George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Wacha weeeh!?kama haujui, huyu ni ajenti wa mosad, na kawashida masikio waarabu wengi kweli though wengine wamemshitukia.
Hahaha hatarWacha weeeh!?
Wewe umejua kama jamaa ni AJENTI wa MOSAD, ila waarabu wengi wameshindwa kujua?
Mm nashangaa watu walivyo waongo,Israel imechakazwa vibaya sana.Miji lama telaviv sasa hivi magofu tu.Mabomu yote yalipenya,yamedakwa 1% tuHakuna uhakika kuwa kweli 99% zimedakwa kweli.
Kitendo cha kujiamini kupiga kwanza si cha kawaida na hakijawahi kutokea.
Hao Jordan,Saudi Arabia na Egypt wanajielewa walIshapata kIpigo cha mbwa koko toka kwa Israel walipopigana naye wanamjua vizuri utembexaji kipigo wakeJordan, Saudi Arabia na Egypt ndizo zinawapa nguvu mazayuni.
Uongo huo mkadanganyane misikitini ambako watu vichwa huviacha eneo la kutawazia na kuingia msikitiniMm nashangaa watu walivyo waongo,Israel imechakazwa vibaya sana.Miji lama telaviv sasa hivi magofu tu.Mabomu yote yalipenya,yamedakwa 1% tu
Serikali ya Iran imesema haijapiga mji wowote wa Israel ililenga eneo moja tu la kambi ya jeshi ambako kombora lililloua magenerali wake lilitokea hapo na Israel wamethibitisha hiloMm nashangaa watu walivyo waongo,Israel imechakazwa vibaya sana.Miji lama telaviv sasa hivi magofu tu.Mabomu yote yalipenya,yamedakwa 1% tu
Iran ikiguswa ataeteseka zaidi Israel.
Maana escalation itakayotokea ni ya middle east nzima.
Lebanese Hizbollah, Al Quds Syria,Hamas Gaza, Houthi Yemeni na makundi mengine Iraq na Afghanistan Taliban lazima watahusika.
Unadhani wao watamlenga nani!?
Na waarabu wengi washagoma ardhi na bandari zao kutumika na USA dhidi ya Iran.
Usichukulie hili suala jepesi.
Shambulio la leo alfajiri Yemen,Lebanon na Syria wamerusha maroketi nao.
Jiulize ikija full scale war na hao wakahusika itakuaje?
Serikali ya Iran imesema haijapiga mji wowote wa Israel ililenga eneo moja tu la kambi ya jeshi ambako kombora lililiua magenerali lilitokea hapo na Israel wamethibitisha
Wewe haya ya kupiga Tel Aviv umeyatoa wapi mbona ndege za abiria zinaruka tu kama kawaida na hakuna jengo lililobomolewa Uwe unasikiliza hata Aljaxeera tu badala ya kutegemea porojo za misikitini
Iran, on the other hand, is one of the world’s top developers and manufacturers of advanced missiles, drones, and other weaponry, which has proven more than a match even for military systems possessed by the US, and produced at a lower cost (a former advisor to Israel’s chief of staff complained on Sunday that Israel spent $1.3 billion worth of air defense interceptor missiles to shoot down Iranian projectiles which had cost Iran nearly ten times less to build and fire).Kwa bahati mbaya, mashambulizi yote yamedakwa 99% hayajadondoka, hakuna madhara israel. hii ni habari mbaya mno kwao.
Haina shida ijumaa hii nitakaa karibu na msikiti uzuri vile vipaxa vyenu huwa na sisi tunasikia vizuriUnataka kuibadili mada kuipeleka msikitini?
Tunakukaribishi misikitini, halafu utueleze hizo porojo utazokutana nazo. Chagua msikiti uupendao utembelee, sisi hatubaguani misikitini, tunaingia wowote tu.
Kwa vile hukusoma nilichoandika na chanzo chake ndio maana unasema hivyo.Naona mleta mada umeamua kuwakebehi wapalestina wa Gaza watu makazi,hawana kazi ya kuwapa kipato wanaishi kwenye mahema hizo pesa za kununua hicho chakula wanapata wapi? Benk hakuna Mashine za ATM hakuna .Hamna huduma yeyote ya kifedha
Acheni kuwakevehi ninti
Waajemi asili yao ni uindini..hata kiarabu hawaongeiIran ni muajemi muhindi ni pakistan.
Tunaambiwa yamedakwa na moja limejeruhi katoto kwa sababu lilikazidi uzito Mkuu.Wee nani kakwambia hayajadakwa sheikhHakuna uhakika kuwa kweli 99% zimedakwa kweli.
Kitendo cha kujiamini kupiga kwanza si cha kawaida na hakijawahi kutokea.
Hakuna imam atakaye iongelea Iran hata sekunde 2 sababu wana vitu tuu wanapotosha kuhusu uislam..yanii imam kabisaa aunge mkono Ushia sembuse walau kidogo waiongelee PalestinianHaina shida ijumaa hii nitakaa karibu na msikiti uzuri vile vipaxa vyenu huwa na sisi tunasikia vizuri
Nina uhakika ijumaa kuna maimamu lazima watapiga porojo kuhusu hili la Iran na mtakuwa mkiitikia Takbiri .Baada ya swala tukutane hapa tujadili hicho alichosema Imamu na nyie mkawa mnaitikia takbiriii nikilete tuhakiki na kukijadili humu
Sasa hao waajemi asili yao ni uindini..na ndo watu wajaribu kutofautisha hao sio waarabuSio muhindi mkuu ni muajemi.