Wapalestina Gaza washangilia Iran kuipiga Israel. Chakula chaanza kupatikana masokoni

Wapalestina Gaza washangilia Iran kuipiga Israel. Chakula chaanza kupatikana masokoni

Hakuna uhakika kuwa kweli 99% zimedakwa kweli.
Kitendo cha kujiamini kupiga kwanza si cha kawaida na hakijawahi kutokea.
Mm nashangaa watu walivyo waongo,Israel imechakazwa vibaya sana.Miji lama telaviv sasa hivi magofu tu.Mabomu yote yalipenya,yamedakwa 1% tu
 
Jordan, Saudi Arabia na Egypt ndizo zinawapa nguvu mazayuni.
Hao Jordan,Saudi Arabia na Egypt wanajielewa walIshapata kIpigo cha mbwa koko toka kwa Israel walipopigana naye wanamjua vizuri utembexaji kipigo wake

Iran tu ndie hajaonja kipigo toka kwa Israel ndio maana yuko domokaya sana
 
Mm nashangaa watu walivyo waongo,Israel imechakazwa vibaya sana.Miji lama telaviv sasa hivi magofu tu.Mabomu yote yalipenya,yamedakwa 1% tu
Uongo huo mkadanganyane misikitini ambako watu vichwa huviacha eneo la kutawazia na kuingia msikitini
 
Mm nashangaa watu walivyo waongo,Israel imechakazwa vibaya sana.Miji lama telaviv sasa hivi magofu tu.Mabomu yote yalipenya,yamedakwa 1% tu
Serikali ya Iran imesema haijapiga mji wowote wa Israel ililenga eneo moja tu la kambi ya jeshi ambako kombora lililloua magenerali wake lilitokea hapo na Israel wamethibitisha hilo

Wewe haya ya kupiga Tel Aviv umeyatoa wapi mbona ndege za abiria zinaruka tu kama kawaida na hakuna jengo lililobomolewa Uwe unasikiliza hata Aljaxeera tu badala ya kutegemea porojo za misikitini
 
Iran ikiguswa ataeteseka zaidi Israel.

Maana escalation itakayotokea ni ya middle east nzima.

Lebanese Hizbollah, Al Quds Syria,Hamas Gaza, Houthi Yemeni na makundi mengine Iraq na Afghanistan Taliban lazima watahusika.

Unadhani wao watamlenga nani!?

Na waarabu wengi washagoma ardhi na bandari zao kutumika na USA dhidi ya Iran.

Usichukulie hili suala jepesi.

Shambulio la leo alfajiri Yemen,Lebanon na Syria wamerusha maroketi nao.

Jiulize ikija full scale war na hao wakahusika itakuaje?

View: https://twitter.com/MOSSADil/status/1779908080987177041?t=DSCu1i7XRB5BqnyfKHSiHw&s=19
 
Naona mleta mada umeamua kuwakebehi wapalestina wa Gaza watu makazi,hawana kazi ya kuwapa kipato wanaishi kwenye mahema hizo pesa za kununua hicho chakula wanapata wapi? Benk hakuna Mashine za ATM hakuna .Hamna huduma yeyote ya kifedha

Acheni kuwakevehi ninti
 
Serikali ya Iran imesema haijapiga mji wowote wa Israel ililenga eneo moja tu la kambi ya jeshi ambako kombora lililiua magenerali lilitokea hapo na Israel wamethibitisha

Wewe haya ya kupiga Tel Aviv umeyatoa wapi mbona ndege za abiria zinaruka tu kama kawaida na hakuna jengo lililobomolewa Uwe unasikiliza hata Aljaxeera tu badala ya kutegemea porojo za misikitini

Unataka kuibadili mada kuipeleka msikitini?

Tunakukaribishi misikitini, halafu utueleze hizo porojo utazokutana nazo. Chagua msikiti uupendao utembelee, sisi hatubaguani misikitini, tunaingia wowote tu.

Wewe wa kanisani tena mweusi, ukienda kwa mazayuni unatemewa makohozi, bisha.
 
Kwa bahati mbaya, mashambulizi yote yamedakwa 99% hayajadondoka, hakuna madhara israel. hii ni habari mbaya mno kwao.
Iran, on the other hand, is one of the world’s top developers and manufacturers of advanced missiles, drones, and other weaponry, which has proven more than a match even for military systems possessed by the US, and produced at a lower cost (a former advisor to Israel’s chief of staff complained on Sunday that Israel spent $1.3 billion worth of air defense interceptor missiles to shoot down Iranian projectiles which had cost Iran nearly ten times less to build and fire).
===
Kazi unayo!!! Maana siku hizi hakuna kificho, unaumbuliwa na teknolojia.
 
Unataka kuibadili mada kuipeleka msikitini?

Tunakukaribishi misikitini, halafu utueleze hizo porojo utazokutana nazo. Chagua msikiti uupendao utembelee, sisi hatubaguani misikitini, tunaingia wowote tu.
Haina shida ijumaa hii nitakaa karibu na msikiti uzuri vile vipaxa vyenu huwa na sisi tunasikia vizuri

Nina uhakika ijumaa kuna maimamu lazima watapiga porojo kuhusu hili la Iran na mtakuwa mkiitikia Takbiri .Baada ya swala tukutane hapa tujadili hicho alichosema Imamu na nyie mkawa mnaitikia takbiriii nikilete tuhakiki na kukijadili humu
 
Naona mleta mada umeamua kuwakebehi wapalestina wa Gaza watu makazi,hawana kazi ya kuwapa kipato wanaishi kwenye mahema hizo pesa za kununua hicho chakula wanapata wapi? Benk hakuna Mashine za ATM hakuna .Hamna huduma yeyote ya kifedha

Acheni kuwakevehi ninti
Kwa vile hukusoma nilichoandika na chanzo chake ndio maana unasema hivyo.
Katika kipindi chote cha vita biashara zinaendelea Gaza kwa namna yake.Watu pesa bado wanazo kidogo na ndio hizo hizo zinazozunguka.
Kuna mbunifu mmoja jiijini Gaza ambaye ametengeneza mashine ya kuvuta maji kwenye visima kwa kutumia sola.Ananunua vifaa kutoka duka moja kubwa la vifaa hivyo na kuzidi kutengeneza mashine zake na watu wamepata nafuu ya maji safi.
Kwa muda mfupi tu vita vikisimama basi maisha Gaza yatarudi kuwa nafuu
 
Hakuna uhakika kuwa kweli 99% zimedakwa kweli.
Kitendo cha kujiamini kupiga kwanza si cha kawaida na hakijawahi kutokea.
Tunaambiwa yamedakwa na moja limejeruhi katoto kwa sababu lilikazidi uzito Mkuu.Wee nani kakwambia hayajadakwa sheikh
 
Haina shida ijumaa hii nitakaa karibu na msikiti uzuri vile vipaxa vyenu huwa na sisi tunasikia vizuri

Nina uhakika ijumaa kuna maimamu lazima watapiga porojo kuhusu hili la Iran na mtakuwa mkiitikia Takbiri .Baada ya swala tukutane hapa tujadili hicho alichosema Imamu na nyie mkawa mnaitikia takbiriii nikilete tuhakiki na kukijadili humu
Hakuna imam atakaye iongelea Iran hata sekunde 2 sababu wana vitu tuu wanapotosha kuhusu uislam..yanii imam kabisaa aunge mkono Ushia sembuse walau kidogo waiongelee Palestinian
 
Back
Top Bottom