembeni,mathalan kukataa kutumika naval base yake kwaajili ya kuishambulia Houthi na USA pale red sea,pia angalau alijitahidi kuikana Israel kipindi cha machafuko ya Gaza na Israel.Saudi Arabia hana cha kurudi nyuma, ni wanafiki tu hao, ni mazayuni hao watawala wa Saudi Arabia.
Utawala wa Saudi Arabia ni mazayuni, soma historia yao.Kama ni kurudi nyuma si kwa kuunga mkono haki yoyote ile,itakuwa ni kutokana na Mwenyezi Mungu kumtilia uzito kwenye mipango yake ya kikafiri ya kuifanya Saudia kama pepo ya dunia huku akijipendekeza kwa maadui wa amani ya dunia.
Mwanaume timamu harushi ngumi kama anaogelea,lazima awe na miakati.simpendi mzayuni ila najiskia vibaya sana kwa kinachofuata kwa muajemi.Hamna lolote.Iran kapiga na wote wamenywea wanajitafakari.
Mwanamme ukionewa lazima urushe ngumi.Ukikaa kimya unakuwa kama mwanamke.
Iran ni muajemi muhindi ni pakistan.Kumbuka Iran sio mwarabu ni..muhindi
kwa bahati mbaya, mashambulizi yote yamedakwa 99% hayajadondoka, hakuna madhara israel. hii ni habari mbaya mno kwao.
Mwanaume timamu harushi ngumi kama anaogelea,lazima awe na miakati.simpendi mzayuni ila najiskia vibaya sana kwa kinachofuata kwa muajemi.
Mambo ya free iran Allah akbar, ni ucenge.
2001 tuliyasema haya kwa iraq,ila imebaki historia mpaka leo.
Hatuwezi jua wana mikataba gani,ila kwa hali ya kawaida tu,kuna mchango wa wayahudi wengi sana kufikia america ya leo.Israel bila msaada wa America +Nato si chochote, hata ile six day war ni uongo mtupu, na walivyo waafrika kwa mzungu wengi wao wepesi sana wa kuamini linapokuja suala linalohusu waarabu/waislamu
Droni za bei rahisi za Iran ili kufika Israel zilitumia mpaka masaa 6.Makombora ya ballistic ndio yanachukua muda mfupi sana kufika.Inasemekana drones za Iran zilizagaa kwenye anga la Israel kama nyuki....
Iran imeithibitishia Dunia kuwa ina nguvu ya sialaha za kisasa na zenye nguvu kuweza kuiadhibu Israeli, isingekuwa Marwkani, Uengereza, Ufaransa na Jordan kuisaidia Israel kutegua makombora basi madhara kwa Israel yangekuwa makubwa sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaandika kama vile kwamba wakati irani akifanya hayo yote maadui zake wanakuwa wametulia tu wakipokea kipigo!Droni za bei rahisi za Iran ili kufika Israel zilitumia mpaka masaa 6.Makombora ya ballistic ndio yanachukua muda mfupi sana kufika.
Kwa ujumla tulijua kuwa Iran inazo hizo silaha lakini ukiondoa zile zilizotumika kuzipiga kambi za Marekani Iraq hatukujua kuwa kweli Iran anaweza kurusha vitu vikafika mpaka ndani ya Israel tena vikachagua vituo vya kupiga.Na Iran haikuwahi kufanyia majaribio silaha zake kiwango hicho.
Kwa maana hiyo kwa vile wameweza sasa wana uwezo wa kubadili mbinu za kupiga na aina ya silaha za kutumia.Wanaweza wakaongeza matumizi ya aina za droni kama zile za Uturuki ambazo mapigo yake ni tofauti na hizo shaheed.Na wanaweza wakachukua vitu vikali zaidi kutoka China na Urusi na yawezekana wanavyo tayari.
Hapo ni kuwa pigo la pili la Iran litafanya vitu vya kushangaza kwa Tel Aviv na Jerusalem.
Ukiondoa matumizi ya kurushiana makombora kutoka mbali.Iran ina nyenzo kubwa sana ya kivita dhidi ya Israel ya kuibana kutotumia uchochoro wa Homutz kupata mahitaji yake ya Gesi na mafuta.vile vile vita vikakua zaidi iran itavipelekea vita kwenye bahari ya mediteranean kupitia Syria na Lebanon.
Ukiendelea kufuatilia kwa mbele vita vitakakoelekea ni kuwa ushawishi wa Iran utaingia Jordan kuupindua ufalme wa nchi hiyo ambayo ni lango kubwa la kuingia Jerusalem.
Uungwaji mkono kwa Israel usijidanganye haupo na huko mbele yeye na swahiba zake wanadondoka chini japo kwa macho ya juu juu unaona kama Israel ni shujaa sana.Hii vita kuna kitu kinaenda kutokea!
Israel imepata uungwaji mkono toka pande zote za dunia!
Na sasa inachokifanya pale Gaza ndio kimehalalishwa rasmi na msishangae hiyo Gaza pakaanza kujengwa makazi ya kiyahudi.
Kwa bahati mbaya, mashambulizi yote yamedakwa 99% hayajadondoka, hakuna madhara israel. hii ni habari mbaya mno kwao.
kama haujui, huyu ni ajenti wa mosad, na kawashida masikio waarabu wengi kweli though wengine wamemshitukia.